Atheists wameanza kuwa na uchungu na misimamo yao

Hauhaigaiki nao alafu umepost uzi unaowshusu, alafu wao hawaamini kuwa mungu hayupo bali wanajua kuwa mungu hayupo ,,,yaani mungu mwenye upendo , wote muweza wa yote, huyo hayupo ndivyo wanavyojua, sasa wewe unaeaamini mungu muweza wa yote ,mwenye upendo, wote uwaoneshe wamuone.
 
Kuwa na uchungu nako ni ushahidi kwamba Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote hayupo.

Mungu huyo angekuwepo, kwa uwezo wake wote, ujuzi wake wote na upendo wake wote, asingeshindwa kuumba ulimwengu ambao hauwezi kuwa na kiumbe chochote kinachoweza kuwa na uchungu, na angeumba hivyo.

Ukweli kwamba tunaweza kupata uchungu ni ushahidi kwamba Mungu huyo hayupo.

Hivyo, hata swali lako ambalo linalenga kuwanyanyapaa atheists, lunazidi kutoa ushahidi kuwa atgeists wako sawa, huyo Mungu hayupo.
 
Ukweli ni kwamba yeye ndiye mwenye uchungu kwamba atheists wamekataa kumkubali Mungu wake.

Hapa kaja kugeuza kibao cha uchungu wake.

Kwenye saikolojia hii inaitwa "projection".

Yani uchungu anausikia yeye, halafu anawasingizia atheists uchungu wake.
 
Umeelewa ulichokiandika hapa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukidadisi kiundani kuna vitu vinachanganya kidogo, waislam wanamuabudu Allah na vitu wanavyotegemea kupewa peponi ni tofauti na ambavyo Wakristo wanavyotegemea kupata mbinguni..

Waislamu wana Israel wanasema mtoa roho wakristu hawana

Wakristo wanaamini baada ya kufa na kufika mbinguni hakuna kuoa wala kuolewa lakini waislamu wanaamini wakitenda mema watapewa mabikira..

Kwa points hizo chache je MUNGU ni mmoja? na kama ndio kwa nini kuwe ahadi tofauti kwa watu wake??

Mimi binafsi naamini MUNGU lakini kupitia imani zetu za asili na sio dini za kuletewa
 
Je ni kweli Mungu anajibu maombi? Kama ni kweli, ni kwanini waislam na wakristo Wana Mungu tofauti na wote wanadai maombi yao yanajibiwa?

Je, Mungu anayejibu maombi ya wakristo ndo huyo huyo anayejibu maombi ya waislam?

Kama ni kweli basi kuna kundi Moja halimjui Mungu wake wa kweli maana Mungu anayezungumzwa na waislam yupo tofauti na Mungu wa wakristo.

Kama sio kweli maana yake kila dini ina Mungu wake, Je duniani Kuna Mungu wangapi na yupi ni Mungu wa kweli?
 
Habari za mungu, Bible, Qur'an ni hekaya Tu,
Kama zilivyo hekaya za abunuasi
 
Umeelewa ulichokiandika hapa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yap tena vizuri sana..

Umesema Bacteria na fungus sio sentient beings,..nikakuuliza hivi⬇️
Nani kasema Bacteria na fungus sio sentient beings?!


Umeshindwa kujibu maana hakuna namna unaweza ku verify madai yako.
 
Uzi wako umekaa kimajungu na wenye taswira ya projection
 
Yap tena vizuri sana..

Umesema Bacteria na fungus sio sentient beings,..nikakuuliza hivi[emoji3596]
Nani kasema Bacteria na fungus sio sentient beings?!


Umeshindwa kujibu maana hakuna namna unaweza ku verify madai yako.
1.Labda Sentient being ni nini?
Je kipi kina sifa za sentient na kipi hakina?

Ndio maana nikakushangaa unaposema nimeshindwa kujibu?

Embu tuangalie maana kwa Karne za Sasa

Sentience means having the capacity to have feelings. This requires a level of awareness and cognitive ability. There is evidence for sophisticated cognitive concepts and for both positive and negative feelings in a wide range of non human animals.

Sasa fungi Ina cognitive ability na awareness?

Je, inamuhitaji Mungu ili iishi?
Mungu anaongoza maisha ya Fungi?
Bila Mungu haiwezi kusurvive?

Na hii inatoka kwenye mzizi wako wa hoja kusema Atheist wangekuwa hawamuamini Mungu basi wasingekula na vikorombwezo vingine.

Je, Backteria Wana mhitaji huyo mnaye msema,
 
@jiwe_Angavu
 
Atheists mna maumivu sana katika nyoyo zenu. Na sijui yanatoka wapi?
 
Ni mtazamo wako, kwaiyo we ukipinga uwepo wa Mungu, mimi naathirika wapi?

Nipe ushahidi kuwa na-apply projection or any kind of defense mechanism?

Hiyo assumption yako uliyoitumia kufikiri natumia projection ndivyo vivyo hivyo nasisi tunaoamini kuwa Kuna Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…