Ahmed Saidi
JF-Expert Member
- Oct 15, 2019
- 1,588
- 3,487
- Thread starter
-
- #41
Sina hoja hapa๐ ๐Mkuu Ahmet
Hapo umefanya ujumuishaji. Sio kweli kwamba wote wanapenda kubishana, humu jf wapo wengi tu, ila wachache ndo wanajitokeza.
Hata watu wa dini wapo humu wabishi kweli kweli na wanatumia hadi matusi, na wengine wanapigana wao kwa wao(uislamu vs ukristo)
Vita iendelee.
Ulimwengu kuwezekana kuwa na uchungu kwa yeyote ni ushahidi kwamba Mungu muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote hayupo.Ni mtazamo wako, kwaiyo we ukipinga uwepo wa Mungu, mimi naathirika wapi?
Nipe ushahidi kuwa na-apply projection or any kind of defense mechanism?
Hiyo assumption yako uliyoitumia kufikiri natumia projection ndivyo vivyo hivyo nasisi tunaoamini kuwa Kuna Mungu.
Ni mawazo yakoHabari za mungu, Bible, Qur'an ni hekaya Tu,
Kama zilivyo hekaya za abunuasi
Nameelewa hoja yako na naikataaUlimwengu kuwezekana kuwa na uchungu kwa yeyote ni ushahidi kwamba Mungu muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote hayupo.
Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote angekuwepo, asingeumba ulimwengu unaowezekana kuwa na uchungu kwa yeyote.
Kwa hivyo, unaposema atheists wana uchungu, hata ikiwa kweli atheists wana uchungu, uchungu huo ni ushahidi wa kutokuwepo Mungu, ha hoja yako, ya kwamba atheists wananuchungu, badala ya kuwanyanyapaa atheists, inazidi kutoa ushahidi kwamba atheists wako sahihi na Mungu hayupo.
Unaelewa na kukubali hilo?
Everything that exist is a concrete evidenceTupeni ushahidi wa huyo mungu wenu wa mchongo,
Tutaendelea kuwapiga spana, hatutaki ujinga kwenye jamii yetu
Hujaikataa, umesema tu kwamba umeikataa.Nameelewa hoja yako na naikataa
Concern yangu ni kwamba kwanini una hitimisha kwamba fungus na Bakteria sio sentient beings?1.Labda Sentient being ni nini?
Je kipi kina sifa za sentient na kipi hakina?
Ndio maana nikakushangaa unaposema nimeshindwa kujibu?
Embu tuangalie maana kwa Karne za Sasa
Sentience means having the capacity to have feelings. This requires a level of awareness and cognitive ability. There is evidence for sophisticated cognitive concepts and for both positive and negative feelings in a wide range of non human animals.
Wewe umejuaje kama fungi hana cognitive ability? umefanya research yoyote? Umetumia njia gani kwenye tafiti yako iliyokufanya uone hana cognitive ability?Sasa fungi Ina cognitive ability na awareness?
Mzizi wa hoja yangu sio huo....Na hii inatoka kwenye mzizi wako wa hoja kusema Atheist wangekuwa hawamuamini Mungu basi wasingekula na vikorombwezo vingine.
Je, Backteria Wana mhitaji huyo mnaye msema,
Atheist ni wajinga tu ni watu walojiamulia kuendekeza matamanio yao huku wakisema hakuna MUNGUHivi kwanini Hawa atheists wa JF wamekuwa na uchungu sana pindi mtu unapozungumzia uwepo wa Mungu na jambo jengine linalohusiana na Imani?
Yaani wanautetea huo u-atheism wao kwamba kama hukuufuata basi Kuna adhabu itakukuta. Mambo yamebadilika sasa yaani wao ndio wanaongea Kwa uchungu kuliko watu wenye kuamini Mungu. Tunaoamini uwepo wa Mungu tumetulia tuli na tumeridhika na Imani yetu.
Sasa huwa najiuluza kama wewe huamini Mungu, Wala maisha baada ya kifo, kwanini utumie nguvu kubwa kuwaamisha watu katika hilo. Ni kweli Imani katika Mungu huleta vita, umaskini na Migongani? Hata kama kweli but dunia hii ingekuwa mbaya zaidi bila Imani katika Mungu. Kwasababu hofu ya Mungu Kwa kiasi kikubwa imefanya watu walimit baadhi ya matendo yao.
Si kweli kwamba Imani katika Mungu huleta umaskini. Angalia nchi kama UAE, Qatar, Saudi Arabia na nyengine nyingi asilimia kubwa ya raia wake wanaamini katika Mungu. Hata hizo nchi nyingi ambazo zina atheists wengi, zilipata maendeleo kipindi raia wake wengi walikuwa waamini Mungu, angalia nchi za Ulaya na Amerika.
Angalia hata mabilionea wetu wakina Mo Dewj, Rostam Aziz, Bakhresa na wengine wanaamini katika Mungu. Tajiri namba Moja Afrika ni muumini wa uwepo wa Mungu. Na wamefanikiwa kuliko atheists.
Sasa nini kinawasukuma hawa mabwana kuwa na uchungu sana pindi mtu aletapo habari za Mungu, miujiza na maisha baada ya kifo. Tena wengine hawalali, ni kama marobot, wako active muda wote, ukiandika tu mada kuhusu mambo ya Mungu, basi watakujibu kwa ma-essay marefuu kukupinga.
Kama unaamini hakuna Mungu basi relax kwasababu unaamini hakuna kitakachotokea. Umesha-confirm kile unachokiamini kwanini utake kuwa-drag watu katika msimamo wako.
Kama unahisi kuamini hivyo unavyoamini Kuna faida, basi tumia hiyo fursa wewe, make changes, boresha maisha yako alafu waache wenye kuamini katika tabu zao, na kutapeliwa kwasababu mimi naamini utakuwa na nafasi kubwa ya kufanya makubwa katika group la wajinga wengi kama mnavyosema.
Aisee Kwahio kwa Logic yake you do Good because its the will of the Gods na sio its good because of the will of Gods..., Kwa logic yako hio ndio maana leo watu wanafanya mabaya na kujipa justification wana-qoute vijimistari vya kwenye Imani yao....
Hivi kwanini Hawa atheists wa JF wamekuwa na uchungu sana pindi mtu unapozungumzia uwepo wa Mungu na jambo jengine linalohusiana na Imani?
Yaani wanautetea huo u-atheism wao kwamba kama hukuufuata basi Kuna adhabu itakukuta. Mambo yamebadilika sasa yaani wao ndio wanaongea Kwa uchungu kuliko watu wenye kuamini Mungu. Tunaoamini uwepo wa Mungu tumetulia tuli na tumeridhika na Imani yetu.
Sasa huwa najiuluza kama wewe huamini Mungu, Wala maisha baada ya kifo, kwanini utumie nguvu kubwa kuwaamisha watu katika hilo. Ni kweli Imani katika Mungu huleta vita, umaskini na Migongani? Hata kama kweli but dunia hii ingekuwa mbaya zaidi bila Imani katika Mungu. Kwasababu hofu ya Mungu Kwa kiasi kikubwa imefanya watu walimit baadhi ya matendo yao.
Si kweli kwamba Imani katika Mungu huleta umaskini. Angalia nchi kama UAE, Qatar, Saudi Arabia na nyengine nyingi asilimia kubwa ya raia wake wanaamini katika Mungu. Hata hizo nchi nyingi ambazo zina atheists wengi, zilipata maendeleo kipindi raia wake wengi walikuwa waamini Mungu, angalia nchi za Ulaya na Amerika.
Angalia hata mabilionea wetu wakina Mo Dewj, Rostam Aziz, Bakhresa na wengine wanaamini katika Mungu. Tajiri namba Moja Afrika ni muumini wa uwepo wa Mungu. Na wamefanikiwa kuliko atheists.
Sasa nini kinawasukuma hawa mabwana kuwa na uchungu sana pindi mtu aletapo habari za Mungu, miujiza na maisha baada ya kifo. Tena wengine hawalali, ni kama marobot, wako active muda wote, ukiandika tu mada kuhusu mambo ya Mungu, basi watakujibu kwa ma-essay marefuu kukupinga.
Kama unaamini hakuna Mungu basi relax kwasababu unaamini hakuna kitakachotokea. Umesha-confirm kile unachokiamini kwanini utake kuwa-drag watu katika msimamo wako.
Kama unahisi kuamini hivyo unavyoamini Kuna faida, basi tumia hiyo fursa wewe, make changes, boresha maisha yako alafu waache wenye kuamini katika tabu zao, na kutapeliwa kwasababu mimi naamini utakuwa na nafasi kubwa ya kufanya makubwa katika group la wajinga wengi kama mnavyosema.
Point sana!!!
If God doesn't exist, why even bother about anything at all?
Kiranga
Infropreneur[/USE
[/QUOTE]
Na ninyi,
Kama Mungu yupo mbona mnahangaika kumuelezea uwepo wake na kumtetea?
Mungu huyo anashindwaje kujidhihirisha kwa kila binadamu kumtambua yeye yupo?
Mungu huyo kama yupo, Aliumbaje binadamu wanao question uwepo wake?
Je Mungu huyo, Hakujua kwamba anapaswa kufahamika na kila binadamu pasipo utata na maswali mengi juu ya uwepo wake?
Kama Mungu haitaji kutetewa, Kwa nini kila kukicha huku JF nyuzi za mahubiri ya huyo Mungu haziishii?wa na frustration.
Mungu haitaji kutetewa.
Sisi Atheists mbona ameshindwa kujitambulisha kwetu?Amejitambulisha kwa kila kiumbe.
Mungu mnayedai ni muumba wa vyote, Aliumbaje binadamu ambao ni Atheists?Ndio maana kila mtu huwa anamsukumo wa kutaka kuabudu higher authorities hata kabla hajajua mambo ya Mungu.
Ili uwe atheist inakubidi ujikane nafsi na Mungu ubebe mzigo wa ujinga wako ujifuate.
HeavenCan you name something you think of but doesn't exist?
asante kiongozi, nimeelewaAtheism: Imani nusu na robo
kwenye ulimwengu wa vipimo kuna ujazo mbalimbali kama robo nusu na kitu kamili nk.. nusu mbili hutengeneza kitu kamili robo mbili hutengeneza nusu moja Kuna kamchezo ukimtuma mtu asiye mwaminifu akuletee kitu kinachohusika na vipimo kupiga bao! Ukimtuma kilo moja yeye ataleta nusu na robo...www.jamiiforums.com
Atheism: Imani nusu na robo
Sent using Jamii Forums mobile app