Athari ya Mkuu wa Nchi kuonesha upande anaoshabikia waziwazi, ni ligi kuwa ya kichawa

hamjasema mpkmseme hamjasemaaa...hakunaga raisi kolo...
 
wakati yanga anabamizwa 5 mashabiki wanaenda kuchoma nyumba ya kiongozi wao ulikuwa bado haujazaliwa dada mwajuma? Kama simba inafanya vibaya lazima tulalamike mpaka pale itakapoanza kufanya vizuri.
That was then this is now mkuu, if you live in the past the future will never find you.
 
Kama ulikua hujui za ndaani kabisa kisiasa ni simba ndio inatakiwa iwe bingwa, na hii derby ilitakiwa ndo ishinde.

Angalia jinsi ratiba ya lingi ilivyokua, ilikua inawajengea uimara na kujiamini wana lunyasi, ila imebebwa haibebeki, inachana mbeleko.

Ili uchaguzi ujao uwe rahisi ilitakiwa mzani ubalance ila ndo ivo hambebeki, na wakiingia sana itaonekana wazi mwisho tff iingie matatani.
 
Wewe weka ushahidi usiotia shaka uleweke acha bla bla.
Katika Simba Day alipiga simu. Katika Yanga Day iliandaliwa session maalum na kuunganishwa video na akawa live tena kwa Muda mrefu.
Umesahau mambo ya ndege na safari ya Malawi?
 
Katika Simba Day alipiga simu. Katika Yanga Day iliandaliwa session maalum na kuunganishwa video na akawa live tena kwa Muda mrefu.
Umesahau mambo ya ndege na safari ya Malawi?
Alifanya kosa kupiga simu? Au kuna utaratibu wa kufuata ambao alikiuka?
 
Athari ya kimoja mlichokuwa mnakidharau umekiona?by the way acha kumuhusisha mh.Rais na vitu vya hovyo.
 
Punguza hasira mkuu wa nchi anacheza namba ngapi kwani mkuu? Nyie mnaacha kujenga timu mmebakia mnalaumu kila mtu ,mara refa, mara raisi ,mara kipa jengeni timu na mtapigwa kila siku mkikutana na yanga kama hamtobadilika
 
Kwahiyo tatizo siyo GSM kudhamini timu nyingi katika ligi yetu?
 
TIMU BOVU LINAKAMIA...HALINA SUB.. TIMU INALEGEA KADRI MUDA UNAVYOSONGA MBELE HALAFU ICHUKUE UBINGWA UPI ???.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…