Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una laana wewe nenda kwa Mwamposya akakuombeeSijawahi kupanda ndege wala traini na sijui nitapanda lini
Hoja imeungwa mkonokusema kwamba Precision Ilitua pamoja na Hali ya Hewa kuwa mbaya ina maana unasema kwamba Precision Air hawachukulii suala la usalama wa anga kwa uzito wake
Mimi nampongeza captain wa ATCL,kwa kuhakikisha usalama wa ndege yetu .ujue hizo ndege za ATCL zimetufanya tuishi maisha magumu ndo zikanunuliwa,yaani macho ya watz wote yapo kodo([emoji44])kuona zinaendeleaje hizo ndege,waalimu na wafanyakazi ndo usiseme ,eti leo uwaambie ndege ya ATCL imeanguka weeeee,hakiyani watarusha matusi ambayo hujawahi kuyasikia . pongezi rubani wa ATCLHuyo rubani wa atcl muoga tu. Mimi comoro nimeshatua mara nyingi tu tena kwenye dhoruba kali na cassena single engine kale kandege kakumwagilia pesticides kwenye mashamba makubwa.
Naunga hoja mkonoMkuu katika kanuni za Urubani na Usalama wa anga maruani wote wako sahihi. Aina ya ndege unazozungumzia ni tofauti na zinaendesha na watu tofauti. Bottom line ni kwamba ingetokea tatizo kwa Ndege ya Precision si ajabu ingeoneka na Negligence kwa sababu mwenzake aliacha kutua kwa sababu ya hali ya HEWA.
Kumbuka katika usafiri wa Anga USALAMA Ndio kitu cha kwanza na kitendo cha wewe kusema kwamba Precision Ilitua pamoja na Hali ya Hewa kuwa mbaya ina maana unasema kwamba Precision Air hawachukulii suala la usalama wa anga kwa uzito wake.
Nimemaliza. Ila Hongera kwake Captain Salim kwa kuweza kuhakikisha abiria wanakuwa salama ila next time msijivunie RISK za kijinga kama hizi.
Tunamshukuru Mungu kwani kuna mtu alitaka kuiua Precision Air lakini akaenda yeye.Habari wana Jamvi,
Mimi ni mfuatiliaji mzuri wa sekta au tasnia ya usafiri wa anga kwa ndani ya nchi na kimataifa.
Siku ya jana tarehe 21/04/2022 shirika la ndege la Tanzania lilikua na ndege yake Airbus namba TC 210 ambayo inatoka DAR-HAH (DAR-COMORO) ambayo iliruka saa 4 asubuhi kuelekea Visiwani Comoros.
Pia Precision Air walikua wana Charter Flight (Ndege imekodishwa)siku hiyo kutoka Dar kwenda visiwani humo.
Umbali wa kutoka dar mpaka comoro ni km 683 sawa na 424.
Precision Air wakitumia ndege yao yenye usajili wa 5H-PWG ambayo ni aina ya ATR 72 yenye uwezo wa kubeba Abiria 70 kwa mpigo na mizigo tani 2.5 waliruka kuelekea Visiwani humo.
Kwa habari toka ndani ya vyanzo vya mamlaka ya ndege vinasema Ndege ya Air Tanzania ilifika kwenye Anga la Comoro na kushindwa kutua kwa kile Captain alichokiita hali mbaya ya hewa na kulazika kurudi tena Dar es salaam.
Watoa habari wanasema hii ni mara ya tatu kwa Rubani wa Air Tanzania kurudisha ndege Dar kutoka comoro hata kwa kitu ambacho kinaweza kuvumilika.
Huku nyuma Captain wa Precision Air aliyejulikana kwa jina moja la Captain Salim aliweza kutua Katika uwanja wa ndege wa Comoro salama kabisa mbali na hali ya hewa kuwa sio nzuri.
Bravo sana kwa Captain huyu wa Precision air hii inaonesha kuwa shirika la ndege la Precision lina marubani wenye uzoefu mkubwa kwenye tasnia hii ya anga pia shirika lina uzoefu mkubwa kwenye usafirishaji wa watu na mizigo yao.
Precision air wamekua kwenye hii biashara toka mwak 1995 na uzoefu huu umewasaidia kuwa extraordinary mbali ya shirika letu la Tanzania lenye ndege za kisasa.
Hongereni sana Precision Air.
Mmeulizwa mkutano mkuu wa wanahisa ni lini, wewe unaandika utumbo!.Tunamshukuru Mungu kwani kuna mtu alitaka kuiua Precision Air lakini akaenda yeye.
Kwanini hakutua Mtwara?Habari wana Jamvi,
Mimi ni mfuatiliaji mzuri wa sekta au tasnia ya usafiri wa anga kwa ndani ya nchi na kimataifa.
Siku ya jana tarehe 21/04/2022 shirika la ndege la Tanzania lilikua na ndege yake Airbus namba TC 210 ambayo inatoka DAR-HAH (DAR-COMORO) ambayo iliruka saa 4 asubuhi kuelekea Visiwani Comoros.
Pia Precision Air walikua wana Charter Flight (Ndege imekodishwa)siku hiyo kutoka Dar kwenda visiwani humo.
Umbali wa kutoka dar mpaka comoro ni km 683 sawa na 424.
Precision Air wakitumia ndege yao yenye usajili wa 5H-PWG ambayo ni aina ya ATR 72 yenye uwezo wa kubeba Abiria 70 kwa mpigo na mizigo tani 2.5 waliruka kuelekea Visiwani humo.
Kwa habari toka ndani ya vyanzo vya mamlaka ya ndege vinasema Ndege ya Air Tanzania ilifika kwenye Anga la Comoro na kushindwa kutua kwa kile Captain alichokiita hali mbaya ya hewa na kulazika kurudi tena Dar es salaam.
Watoa habari wanasema hii ni mara ya tatu kwa Rubani wa Air Tanzania kurudisha ndege Dar kutoka comoro hata kwa kitu ambacho kinaweza kuvumilika.
Huku nyuma Captain wa Precision Air aliyejulikana kwa jina moja la Captain Salim aliweza kutua Katika uwanja wa ndege wa Comoro salama kabisa mbali na hali ya hewa kuwa sio nzuri.
Bravo sana kwa Captain huyu wa Precision air hii inaonesha kuwa shirika la ndege la Precision lina marubani wenye uzoefu mkubwa kwenye tasnia hii ya anga pia shirika lina uzoefu mkubwa kwenye usafirishaji wa watu na mizigo yao.
Precision air wamekua kwenye hii biashara toka mwak 1995 na uzoefu huu umewasaidia kuwa extraordinary mbali ya shirika letu la Tanzania lenye ndege za kisasa.
Hongereni sana Precision Air.
Precision wazoefu. Hata Mwanza wanashushaga ndege hata kama Kuna radi wakati Kipindi kule Fastjet au ATC wanaenda kutua Rubondo island. Chezea Mchaga weye!Habari wana Jamvi,
Mimi ni mfuatiliaji mzuri wa sekta au tasnia ya usafiri wa anga kwa ndani ya nchi na kimataifa.
Siku ya jana tarehe 21/04/2022 shirika la ndege la Tanzania lilikua na ndege yake Airbus namba TC 210 ambayo inatoka DAR-HAH (DAR-COMORO) ambayo iliruka saa 4 asubuhi kuelekea Visiwani Comoros.
Pia Precision Air walikua wana Charter Flight (Ndege imekodishwa)siku hiyo kutoka Dar kwenda visiwani humo.
Umbali wa kutoka dar mpaka comoro ni km 683 sawa na 424.
Precision Air wakitumia ndege yao yenye usajili wa 5H-PWG ambayo ni aina ya ATR 72 yenye uwezo wa kubeba Abiria 70 kwa mpigo na mizigo tani 2.5 waliruka kuelekea Visiwani humo.
Kwa habari toka ndani ya vyanzo vya mamlaka ya ndege vinasema Ndege ya Air Tanzania ilifika kwenye Anga la Comoro na kushindwa kutua kwa kile Captain alichokiita hali mbaya ya hewa na kulazika kurudi tena Dar es salaam.
Watoa habari wanasema hii ni mara ya tatu kwa Rubani wa Air Tanzania kurudisha ndege Dar kutoka comoro hata kwa kitu ambacho kinaweza kuvumilika.
Huku nyuma Captain wa Precision Air aliyejulikana kwa jina moja la Captain Salim aliweza kutua Katika uwanja wa ndege wa Comoro salama kabisa mbali na hali ya hewa kuwa sio nzuri.
Bravo sana kwa Captain huyu wa Precision air hii inaonesha kuwa shirika la ndege la Precision lina marubani wenye uzoefu mkubwa kwenye tasnia hii ya anga pia shirika lina uzoefu mkubwa kwenye usafirishaji wa watu na mizigo yao.
Precision air wamekua kwenye hii biashara toka mwak 1995 na uzoefu huu umewasaidia kuwa extraordinary mbali ya shirika letu la Tanzania lenye ndege za kisasa.
Hongereni sana Precision Air.
wewe nae Bana acha mibange ya kuvutia chooni hiyo jua kuwa kuna tofauti ya ndege bati lenye injini! na ndege ungo!! wa kichawi huo mpaka utunguliwe na wachawi wenzako!! sasa hapo kati hakuna wachawi unapita tu!Huyo rubani wa atcl muoga tu. Mimi comoro nimeshatua mara nyingi tu tena kwenye dhoruba kali na cassena single engine kale kandege kakumwagilia pesticides kwenye mashamba makubwa.
Hahahawewe nae Bana acha mibange ya kuvutia chooni hiyo jua kuwa kuna tofauti ya ndege bati lenye injini! na ndege ungo!! wa kichawi huo mpaka utunguliwe na wachawi wenzako!! sasa hapo kati hakuna wachawi unapita tu!
walale wapi, jangwani pale? wakule nini pale? Ming'oko au? si wangekufa njaa mpaka basi.Kwanini hakutua Mtwara?
Rubani wa CCM kila kitu mchongo 😁Habari wana Jamvi,
Mimi ni mfuatiliaji mzuri wa sekta au tasnia ya usafiri wa anga kwa ndani ya nchi na kimataifa.
Siku ya jana tarehe 21/04/2022 shirika la ndege la Tanzania lilikua na ndege yake Airbus namba TC 210 ambayo inatoka DAR-HAH (DAR-COMORO) ambayo iliruka saa 4 asubuhi kuelekea Visiwani Comoros.
Pia Precision Air walikua wana Charter Flight (Ndege imekodishwa)siku hiyo kutoka Dar kwenda visiwani humo.
Umbali wa kutoka dar mpaka comoro ni km 683 sawa na 424.
Precision Air wakitumia ndege yao yenye usajili wa 5H-PWG ambayo ni aina ya ATR 72 yenye uwezo wa kubeba Abiria 70 kwa mpigo na mizigo tani 2.5 waliruka kuelekea Visiwani humo.
Kwa habari toka ndani ya vyanzo vya mamlaka ya ndege vinasema Ndege ya Air Tanzania ilifika kwenye Anga la Comoro na kushindwa kutua kwa kile Captain alichokiita hali mbaya ya hewa na kulazika kurudi tena Dar es salaam.
Watoa habari wanasema hii ni mara ya tatu kwa Rubani wa Air Tanzania kurudisha ndege Dar kutoka comoro hata kwa kitu ambacho kinaweza kuvumilika.
Huku nyuma Captain wa Precision Air aliyejulikana kwa jina moja la Captain Salim aliweza kutua Katika uwanja wa ndege wa Comoro salama kabisa mbali na hali ya hewa kuwa sio nzuri.
Bravo sana kwa Captain huyu wa Precision air hii inaonesha kuwa shirika la ndege la Precision lina marubani wenye uzoefu mkubwa kwenye tasnia hii ya anga pia shirika lina uzoefu mkubwa kwenye usafirishaji wa watu na mizigo yao.
Precision air wamekua kwenye hii biashara toka mwak 1995 na uzoefu huu umewasaidia kuwa extraordinary mbali ya shirika letu la Tanzania lenye ndege za kisasa.
Hongereni sana Precision Air.
Hivi mmewahi ona Airbus A380 inatua ki upande Kama imekata center bolt kimbunga Cha hatari afu huyo kunguru anaogopaMkuu katika kanuni za Urubani na Usalama wa anga maruani wote wako sahihi. Aina ya ndege unazozungumzia ni tofauti na zinaendesha na watu tofauti. Bottom line ni kwamba ingetokea tatizo kwa Ndege ya Precision si ajabu ingeoneka na Negligence kwa sababu mwenzake aliacha kutua kwa sababu ya hali ya HEWA.