ATCL yatolea ufafanuzi kuhusu simtofahamu ya msanii Diamond Platnumz

Wolper apiga mwereka baada ya kupanda juu ya meza ili kucheza Kwangaru kwa style ya kusasambua huko Mwanza. Hata hivyo hakuumia.
Kuna jukwaa la sports, walioliweka sio kwamba hawakuwa na akli timamu...unatia waswas uwezo wako wa akli kwa kuleta taarifa sahihi kwnye jukwaa lisilo sahihi na thread isiyo sahihi.....
 
Shosti kwani nimekuquote wewe,kama unakereka jisuku nyoooooo
Na wewe unakera na mpira kwenye thread za watu. Fungua thread yako special ndo uweke haya mambo maana kama ni issue za mpira trust me watu hapa tupo vizuri na latest news, huhitaji kutukumbushia.
 
Anamchukua mtu video bila ruhusa yake Ilee ni kesi ya kujibuu...!! Na kuna viongozi wanakaa wanafurahia ule upuuzi kisa tu ni diamond kafanyaa...non sense kabisa Diamond kaikalia Basata...Kaona haitoshi anataka kuikalia Tz kabisa...

Ule ni uozo, lazima ufumuliwe ukiukalia na kuuficha unatunza jibu. Pale kulikuwa na tatizo ushahidi ulihitajika.

Fatilia kipindi cha "wewe pia!" Madereva wavunja sheria humulikwa kwa kamera

Ule ya matrafic wala rushwa.

Hii issue itarekebisha mambo mengi kwenye nyanja ya usafiri wa ndege nchini na kuboresha huduma kwa wateja.
 
Kama alichelewa kuna haja gani ya kutoa ufafanuzi? Kwa hiyo wanatoa ufafanuzi kwa kila aliyechelewa? Yaani rasilimsli na muda vinatumika kwa taarifa kama hizi? Hii nchi kuendelea, labda Mungu ashuke!
 
Mhmhmh haya maneno yako ndani ya akili yangu...
Anamchukua mtu video bila ruhusa yake Ilee ni kesi ya kujibuu...!! Na kuna viongozi wanakaa wanafurahia ule upuuzi kisa tu ni diamond kafanyaa...non sense kabisa Diamond kaikalia Basata...Kaona haitoshi anataka kuikalia Tz kabisa...
 
Dodoki lako lina matundu mengi hauwezi kutumika tena.... Tulia
 
Jplññ,.m
 
Unaongea usichokijua
 
Kaunta inafungwa saa 20h00 Mondi kafika dk 15 baada ya check in kaunta kufungwa hoja yako nini zaidi ya kumwambia dogo asifikiri usafiri wa anga kama daladala ukiliona limesimama unaingia tu!
 
This is tanzania , this is tanzania
 
vile vijamaa vya airport Mwanza vina njaa hatari.
Bado mnaamini kwa hii issue ATCL Mwanza wana matatizo?kama ufafanuzi ni sahihi Bwana Nasibu na wenzake ndio wenye makosa kwamba hawakusoma mashart na vigezo ya mkataba wao wa safari(ticket)
 
Asingelalamika Diamond Platinumz wasingetolea Ufafanuzi...!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]poor tanzania...
Na wametoa ufafanuzi kwa kuwa wanajua kimsingi Diamond ndio kachemka .
Check in mwisho saa 20h00 wewe unakuja 20h15 kwa kuwa tu unajua ndege inaondoka 20h45?
Na baadhi ya watu wa viwanja vya ndege wanadai kijana mara nyingi huwa anaenjoy kuwa wa mwisho anaposafiri locally ,wacha afunzwe ustaarab wa safar
 
Mmenunua ndege miundo mbinu mnayo? , Mwanza, mwanza, ile baggage escalator ya mwanza inabeba sanduku 35 tuu, wewe unabeba watu 240 kila mtu ana vifurushi viwili ni pathetic ukiona watu wanavyogombania mizigo kutoa,acha hiyo, boarding room haitoshi kukaa watu 80, lakini wanajazwa watu 300 kama ngombe , full kujambiana, basi ukute kuna ndege mbili, watu wanasimama chooni, this is pathetic pathetic, tusifichame kwenye small incidence ya diamond, hatuwezi
 
Swali kwa ATCL,kama Diamond aliachwa kwa kuchelewa ndege,kwa nini ndege iliondoka ikiwa imejaa viti vyote?
Kama ni no show passenger,lazima kiti kiende tupu,wao waliuza tu viti wakubali huu ndio mtindo ulioua hili shirika hapo nyuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…