Pichukodada
JF-Expert Member
- Oct 14, 2020
- 480
- 348
Wakati tuko Nchini Ushelisheli! kwa operation Maulum, mie na wenzangu tulimwambia Rubani wa Ndege ya India asitue kwa dharula, iliyo kuwepo pale uwanjani, lengo ni ili huyo rubani arudi Nairobi. …Ndege inapokuwa Angani,Captain in Command Ndie anayewajibika katika kila jambo na ndio mwenye uamuzi wa mwisho.Na uamuzi wake ni final and conclusive hata kama uko wrong atawajibika nao lakini haweza ambiwa na mtu aliyeko chini atue wakati yeye anaona hawezi kutua halafu atue.Ili yule wa chini anaweza mwambia kapteni usitue lakini kapteni kwa utashi na uwezo na taarifa alizonazo kwa wakati huo akaamua kutua kwa kutegemea judgement yake.
mpaka itakavyo elezwa vinginevyo! na Makao Makuu ya usalama wa kijeshi na Anga kutoka EA head quarter!..maajabu amabayo hatukutegemea sasa ni kuwa
Yule Rubani Muhindi Alikaidi amri hiyo halali ya ki-jeshi…..tulicho kuwa tumekifanya tulitega magari ya kijeshi aina ya Delaya uwanjani pale! ku block run way! lkn yule jamaa alitua hivo!!hivo!! na
kuponea chupu chupu! kuunguza ile ndege na Abiria wake! vibaya sana lkn hatukujali hayo....
kwa sababu alikaidi!! tuliizingira ile ndege wakt tumevalia kiraia! na tukatoa Amri kuwa ''Abiria wote/mtu yeyote including Rubani asitoke humo ndani''.....na kweli wakatii!!
kilichoendelea baada ya hapo na kwa hofu ya kuhisi Mapinduzi Ya Damu! kila mtu alishika kichwaaaa……..ni story ndefu ila nachotaka kuzungumza hapa ni kuwa Mleta Mada pale uwanjani kuna Control tower!!
Rubani anapaswa kufuata maelekezo tu ya control tower! ili ndege ile itue salama Kama control tower ataiongoza vibaya! ika crush ni kosa lake wala siyo Rubani!!…...
pili usituone humu JF wote sie wajinga!! No! kisheria Rubani hawezi geuza ndege ghafla eti, ana rudi alikotoka! km Unavo geuza Mkweche wako kule Kijijini kwenu, pale unaposahau kufuri chakavu juu ya sink!
Rubani yeyote anaongozwa na CT, kutua salama, Pale anapofikia futi maalimu, kutoka usawa wa Bahari! na kuelekezwa atokee upande gani mwa uwanja husika!...
ukizingatia kuwa kuna ndege nyingine nyingi zinatua na kuondoka uwanjani hapo, kwa sababu uwanja siyo wa Ndege za ATC, peke yake!! kosa moja mistake kubwa sana! na Rubani unashtakiwa unafungwa pengine hata kunyongwa!
Kwa hiyo amri ya kutua uwanjani au kupaa na kwenda kutua uwanja jirani ajili ya dharula ni ya control tower! siyo ya Rubani!! hasa ukisha toka anga ya kimataifa na unakaribia kutua!!,,
Hata kudanganya tu hujui...anaweza kuja Rubani tuseme namba moja akakuta kumechafuka kidhoruba, lkn akaja mwingine baada ya masaa kadhaa akakuta hali ya hewa ni safi na akatua salama!
Hii haimfanyi Rubani wa kwanza kuwa Kilaza kuliko huyu wa pili!.....na kukaidi amri ya control tower ni makossa makubwa hata km utatua salama!...pia jua huwezi rudisha ndege ghafla bila maelekezo!
Fikiria tu kuna zingine zinakuja tua, tokea huko angani, na hapo hapo kuna zingine ziko standby kupaa!! ndo maana mkifika uwanja wowote!! mfano Nyerere IA, sometimes mnaweza enda mpaka Moshi then mnarudi upya kutua JNIA!
acha uongo hata hao walio kutuma uichafue ATC hawajui Kutunga na kupangilia! uongo wao, kawambie wamekosea sana!!...ATC itazidi kuwapigilia Misumari mpaka mkome kuiropokea!
shirika Mama lile limetulea sana kwa mipangilio ya Nusu nauri kwa wanafunzi! ilikuwa raha sana miaka hiyo tunalijua shirika hilo mliacheeee!! mpaka sasa ni mi Baba! yenye ndevu kila Mahali!