ATCL ni vema mkatuonesha risiti za malipo ya kukodi ndege za umma zinazotumiwa na Katibu Mkuu wa CCM

ATCL ni vema mkatuonesha risiti za malipo ya kukodi ndege za umma zinazotumiwa na Katibu Mkuu wa CCM

Hivi ATCL huwa hawana route ya Zanzibar?
Kea mujibu wa flightradar24 kuna ratiba ya ndege kwenda Zanzibar .. hivyo naona ni ratiba tu na sio wala kwamba wanatumia ndege za serikali kwenye mambo yao
 
Kwahiyo ccm ndiyo serikali ?
Nitakujibu kwa mfano
Mzee Bakhresa ana makampuni Mengi sana..katika hayo makampuni kuna Mameneja mbalimbali..Je! Mwanae ambaye hana mamlaka ya kiutendaji katika kampuni fulani ya Babaake hawezi kumwachisha kazi Mtu?
 
Unafananisha familia na serikali?
 
Karagabaho...
Serikali ni Chama mkuu,
Hukuwahi kumsikia katibu mkuu wa CCM anampiga mkwara waziri?
 
Mkuu.
Haya mawazo wanaoweza kuyasitisha ni Wanasiasa tu..wewe mwananchi usijaribu kuyasitisha..Hivi unavyodhani Mbunge wako wa Upinzani ana Nguvu kushinda katibu wa wilaya wa CCM?
Mbona hata diwani wa CCM ananguvu kuliko mbunge wa upinzani
 
Hivi ATCL huwa hawana route ya Zanzibar?
Itakua hamna mkuu
Kama ingekuwepo kusingekua na hoja moja juzi kati hapa
Kua kwanini zenji hawana atcl yao kama nchi?
Nadhani mpaka hapo utakua umenielewa
 
Tukiendekeza mawazo ya aina hii CCM watazidi kutumia mali za umma hovyo, kilichopatikana kwa kodi za watanzania bila kujali vyama vyao, ni vyema kikatumiwa kwa discipline kwa kujali mchango wa wote.
Ndiyo maana CCM hawataki katiba mpya
 
Back
Top Bottom