Athari za kutoa masega kwenye gari (catalytic converter)

Athari za kutoa masega kwenye gari (catalytic converter)

Hukisema gari yeyote ambayo ni D4 una maana gani

D4 ni engine zote zenye kirefu FSE mwishoni,.

1az fse
4gr fse
3gr fse
2gr fse

Zipo nyingi sana.

Hizi ni engine ambazo zinakuwa na mfumo wa direct injection, yaani mafuta yanaingia moja kwa moja kwenye engine.

Zinakuwa na pump mbili, moja kwenye tank na ya pili juu ya engine(high pressure pump).

Ni engine nzuri sana ila hazitaki ubabaishaji kabisa.
 
Tofauti na EFi ni nini
 
Tofauti na EFi ni nini
Katika hizi picha mbili nilizokuwekea naomba uangalie position ya injector

images (4).jpeg

images (2).png

EFI hayaingii moja kwa moja kwenye engine

Pia Hiyo direct injection ambayo toyota anaitumia, inatumika pia kwenye magari mengine ila kwa majina tofauti.

Mfano

Mitisubishi wanaita GDI

Benz wanaita CGI

n.k.
 
angekuja angefanyiwa kwa bei chee hizo zote unatoa na kuweka off maisha yanasonga
Kwa miaka hii ya karibuni ndo tunaanza kupata mafundi wenye uelewa kama nyie. hapo zamani ilikuwa ni nightmare kupata tazizo la electronic kwenye gari za umeme
 
Back
Top Bottom