Suley2019
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 2,203
- 5,610
Nchi zote zingeruhusu wachekeshaji wao kukutana na wachezaji kama hivi pengine ingekuwa fujo sana huko Ivory Coast
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂 😂 😂 😂 😭😂😂😂Nchi hii haitapona tena
Yaani ndiyo maana tumefungwa...Yaani unapeleka comedian kwenye suala zito kama hili???!!!!Dah!!!!Bado Tanzania kama nchi imeshindwa kuheshimu Professionalism katika soka. AFCON ni sio sehemu ya siasa wala vituko. Hapo ni sehemu ambayo Wataalamu wanatakiwa kupewa nafasi kutoa mafunzo yao na kufanya Wachezaji wawe focused muda wote. Tazama namna watu kama Mwijaku na Babalevo wanavyopewa nafasi kubwa mpaka ya kukutana na Wachezaji kama hivyo.
Nchi zote zingeruhusu wachekeshaji wao kukutana na wachezaji kama hivi pengine ingekuwa fujo sana huko Ivory Coast
Watu wanatengeneza football academy kwenye nchi zao kwa ajili ya kukuza vipaji vya watoto ili wakiwa wakubwa wacheze national team kwa mafanikio ukija TZ wanasiasa wameamua kuwekeza kwa Mwijaku, Babalevo, Joti na Mpoki ili waisaidie timu ya Taifa ilete kombe la AFCON nyumbani. Shame on you guys!Bado Tanzania kama nchi imeshindwa kuheshimu Professionalism katika soka. AFCON ni sio sehemu ya siasa wala vituko. Hapo ni sehemu ambayo Wataalamu wanatakiwa kupewa nafasi kutoa mafunzo yao na kufanya Wachezaji wawe focused muda wote. Tazama namna watu kama Mwijaku na Babalevo wanavyopewa nafasi kubwa mpaka ya kukutana na Wachezaji kama hivyo.
Nchi zote zingeruhusu wachekeshaji wao kukutana na wachezaji kama hivi pengine ingekuwa fujo sana huko Ivory Coast
Tz nchi ya ajabu sanaYaani ndiyo maana tumefungwa...Yaani unapeleka comedian kwenye suala zito kama hili???!!!!Dah!!!!
Nchi ya k--- sana hii mambo wanayofanyaWatu wanatengeneza football academy kwenye nchi zao kwa ajili ya kukuza vipaji vya watoto ili wakiwa wakubwa wacheze national team kwa mafanikio ukija TZ wanasiasa wameamua kuwekeza kwa Mwijaku, Babalevo, Joti na Mpoki ili waisaidie timu ya Taifa ilete kombe la AFCON nyumbani. Shame on you guys!