Kufugwa ni sehemu ya mchezo ,na mpira ni mchezo wa wazi elclasico ya 22 to 23 Madrid alishinda mara nne mfululizo dhidi ya Barcelona hicho ni kitu cha kawaida tu katika mpira.Mnapigwa mara nne harafu unaona una Timu hapo mkuu mbona nakuamini unaferi wapi..hata ingekua Yanga anakufa kila akikutana na Mnyama ningesema sina Timu kabisaa.
Refa mbona alichezesha vizuri tu muzeye. Acha kulalama.Unaweza usione au kanona athali ya mkuu wa nchi kujionesha wazi yuko upande wa Yanga.
Watu hawasemi wazi lakini ndio ukweli. TFF na vyombo vyake wako kumpa Furaha mkuu.
Kila Mtu anataka kuwa Chawa kwa nafasi yake. Leo Derby ya Kariakoo Haina tena mvuto.
Kama vile siasa za Tanzania ambavyo zimepoteza mvuto ndivyo mpira nao unapoteza mvuto.
Imagine kwa hapa ligi ilipo tayari Simba hawana tumaini la ubingwa Na hali hii itafanya hรขta ushindani upotee kwa zaidi ya miezi saba ligi itakosa ushindani.
Ni kama vile siasa zilivyo dorora tu.
Marefa wanakuja na maelekezo ya kumfurahisha mkuu.
Sio kitu cha kawaida ndio maana umetolea mfano..Kufugwa ni sehemu ya mchezo ,na mpira ni mchezo wa wazi elclasico ya 22 to 23 Madrid alishinda mara nne mfululizo dhidi ya Barcelona hicho ni kitu cha kawaida tu katika mpira.
Mifano ipo mingi , mambo kama hayo kwenye mpira ni kawaidaSio kitu cha kawaida ndio maana umetolea mfano..
Aaaah mama Guede.Muacheni mama wa watu jamani, hizi lawama wapeni Gamondi na Hersi kwa kutengeneza kikosi kizuri.
Kama mnajua hilo basi badala ya kusema mara tunaroga, mara tunahonga, mara kocha, maa mo basi mkubali tu kuwa mpira haukuwa upande wenu.Kufugwa ni sehemu ya mchezo ,na mpira ni mchezo wa wazi elclasico ya 22 to 23 Madrid alishinda mara nne mfululizo dhidi ya Barcelona hicho ni kitu cha kawaida tu katika mpira.
Kagoma naona aliumia yule jamaa anaweza sana kumiliki watu wao walichokua wanategemea wapige mpira mbele wakimbie wakafunge hiyo mipira ya kina Zamoyoni Mogela sasa hivi wahuni wanaziba njia tu au wanacheza rafu tofauti na pasi mpira unapita kwenye njia zake..Mistake imeanza walipomtoa Kagoma, Kiungo yote ikamilikiwa na Mafundi na Mabingwa wa mpira Yanga, Makolo hawana Midfielder / Holder wa mpira katikatika......Mabeki wakipata mpira ni kupiga tu mbele na kukimbia ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Mkuu mimi mpira nausafiria kwenda kuangalia ni vile huu wa Jmosi ijayo Madrid vs Barcelona umenikuta Arusha na nina ratiba tofauti na mpira ningeenda hapo Madrid nishaangalia El Classico na WC kadhaa..Mifano ipo mingi , mambo kama hayo kwenye mpira ni kawaida
Mpira lazima uwe na tambo na majivuno na kuvimba hasa kwa sisi washabiki , bila hivyo hata hiyo ladha ya dabi ingechacha๐Kama mnajua hilo basi badala ya kusema mara tunaroga, mara tunahonga, mara kocha, maa mo basi mkubali tu kuwa mpira haukuwa upande wenu.
Yanga imefanya kile ambacho wakati inapitia msoto simba ilifanya, kuanzia hilo kombe la losers hadi now ligi ya mabingwa. Lazima ukubali kuwa Yanga ni bora kwa sasa.
Hiyo game itakua ya moto sana , sio ya kukosa๐คMkuu mimi mpira nausafiria kwenda kuangalia ni vile huu wa Jmosi ijayo Madrid vs Barcelona umenikuta Arusha na nina ratiba tofauti na mpira ningeenda hapo Madrid nishaangalia El Classico na WC kadhaa..
Ninaunga mkono hoja kwa hiliMpira lazima uwe na tambo na majivuno na kuvimba hasa kwa sisi washabiki , bila hivyo hata hiyo ladha ya dabi ingechacha๐
Hata nyie jana tungewafunga mngelalama mno na kukamatana uchawi ๐๐ hiyo ni kawaida tu kwenye dabi na sio kwamba watu hawana akili ni ushabiki tu๐๐Ninaunga mkono hoja kwa hili
Tungesema kocha asepeHata nyie jana tungewafunga mngelalama mno na kukamatana uchawi ๐๐ hiyo ni kawaida tu kwenye dabi na sio kwamba watu hawana akili ni ushabiki tu๐๐
Ila hii ya mpira kuvamiwa na siasa huwa sielewagi kabisa.Hakuna athari mkuu wa nchi kupongeza timu iliyoshinda. Hata simba ingeshinda angepongeza tu. Kumbukeni goli la mama kila timu hupata ahadi hiyo bila kujali ni yanga au simba