Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Atheist ni wajinga tu ni watu walojiamulia kuendekeza matamanio yao huku wakisema hakuna MUNGU
Wewe Mungu unamjua?Mbona wazazi wanawajua?
Ulisha wahi kumuona?
Au ni mawazo yako ya kufikirika tu?
Kama Mungu huyo yupo, Eleza yupo kwa namna gani na si mawazo yako ya kufikirika tu.Baba zao na mama zao wanawajua hlf wanakwambia hamna MUNGU huu ni upumbavu wa kiwango cha SGR
Eleza na thibitisha ulifahamu vipi Mungu huyo yupo.