Athari ya Mkuu wa Nchi kuonesha upande anaoshabikia waziwazi, ni ligi kuwa ya kichawa

Wewe weka ushahidi usiotia shaka uleweke acha bla bla.
 
hamtawaona Tena wakichezesha mpira nsimu ujao hawapo usiniulize kwa nn
 
Huwa wanakuwa hivyo mara zote. Before mechi wanakuwa na kelele sana za majigambo. Baada ya mechi wanaanza sema yanga imebebwa, wachezaji wamehongwa, mo tapeli sajili fake, kocha aondoke, yani wanakuwa hata hawajui tatizo ni nini.
Jana kabla ya mechi kuna mshabiki wa simba alisema kwa gharama yeyote ile lazima washinde na uongozi wao umeenda kuloga mpaka nje ya nchi
 
Rage hakukosea.
Wewe Mkuu hapa ndo umefunga mjadala, Rage ajitokeze sasa kuthibitisha kauli yake, atuambie alijuaje wanasimba wote ni mbumbumbu kasoro yeye tu!! Maana ni kweli simba wote ni mbumbumbu! Kichapo mara nne mfululizo ni ushahidi mkubwa wa umbumbumbu!!

Rage atuambie alitumia akili au ramli , aliona nini, alitumia vigezo gani kuita wanasimba mbumbumbu na kwanini hawaambii makolo shida yao ni nini yeye anawachora tu!!

Maana visingizio vya kichapo cha kolowizard jana, ukihesabu vimefika mia, hata hatujui tushike lipi!!

Ila kila mwenye akili alijua Yanga itashinda ni idadi ya magoli tu ndo tulimuachia Allah.

Simba waitishe mkutano wa dharura wa wanachama kutoa povu, kisha wakae chini na Rage awaoneshe panapovuja!!!
 
Halafu watu Waliokupa like hapo juu ni wapumbavu Kama wewe!!

Mtasema mpaka mganga wenu ni Tanga
Mwaka huu mtasema yote!!
 
Mtasema yote.
Si muda mrefu mtaanza dai tena bil 20 na kukandia usajili maana ndivyo inavyokuwa mkishakalishwa.
Mngedraw ama kufunga haya yasingekuwepo.
yangekuepo na yataendelea kuwepo as long as bado tupo.
 
Huwa wanakuwa hivyo mara zote. Before mechi wanakuwa na kelele sana za majigambo. Baada ya mechi wanaanza sema yanga imebebwa, wachezaji wamehongwa, mo tapeli sajili fake, kocha aondoke, yani wanakuwa hata hawajui tatizo ni nini.
niletee post yoyote inayosema kocha aondoke? Nani kasema? Lini? Wapi na sa ngapi? Acha kutulisha maneno.
 
Maumivu yakizidi pata ushauri wa daktari
 
wakati yanga anabamizwa 5 mashabiki wanaenda kuchoma nyumba ya kiongozi wao ulikuwa bado haujazaliwa dada mwajuma? Kama simba inafanya vibaya lazima tulalamike mpaka pale itakapoanza kufanya vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…