Justine Marack
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 612
- 1,698
Simba wamechanganyikiwa hadi msemaji wao wanamlaumu eti kasababisha wafungwe utahisi msemaji nae anaingia uwanjani kuchezaMtasema yote.
Si muda mrefu mtaanza dai tena bil 20 na kukandia usajili maana ndivyo inavyokuwa mkashakalishwa.
Mnhedraw ama kufunga haya yasingekuwepo.
Unaweza usione au kanona athali ya mkuu wa nchi kujionesha wazi yuko upande wa Yanga.
Watu hawasemi wazi lakini ndio ukweli.
TFF na vyombo vyake wako kumpa Furaha mkuu.
Kila Mtu anataka kuwa Chawa kwa nafasi yake .
Leo Derby ya Kariakoo Haina tena mvuto.
Kama vile siasa za Tanzania ambavyo zimepoteza mvuto ndivyo mpira nao unapoteza mvuto.
Imagine kwa hapa ligi ilipo tayari Simba hawana tumaini la ubingwa Na hali hii itafanya hâta ushindani upotee kwa zaidi ya miezi saba ligi itakosa ushindani.
Ni kama vile siasa zilivyo dorora tu.
Marefa wanakuja na maelekezo ya kumfurahisha mkuu
Nimecheka sana asubuhi hii. Ukiangalia mahojiano ya mashabiki wa Simba huko mitandoni kwenye hizi online TV, inachekesha.Simba wamechanganyikiwa hadi msemaji wao wanamlaumu eti kasababisha wafungwe utahisi msemaji nae anaingia uwanjani kucheza
Huwa wanakuwa hivyo mara zote. Before mechi wanakuwa na kelele sana za majigambo. Baada ya mechi wanaanza sema yanga imebebwa, wachezaji wamehongwa, mo tapeli sajili fake, kocha aondoke, yani wanakuwa hata hawajui tatizo ni nini.Nimecheka sana asubuhi hii. Ukiangalia mahojiano ya mashabiki wa Simba huko mitandoni kwenye hizi online TV, inachekesha.
Kwamba nyie hamjawahi kulaumu !!!!! jina utopolo limetokea wap?Huwa wanakuwa hivyo mara zote. Before mechi wanakuwa na kelele sana za majigambo. Baada ya mechi wanaanza sema yanga imebebwa, wachezaji wamehongwa, mo tapeli sajili fake, kocha aondoke, yani wanakuwa hata hawajui tatizo ni nini.
Mkuu yameisha, maisha mengine yaendelee. Mmeshafungwa basi mgange yajayo.Kwamba nyie haujawahi kulaumu !!!!! jina utopolo limetokea wap?
Tushasahau hizo zama kwa miaka hii mfululizo kwetu sherehe kila siku.Kwamba nyie haujawahi kulaumu !!!!! jina utopolo limetokea wap?
Muacheni mama wa watu jamani, hizi lawama wapeni Gamondi na Hersi kwa kutengeneza kikosi kizuri.Unaweza usione au kanona athali ya mkuu wa nchi kujionesha wazi yuko upande wa Yanga.
Watu hawasemi wazi lakini ndio ukweli.
TFF na vyombo vyake wako kumpa Furaha mkuu.
Kila Mtu anataka kuwa Chawa kwa nafasi yake .
Leo Derby ya Kariakoo Haina tena mvuto.
Kama vile siasa za Tanzania ambavyo zimepoteza mvuto ndivyo mpira nao unapoteza mvuto.
Imagine kwa hapa ligi ilipo tayari Simba hawana tumaini la ubingwa Na hali hii itafanya hâta ushindani upotee kwa zaidi ya miezi saba ligi itakosa ushindani.
Ni kama vile siasa zilivyo dorora tu.
Marefa wanakuja na maelekezo ya kumfurahisha mkuu
=athari.Unaweza usione au kanona athali ya mkuu wa nchi kujionesha wazi yuko upande wa Yanga.
Watu hawasemi wazi lakini ndio ukweli.
TFF na vyombo vyake wako kumpa Furaha mkuu.
Kila Mtu anataka kuwa Chawa kwa nafasi yake .
Leo Derby ya Kariakoo Haina tena mvuto.
Kama vile siasa za Tanzania ambavyo zimepoteza mvuto ndivyo mpira nao unapoteza mvuto.
Imagine kwa hapa ligi ilipo tayari Simba hawana tumaini la ubingwa Na hali hii itafanya hâta ushindani upotee kwa zaidi ya miezi saba ligi itakosa ushindani.
Ni kama vile siasa zilivyo dorora tu.
Marefa wanakuja na maelekezo ya kumfurahisha mkuu
Simba ipo vizuri hakuna anae sema kikosi cha simba nikibovu .Tushasahau hizo zama kwa miaka hii mfululizo kwetu sherehe kila siku.
Nyie kila msimu mnaanza kwa kusema msimu huu tuko vzuri... Mkishabamizwa na yanga basi yale mazuri yote mliyosema yanakuwa hakuna.
Mtalaumu sana. Sasa mchague moja, usajili mbovu au yanga inabebwa au wachezaji wamehongwa? Maana mnakuwa mara mnalaumu timu yenu mara refa mara kocha so ukweli ni upi?
Mengine kubali kuachwa. cheza na wajukuu zako furahia matunda ya uzao wako.=athari.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga
Simba ina imarika sio rahisi kuunganisha timu kwa haraka ,angalia Chelsea walivyosubiri kwa mda mrefu.Kwa wale wachezaji wa Yanga,Simba mtafungwa sana aisee lile Boka utadhani Jini aisee anafata pasi Gongolamboto harafu Simba mtoe sare..