Athari za TFF kutoa ruhusa klabu za Ligi Kuu Kusajili Wachezaji 12 wa kigeni

kasenene

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2008
Posts
1,632
Reaction score
2,413
kwa hatua hii bila shaka itauwa vipaji vya soka la vijana wetu kwani ni wazi sasa vilabu havitakuwa tena na mda wa kupoteza wa kulea vijana ili hali kuna soko tayari nje nje la vijana kutoka nje waliolelewa vizuri na wapo tayari kutoa matokeo mazuri (ikumbukwe lengo kuu la wamiliki wa vilabu vikubwa vilivyochangia sana sana kupitishwa kwa kanuni hii ya wachezaji 12 yaani SImba na Yanga wao wanaangalia zaidi katika kutengeneza faida zaidi na kurudisha pesa yao i,e MO & GSM.

Kanachoshikitisha ni kwamba TFF ya sasa inaongozwa na watu wasio na uwezo wa kudadavuo mambo kwa manufaa ya Taifa mbele (namzungumzia Rais wa sasa wa TFF) mungu wangu! "Kitumbo" sijui hata elimu yake ni kiasi gani lakini hata ukimsikia anavyoongea ni mtu asiyejua nini anachoongea basi tu kwa kuwa aliwekwa pale na ""usalama" basi yeye amakuwepo pale akisikiliza matakwa ya wakubwa waliomuweka pale kumpeleka peleka.

Hitimisho ni kwamba ligi yetu itaonekana bora Afrika kwa mda kwa sababu ya "influx" ya wachezaji wa nje lakini soka letu la bongo litaendelea kudidimia mpaka atapotokea Waziri wa michezo mwenye akili na sio huyu wa sasa "mnyambo" mwenye akili "kamasi" anayepelekwa pelekwa kwa kila jambo.
 
Mkuu una miaka mingap naona una fikra za kzamani sana
 
Ata uko nje kuna timu kazi yake kununua wachezaji waliokwisha wiva haijalishi wanatoka nje ya nchi au ndani ya nchi na uko uko nje kuna timu iyo ndio kazi yake kupika wachezaji mfano timu kama ajax, dotmund apa katikat ilikuwepo Southampton na nyingine apa tanzania timu sio simba yanga na azam tu zipo nyingi tu kuanzia chini uko kwaiyo sasa kazi itabaki wa vilabu vingine kupka wachezaji wazawa wakishakua tayari wale walio bora zaidi watahitajika tu timu kubwa na ndio itakua nafasi yao ya kwenda mbele zaidi ,na pia watu tunajisahau tu kulaumu kila ktu hizi simba yanga au azam hawajasalili nje tu karibu wote wamesajili na ndani wachezaji wale ambao wameonyesha uwezo fulani na timu ya taifa haitaji wachezaji mia kwa mechi ,cha msingi apa inatakiwa tuwaimize hawa wachezaji wetu pamoja na wenyewe wajifunze kwa hawa wa nje sio kujifunza tu pia wawe na maarifa hivi vipaji wa kuimbwa tu sisi tuna vipaji sisi tunawachezaji wazuri aya maneno inatakiwa vitendo bora ivyo ata tukisema tusajili wachezaji watano wa nje bado tutakua na timu mbovu ya taifa na tutakua na vilabu vibovu zaid ,wala hakuna wasiwasi wenye vipaji na uwezo watacheza tu ukiona mchezaji wa nje anacheza basi uwezo kamzidi wa ndani na ukiona mchezaji wa ndani hachezi na kiwango kamzid wa nje ilo ni tatzo lingine ambalo ata mchezaji wa nje linaweza kumkuta ,kufanya vizur kwa timu yetu ya taifa itategemea na vipaji juhudi na uwezo wa wachezaji wetu pamoja na uwekezaji na mipango ya serikali kwa kushirikiana na tff
 
Binafsi sijaona tatizo kabisa sababu hata timu zenyewe za ligi kuu zenye uwezo wa kusajili wachezaji wa kigeni kwa idadi hiyo ni 3 tu, Simba, Azam na Yanga ambayo ni sawa na asilimia 16% ya timu zote za ligi kuu! asili,ia hii inabeba pia asilimia ya wachezaji wa kigeni katika ligi kuu. Sasa hapa 16% wanawezaje kuwaathiri 84%.
Nawapongeza pia TFF kwa kufanya mambo kwa kuangalia mahitaji ya wakati na sio kushikilia mazowea!
 
Mnatafuta tu kisingizio, ila kusajili wachezaji 12 wa kigeni sio sababu ya soka letu kudidimia, sisi hatuna mfumo mzuri.. Acha wageni waje watung'arishe kimataifa, na wa kwetu wajifunze kutoka kwao nini haswa professionalism
 
Sijaona kabisa sababu ya msingi ya kuongeza wachezaji kutoka 10 mpaka 12! Ukichukulia sisi wenyewe hatuna sera rafiki ya kuwatoa wachezaji wetu wa ndani kwa idadi kubwa kwenda kucheza soka nje ya nchi.

Mbaya zaidi hata katika ukanda wetu tu wa Afrika Mashariki, Kati na Kusini hakuna idadi ya kuridhisha ya wachezaji wetu wazawa kwenda kucheza maeneo hayo! Hivyo tunabakia kuwa shamba la bibi, huku tukiambulia mafanikio kiduchu ya baadhi ya timu zetu kwenye mashindano ya kimataifa.
 
kwa hatua hii bila shaka itauwa vipaji vya soka la vijana wetu kwani ni wazi sasa vilabu havitakuwa tena na mda wa kupoteza wa kulea vijana ili hali kuna soko tayari nje nje la vijana kutoka nje waliolelewa vizuri na wapo tayari kutoa matokeo mazuri (ikumbukwe lengo kuu la wamiliki wa vilabu vikubwa vilivyochangia sana sana kupitishwa kwa kanuni hii ya wachezaji 12 yaani SImba na Yanga wao wanaangalia zaidi katika kutengeneza faida zaidi na kurudisha pesa yao i,e MO & GSM.

Kanachoshikitisha ni kwamba TFF ya sasa inaongozwa na watu wasio na uwezo wa kudadavuo mambo kwa manufaa ya Taifa mbele (namzungumzia Rais wa sasa wa TFF) mungu wangu! "Kitumbo" sijui hata elimu yake ni kiasi gani lakini hata ukimsikia anavyoongea ni mtu asiyejua nini anachoongea basi tu kwa kuwa aliwekwa pale na ""usalama" basi yeye amakuwepo pale akisikiliza matakwa ya wakubwa waliomuweka pale kumpeleka peleka.

Hitimisho ni kwamba ligi yetu itaonekana bora Afrika kwa mda kwa sababu ya "influx" ya wachezaji wa nje lakini soka letu la bongo litaendelea kudidimia mpaka atapotokea Waziri wa michezo mwenye akili na sio huyu wa sasa "mnyambo" mwenye akili "kamasi" anayepelekwa pelekwa kwa kila jambo.
Hai vijana wetu unaowazungumzia wamejaa kwenye timu zote Tz, Ni Ni wanafanya au ni viwango gani wanaonyesha huko.
 
Kutafuta visingizio tu..
Screenshot_20210816-131859_CamScanner.jpg

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
 
Ata bila kuwa na elimu ya ngazi ya Degree naweza kujua kuwa wewe ni mwana Yanga, hii ni Mentality ya kulalamikia kila jambo ambayo mmepandikizwa na viongozi wenu sio nzuri hata kidogo, itaenda kwenye mambo mengi sana msipokuwa makini, mtaanza na mpira, mtaenda serikalini, mtaenda kwenye familia zenu, mtamalizia katika jamii mnazoishi nazo

kataeni huu utumwa mmekuwa kero kusema ukweli, na bora muwe mnalalamika mkiwa na hoja hapo inakuwa haina shida, tatizo ni kwamba always mnalalamika kwa mihemko bila kuwa na sababu za msingi, saiz hakuna kitu karia atafanya kwa manufaa ya mpira wetu itaonekana anafanya kwa sababu ya Simba

Kabla ya kuongeza wachezaji na kufika 12, hapo awali ilikuwa ni wachezaji 10, na hao 10 waliruhusiwa kuanza wote katika kikosi cha kwanza, yani katika wachezaji 11 wakigeni waliruhusiwa kuanza 10, haya wameongeza wachezaji kufika 12 wa kigeni lakini watakaoanza katika kikosi cha kwanza ni 8 tu

Jamani aliesema msajiri wachezaji 10 na wote ruhusa kuanza katika kikosi cha kwanza na aliesema msajiri 12 na waanze 8 kwenye kikosi cha kwanza nani ana nia njema na hatma ya team yetu ya taifa? Inakera sana washabiki wa Yanga mmekuwa kama wanawake always kulialia tu, tulipokuwa tunaendea kama idadi ya wachezaji kikosi cha kwanza isingepunguzwa hadi 8 basi ingefkia Yanga, Simba na Azam kuchezesha mchezaji mmoja tu wa kitanzania kwa kuamini wachezaji wa kigeni ndio watawapa Kombe

faida ya ongezeko la wachezaji wa kigeni team itanufaika kwenye mashindano ya kimataifa tu ndio wanarusiwa kuanza wachezaji 10, karia kaongeza namba ya usajili kwa sababu CAF imetoa ruhusa hivi sasa team inarusiwa kuwa na wachezaji 40 kutokana na corona hapo kosa la Karia liko wapi? Na mnajua fika uwezo wa wachezaji wenu wa kitanzania kama ndio mtawategemea wawafikishe nusu fainali klabu bingwa Afrika

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
 
Sijaona kabisa sababu ya msingi ya kuongeza wachezaji kutoka 10 mpaka 12! Ukichukulia sisi wenyewe hatuna sera rafiki ya kuwatoa wachezaji wetu wa ndani kwa idadi kubwa kwenda kucheza soka nje ya nchi.

Mbaya zaidi hata katika ukanda wetu tu wa Afrika Mashariki, Kati na Kusini hakuna idadi ya kuridhisha ya wachezaji wetu wazawa kwenda kucheza maeneo hayo! Hivyo tunabakia kuwa shamba la bibi, huku tukiambulia mafanikio kiduchu ya baadhi ya timu zetu kwenye mashindano ya kimataifa.
Nendeni mkashitaki CAS
 
Binafsi sijaona tatizo kabisa sababu hata timu zenyewe za ligi kuu zenye uwezo wa kusajili wachezaji wa kigeni kwa idadi hiyo ni 3 tu, Simba, Azam na Yanga ambayo ni sawa na asilimia 16% ya timu zote za ligi kuu! asili,ia hii inabeba pia asilimia ya wachezaji wa kigeni katika ligi kuu. Sasa hapa 16% wanawezaje kuwaathiri 84%.
Nawapongeza pia TFF kwa kufanya mambo kwa kuangalia mahitaji ya wakati na sio kushikilia mazowea!
Timu ya taifa inaundwa zaidi kila mara na wachezaji kutoka vilabu ama timu zipi?ukijibu hili mheshimu pia mleta maada kwa mawazo yake, think of what if?so what?for who?na etc
 
Ahaa tena vizuri umezungumzia hilo!
Kwanza kuongeza idadi ya wachezaji wa kigeni kwenye timu za ligi kuu kunatoa nafuu kwa timu hizi kuwaachia wachezaji wao ambao ni wazawa kwenda kuitumikia timu ya taifa stars pindi wanapoitwa bila kuathiri mzunguko wa ligi au mashindano ya kimataifa ambayo timu husika inakuwa inashiriki.
Mfano kama kikosi kina nyota 12 wa kigeni, hapa hata ukiita wachezaji 6 kwenda stars bado waliobaki wanaweza kuendelea na ligi tofauti na sasa ambapo tumekuwa tukilazimika kusimamisha ligi hovyo ili tu kupisha wachezaji wakaitumikie timu yetu ya taifa bila kujali athari za kusimamisha ligi zinavyokuwa.
Pia kwa upande mwingine uwepo wa wachezaji wengi wa kigeni kwenye timu zetu utasaidia kuongeza ushindani wa namba kati ya wazawa na wageni jambo ambalo ni faida kwa wachezaji wetu.
Zaidi ya yote lazima tukubali kuwa bado tuko nyuma kimpira, hivyo uwepo wa wachezaji wengi wa kigeni katika ligi yetu unatoa pia fursa ya wachezaji wetu kujifunza kitu flani kigeni kutoka kwao.
Therefore, All in All, Ukilitazama hili suala kwa mtazamo mpana utaona ni faida kwetu!
 
Nakupongeza kwa maoni na mtazamo wako, tofauti ya wachezaji wawili kwa msimu ujao ndio utawezesha hilo?10 players tulishindwa nini? Wachezaji wa kigeni ni hasara kwa taifa hili, kwanza hao makocha wana mkakati wamepewa wa kuwanoa wazawa na sharti la kuwapa namba au wako huru kuamua wapangeje first eleven zao, mapato na matumizi ya hao wachezaji wa kigeni uwiano ukoje? mfano mauzo ya jezi OG wanamvuto wowote?je wanatumika kibiashara? Malengo mafupi, ya kati na muda mrefu ya kusajili hao wageni kwa vilabu, ligi, na tff ni yapo, na je kuna review program ya kuangalia matarajio ya kuwa na wageni kila msimu na tathimini ya mrejesho ipo? Hivi tuna uhalali wa kujifananisha na mataifa yapi na kwa vigezo vipi kwa faida ipi na malengo yapi na je hayo ndio yafananayo na tunaotaka kufanana nao?
 
Back
Top Bottom