Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
What is transparency?Ili iweje sasa?? Yaani ATCL ianze kuonyesha malipo ya kila mteja kweli???
Enyi watu mbona mko hivi??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
What is transparency?Ili iweje sasa?? Yaani ATCL ianze kuonyesha malipo ya kila mteja kweli???
Enyi watu mbona mko hivi??
Kwahiyo ccm ndiyo serikali ?Hivi unawezaje kutenganisha Serikali,Polisi,Bunge na CCM???
Nyie wadau tutaanza kutilia mashaka uwezo wa akili zenuWamelipa ?
Hawa watu bhana. Ni mashaka sana😃😃😃 Mapumbavu kweli.
Naam,Ndio maana hawataki kusikia mambo ya katiba mpya
Mkuu huwa hatukurupukiNyie wadau tutaanza kutilia mashaka uwezo wa akili zenu
Mkuu,Mkuu huwa hatukurupuki
Kea mujibu wa flightradar24 kuna ratiba ya ndege kwenda Zanzibar .. hivyo naona ni ratiba tu na sio wala kwamba wanatumia ndege za serikali kwenye mambo yaoHivi ATCL huwa hawana route ya Zanzibar?
Nitakujibu kwa mfanoKwahiyo ccm ndiyo serikali ?
Unafananisha familia na serikali?Nitakujibu kwa mfano
Mzee Bakhresa ana makampuni Mengi sana..katika hayo makampuni kuna Mameneja mbalimbali..Je! Mwanae ambaye hana mamlaka ya kiutendaji katika kampuni fulani ya Babaake hawezi kumwachisha kazi Mtu?
Naam..Unafananisha familia na serikali?
Siyo familiaNaam..
Serikali ni nani mkuu?
Mbona hata diwani wa CCM ananguvu kuliko mbunge wa upinzaniMkuu.
Haya mawazo wanaoweza kuyasitisha ni Wanasiasa tu..wewe mwananchi usijaribu kuyasitisha..Hivi unavyodhani Mbunge wako wa Upinzani ana Nguvu kushinda katibu wa wilaya wa CCM?
Mwanzisha Mada anadai hajui hiliMbona hata diwani wa CCM ananguvu kuliko mbunge wa upinzani
Itakua hamna mkuuHivi ATCL huwa hawana route ya Zanzibar?
Ndiyo maana CCM hawataki katiba mpyaTukiendekeza mawazo ya aina hii CCM watazidi kutumia mali za umma hovyo, kilichopatikana kwa kodi za watanzania bila kujali vyama vyao, ni vyema kikatumiwa kwa discipline kwa kujali mchango wa wote.
Hela ya kununulia ndege wanayo?!Itakua hamna mkuu
Kama ingekuwepo kusingekua na hoja moja juzi kati hapa
Kua kwanini zenji hawana atcl yao kama nchi?
Nadhani mpaka hapo utakua umenielewa
Mkuu ccm hawasikii ni sawa na kichwa cha mbuzi, hadi kichemshiwe supu.Hivi unawezaje kutenganisha Serikali,Polisi,Bunge na CCM???
inawezekana , na hasa mteja aliyekodi ndege nzima peke yakeMkuu,
Seriously tunafanya sana siasa katika mambo yetu. Inawezekanaje kila mteja ATCL waanze kupost receipt za malipo yao???