Justine Marack
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 612
- 1,698
Unaweza usione au kanona athali ya mkuu wa nchi kujionesha wazi yuko upande wa Yanga.
Watu hawasemi wazi lakini ndio ukweli. TFF na vyombo vyake wako kumpa Furaha mkuu.
Kila Mtu anataka kuwa Chawa kwa nafasi yake. Leo Derby ya Kariakoo Haina tena mvuto.
Kama vile siasa za Tanzania ambavyo zimepoteza mvuto ndivyo mpira nao unapoteza mvuto.
Imagine kwa hapa ligi ilipo tayari Simba hawana tumaini la ubingwa Na hali hii itafanya hâta ushindani upotee kwa zaidi ya miezi saba ligi itakosa ushindani.
Ni kama vile siasa zilivyo dorora tu.
Marefa wanakuja na maelekezo ya kumfurahisha mkuu.