RUGAHIMBILA E R
Member
- Mar 5, 2009
- 95
- 32
Salaam Wadau!
Nimekuwa nikifuatilia taarifa mitandaoni kuhusu hizi nauli za ndege za AIR Tanzania kati ya Mwanza na Bukoba ambapo kwenda tu itakuwa shs 140000. halafu Mwanza to Dar tshs. 160000.
Kama ndo kweli inakuwaje safari ya saa 1.30 ( Mza- Dar) itofautiane na safari ya karibu nusu saa tu( Mza- Bkb) kwa shs elfu ishirini tu? Kama wamechukua kigezo cha wingi wa abiria, hii route inao abiria wengi sana kuanzia enzi za Precisionair. Vilevile ukichukulia kwamba sasa hivi hakuna usafiri wa uhakika na wa haraka toka Bkb baada ya meli kuharibika.
Hoja yangu ni kwamba usafiri wa ndege isiwe kitu cha anasa bali iwe kichocheo cha kukuza uchumi wa wananchi, kwani ingewekwa bei nafuu ili abiria wapande kwa wingi na wawahi shughuli zao kama kawaida.
Kwa mfano mtu anaweza kupanda ndege ya asubuhi akafanya shughuli zake mwanza na kurudi mchana kuendelea na shughuli nyingine.