Athari ya Mkuu wa Nchi kuonesha upande anaoshabikia waziwazi, ni ligi kuwa ya kichawa

Athari ya Mkuu wa Nchi kuonesha upande anaoshabikia waziwazi, ni ligi kuwa ya kichawa

Mnapigwa mara nne harafu unaona una Timu hapo mkuu mbona nakuamini unaferi wapi..hata ingekua Yanga anakufa kila akikutana na Mnyama ningesema sina Timu kabisaa.
Kufugwa ni sehemu ya mchezo ,na mpira ni mchezo wa wazi elclasico ya 22 to 23 Madrid alishinda mara nne mfululizo dhidi ya Barcelona hicho ni kitu cha kawaida tu katika mpira.
 
Unaweza usione au kanona athali ya mkuu wa nchi kujionesha wazi yuko upande wa Yanga.

Watu hawasemi wazi lakini ndio ukweli. TFF na vyombo vyake wako kumpa Furaha mkuu.

Kila Mtu anataka kuwa Chawa kwa nafasi yake. Leo Derby ya Kariakoo Haina tena mvuto.

Kama vile siasa za Tanzania ambavyo zimepoteza mvuto ndivyo mpira nao unapoteza mvuto.

Imagine kwa hapa ligi ilipo tayari Simba hawana tumaini la ubingwa Na hali hii itafanya hâta ushindani upotee kwa zaidi ya miezi saba ligi itakosa ushindani.

Ni kama vile siasa zilivyo dorora tu.

Marefa wanakuja na maelekezo ya kumfurahisha mkuu.
Refa mbona alichezesha vizuri tu muzeye. Acha kulalama.
 
Kufugwa ni sehemu ya mchezo ,na mpira ni mchezo wa wazi elclasico ya 22 to 23 Madrid alishinda mara nne mfululizo dhidi ya Barcelona hicho ni kitu cha kawaida tu katika mpira.
Kama mnajua hilo basi badala ya kusema mara tunaroga, mara tunahonga, mara kocha, maa mo basi mkubali tu kuwa mpira haukuwa upande wenu.
Yanga imefanya kile ambacho wakati inapitia msoto simba ilifanya, kuanzia hilo kombe la losers hadi now ligi ya mabingwa. Lazima ukubali kuwa Yanga ni bora kwa sasa.
 
Mistake imeanza walipomtoa Kagoma, Kiungo yote ikamilikiwa na Mafundi na Mabingwa wa mpira Yanga, Makolo hawana Midfielder / Holder wa mpira katikatika......Mabeki wakipata mpira ni kupiga tu mbele na kukimbia 🤣🤣🤣
Kagoma naona aliumia yule jamaa anaweza sana kumiliki watu wao walichokua wanategemea wapige mpira mbele wakimbie wakafunge hiyo mipira ya kina Zamoyoni Mogela sasa hivi wahuni wanaziba njia tu au wanacheza rafu tofauti na pasi mpira unapita kwenye njia zake..
 
Mifano ipo mingi , mambo kama hayo kwenye mpira ni kawaida
Mkuu mimi mpira nausafiria kwenda kuangalia ni vile huu wa Jmosi ijayo Madrid vs Barcelona umenikuta Arusha na nina ratiba tofauti na mpira ningeenda hapo Madrid nishaangalia El Classico na WC kadhaa..
 
Kama mnajua hilo basi badala ya kusema mara tunaroga, mara tunahonga, mara kocha, maa mo basi mkubali tu kuwa mpira haukuwa upande wenu.
Yanga imefanya kile ambacho wakati inapitia msoto simba ilifanya, kuanzia hilo kombe la losers hadi now ligi ya mabingwa. Lazima ukubali kuwa Yanga ni bora kwa sasa.
Mpira lazima uwe na tambo na majivuno na kuvimba hasa kwa sisi washabiki , bila hivyo hata hiyo ladha ya dabi ingechacha😁
 
Mkuu mimi mpira nausafiria kwenda kuangalia ni vile huu wa Jmosi ijayo Madrid vs Barcelona umenikuta Arusha na nina ratiba tofauti na mpira ningeenda hapo Madrid nishaangalia El Classico na WC kadhaa..
Hiyo game itakua ya moto sana , sio ya kukosa🤔
 
Mtoa post..vipi Simba angeshinda..unataka kusema Kiongozi huyo asingeipongeza Simba? Penye ushindi anapewa maua yake mshindi..
 
Hakuna athari mkuu wa nchi kupongeza timu iliyoshinda. Hata simba ingeshinda angepongeza tu. Kumbukeni goli la mama kila timu hupata ahadi hiyo bila kujali ni yanga au simba
 
Ninaunga mkono hoja kwa hili
Hata nyie jana tungewafunga mngelalama mno na kukamatana uchawi 😁😁 hiyo ni kawaida tu kwenye dabi na sio kwamba watu hawana akili ni ushabiki tu😁😁
 
Hakuna athari mkuu wa nchi kupongeza timu iliyoshinda. Hata simba ingeshinda angepongeza tu. Kumbukeni goli la mama kila timu hupata ahadi hiyo bila kujali ni yanga au simba
 
Hakuna athari mkuu wa nchi kupongeza timu iliyoshinda. Hata simba ingeshinda angepongeza tu. Kumbukeni goli la mama kila timu hupata ahadi hiyo bila kujali ni yanga au simba
Ila hii ya mpira kuvamiwa na siasa huwa sielewagi kabisa.

Yani wanasiasa wameshindwa kushawishi kabisa sasa wamevamia vile vitu vinawafurahisha watu, mziki na mpira 🤔
 
Back
Top Bottom