Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hukisema gari yeyote ambayo ni D4 una maana gani
Tofauti na EFi ni niniD4 ni engine zote zenye kirefu FSE mwishoni,.
1az fse
4gr fse
3gr fse
2gr fse
Zipo nyingi sana.
Hizi ni engine ambazo zinakuwa na mfumo wa direct injection, yaani mafuta yanaingia moja kwa moja kwenye engine.
Zinakuwa na pump mbili, moja kwenye tank na ya pili juu ya engine(high pressure pump).
Ni engine nzuri sana ila hazitaki ubabaishaji kabisa.
Katika hizi picha mbili nilizokuwekea naomba uangalie position ya injectorTofauti na EFi ni nini
Kwa miaka hii ya karibuni ndo tunaanza kupata mafundi wenye uelewa kama nyie. hapo zamani ilikuwa ni nightmare kupata tazizo la electronic kwenye gari za umemeangekuja angefanyiwa kwa bei chee hizo zote unatoa na kuweka off maisha yanasonga
Uzi mzur
Yanatumika kwa kazi gani?Ni kweli kabisa, na hayo masega yanatafutwa kwa gharama zozote...