WLF Tanzania
Member
- Oct 9, 2014
- 38
- 22
Wakuu,
Utoaji mimba ni jambo hatari. Kuna wakati inabidi, lakini asilimia kubwa ya watoaji mimba ni wasichana wadogo, hasa walioko shule ambao wamejiingiza katika vitendo vya ngono mapema.
Utoaji mimba unaweza kuleta madhara mengi, yakiwemo:
Kumbuka, kinga ni bora kuliko tiba. Usijiweke katika hatari ya kupata mimba kama hutaki mtoto.
Nawatakia siku njema.

- Kuhatarisha maisha
- Kuharibu kizazi
- Kuwa katika hatari zaidi ya kupata maradhi kama Saratani ya Shingo ya Kizazi
- Kushitakiwa na nchi kwa kosa la kuua
- Kwa mtu anayemuamini Mungu, kitendo hiki kinaharibu uhusiano wake na Mungu.