Tetesi: ATCL yashindwa kutua Comoro na kurudi Dar es Salaam kufuatia hali mbaya ya hewa

Marubani wanatofaitiana mwingine kabla kuruka na ndege anavuta bangi na kulipuliza barabara

Huyo hali ya hewa hata ichafuke vipi anashusha ndege uwanjani anaona poa tu.
 
Hiyo precision air ingeua sidhan Kama ungeleta uzi huu hapa

Sekta ya usafir wa anga n tofaut na ardhin mkuu

Kudos kwa ruban kujar usalama

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
kusema kwamba Precision Ilitua pamoja na Hali ya Hewa kuwa mbaya ina maana unasema kwamba Precision Air hawachukulii suala la usalama wa anga kwa uzito wake
Hoja imeungwa mkono
 
Bila shaka umeeleweka !. Pamoja na kongore, waambie Presicion Air watoe taarifa za mkutano mkuu wa wanahisa mwaka huu utafanyika lini na wapi.

Pamoja na sifa za kutua Comoro salama wakati hali ya hewa sio nzuri, ni kiashiria kuwa sasa wanafanya biashara kwa faida.... Waanze kulipa gawio kwa wanahisa sasa, waache janja janja na Serikali iwamulike.
 
Huyo rubani wa atcl muoga tu. Mimi comoro nimeshatua mara nyingi tu tena kwenye dhoruba kali na cassena single engine kale kandege kakumwagilia pesticides kwenye mashamba makubwa.
Mimi nampongeza captain wa ATCL,kwa kuhakikisha usalama wa ndege yetu .ujue hizo ndege za ATCL zimetufanya tuishi maisha magumu ndo zikanunuliwa,yaani macho ya watz wote yapo kodo([emoji44])kuona zinaendeleaje hizo ndege,waalimu na wafanyakazi ndo usiseme ,eti leo uwaambie ndege ya ATCL imeanguka weeeee,hakiyani watarusha matusi ambayo hujawahi kuyasikia . pongezi rubani wa ATCL
 
Huyo rubani wa ATCL anastahili pongezi nyingi sana kwa kujali usalama wa abiria wake.
 
Pongezi kwa marubani wa atcl kwa kuwa makini Katika usalama wa abiria na kutojali hasara
 
Naunga hoja mkono
 
Tunamshukuru Mungu kwani kuna mtu alitaka kuiua Precision Air lakini akaenda yeye.
 
Kwanini hakutua Mtwara?
 
P Precision wazoefu. Hata Mwanza wanashushaga ndege hata kama Kuna radi wakati Kipindi kule Fastjet au ATC wanaenda kutua Rubondo island. Chezea Mchaga weye!
 
Huyo rubani wa atcl muoga tu. Mimi comoro nimeshatua mara nyingi tu tena kwenye dhoruba kali na cassena single engine kale kandege kakumwagilia pesticides kwenye mashamba makubwa.
wewe nae Bana acha mibange ya kuvutia chooni hiyo jua kuwa kuna tofauti ya ndege bati lenye injini! na ndege ungo!! wa kichawi huo mpaka utunguliwe na wachawi wenzako!! sasa hapo kati hakuna wachawi unapita tu!
 
wewe nae Bana acha mibange ya kuvutia chooni hiyo jua kuwa kuna tofauti ya ndege bati lenye injini! na ndege ungo!! wa kichawi huo mpaka utunguliwe na wachawi wenzako!! sasa hapo kati hakuna wachawi unapita tu!
Hahaha
 
Rubani wa CCM kila kitu mchongo 😁

Shirika linajiendesha kwahasara mafuta nenda Rudi..na bado watu hao wanatakiwa wafike comoro otherwise rudisha pesa na fidia
 
Hivi mmewahi ona Airbus A380 inatua ki upande Kama imekata center bolt kimbunga Cha hatari afu huyo kunguru anaogopa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…