Kalenda ni nzuri zaidi vinginevyo labda condom au hubby atoe nje akikaribia kufika mlimani. Hizi za wazungu siyo kabisa.Sasa tutatumia nini jamani? Maana hayo ya wazungu kweli yanaside effects mbaya kabisa, hakuna njia ya asili nyingine ukiacha calendar?
My dear calendar inazinguaga sometimes. Condom nayo mtihani jamani maana yango na yango mpango mzima.Kalenda ni nzuri zaidi vinginevyo labda condom au hubby atoe nje akikaribia kufika mlimani. Hizi za wazungu siyo kabisa.
Asante sana bikra wangu kapicha bac
Kalenda ni nzuri zaidi vinginevyo labda condom au hubby atoe nje akikaribia kufika mlimani. Hizi za wazungu siyo kabisa.
My dear calendar inazinguaga sometimes. Condom nayo mtihani jamani maana yango na yango mpango mzima.
Kwa kweli calendar is the best ni umakini tu.Ukiweza kufuatilia kalenda vyema haina mizinguo yoyote!
Kabla ya kuanza kufuata njia hii ni vyema ukajifanyia kautafiti kama miezi3 mfululizo.
Ujue mzunguko wako ni wa siku ngapi.
Sasa tutatumia nini jamani? Maana hayo ya wazungu kweli yanaside effects mbaya kabisa, hakuna njia ya asili nyingine ukiacha calendar?
Kalenda siku ukiona inazingua option ninayoona ni nzuri ni hiyo ya kutoa nje, ila inahitaji mtu muelewa na smart maana risk ni kubwa.My dear calendar inazinguaga sometimes. Condom nayo mtihani jamani maana yango na yango mpango mzima.
Ungemshauri awaone madaktarihizi njia za uzazi wa mpango mbaya sana yaani kuna binti nilikuwa nae tukiwa faragha alikuwa anamwaga damu yaani full kubleed mashuka kulowa damu tupu ilifika kipindi nikimuomba mchezo akikumbuka suala la kumwaga damu anapata mfadhaiko sana sasa kama mtu anafadhaika kabla ya tendo husitegemee mtu kufurahia tendo hata mwanaume ukazane vipi. tatizo sex tumeifanya kama starehe ndio maana hofu ya mimba imekuwa kubwa ila kama sex ingechukuliwa kama hitaji la mwili basi lingepangiwa utaratibu ambao ungeweza kuzuia mimba hisiyotarajiwa hata bila kutumia hizo njia za kimagharibi.
Sure, I have been using this for too long and it's never disappointed me! It's a best way unless you have erratic MC.Kwa kweli calender is the best ni umakini tu.
Naomba utueleze kidogo,maana wajuvi wa mambo wanasema hiyo ndio njema kabisa haina kemikali.Mke wangu ametumia kitanzi, kwa kweli tunajuta
Mkuu kitanzi ndio kijiti? Shida nini?
Kwani si kaeleweka?Haya tuchangie mada.Did you attend the reading and writing lessons in std one?
Pole sana.Hiyo namba namba 12 inanihusu.... Ni hatari... Mtu hafiki kileleni hata mkeshe.
Mkuu acha utani.Njia nyingine pekee ya asili iliyo salama ni kuacha kutommbana tu kama hauko tayari kupata mimba kwa muda huo.
Kweli inahitaji umakini sana.Kalenda siku ukiona inazingua option ninayoona ni nzuri ni hiyo ya kutoa nje, ila inahitaji mtu muelewa na smart maana risk ni kubwa.