Infropreneur JF-Expert Member Joined Aug 15, 2022 Posts 9,830 Reaction score 20,686 Nov 14, 2023 #61 Akhi said: Atheist ni wajinga tu ni watu walojiamulia kuendekeza matamanio yao huku wakisema hakuna MUNGU Click to expand... Akhi said: Mbona wazazi wanawajua? Click to expand... Wewe Mungu unamjua? Ulisha wahi kumuona? Au ni mawazo yako ya kufikirika tu? Akhi said: Baba zao na mama zao wanawajua hlf wanakwambia hamna MUNGU huu ni upumbavu wa kiwango cha SGR Click to expand... Kama Mungu huyo yupo, Eleza yupo kwa namna gani na si mawazo yako ya kufikirika tu. Eleza na thibitisha ulifahamu vipi Mungu huyo yupo.
Akhi said: Atheist ni wajinga tu ni watu walojiamulia kuendekeza matamanio yao huku wakisema hakuna MUNGU Click to expand... Akhi said: Mbona wazazi wanawajua? Click to expand... Wewe Mungu unamjua? Ulisha wahi kumuona? Au ni mawazo yako ya kufikirika tu? Akhi said: Baba zao na mama zao wanawajua hlf wanakwambia hamna MUNGU huu ni upumbavu wa kiwango cha SGR Click to expand... Kama Mungu huyo yupo, Eleza yupo kwa namna gani na si mawazo yako ya kufikirika tu. Eleza na thibitisha ulifahamu vipi Mungu huyo yupo.
Grace glory JF-Expert Member Joined Feb 17, 2018 Posts 374 Reaction score 531 Nov 14, 2023 #62 Ahmet said: Kama kweli naamini katika Mungu ukweli wa kuamini, kivipi nitakuwa na hasira au kumchukia mtu ambae naamini ataadhibiwa Kwa kutoamini kwakwe? Click to expand... Mbona unaamini amini sana?
Ahmet said: Kama kweli naamini katika Mungu ukweli wa kuamini, kivipi nitakuwa na hasira au kumchukia mtu ambae naamini ataadhibiwa Kwa kutoamini kwakwe? Click to expand... Mbona unaamini amini sana?
Blender JF-Expert Member Joined Mar 5, 2022 Posts 4,870 Reaction score 8,035 Nov 14, 2023 #63 Ahmet said: Everything that exist is a concrete evidence Click to expand... Kumbe comics za DC Superman, spider man, ni ukweli mtupu, Religions is the perfect scam, they sell an invisible products that you can only test and verify after you die
Ahmet said: Everything that exist is a concrete evidence Click to expand... Kumbe comics za DC Superman, spider man, ni ukweli mtupu, Religions is the perfect scam, they sell an invisible products that you can only test and verify after you die
Blender JF-Expert Member Joined Mar 5, 2022 Posts 4,870 Reaction score 8,035 Nov 14, 2023 #64 Ahmet said: Kama kweli naamini katika Mungu ukweli wa kuamini, kivipi nitakuwa na hasira au kumchukia mtu ambae naamini ataadhibiwa Kwa kutoamini kwakwe? Click to expand... Kwanini uàmini badala ya kuwa na uwakika
Ahmet said: Kama kweli naamini katika Mungu ukweli wa kuamini, kivipi nitakuwa na hasira au kumchukia mtu ambae naamini ataadhibiwa Kwa kutoamini kwakwe? Click to expand... Kwanini uàmini badala ya kuwa na uwakika
Teknocrat JF-Expert Member Joined Oct 20, 2018 Posts 4,967 Reaction score 11,056 Nov 17, 2023 #65 A good read..... ENTROPY and GOD Attachments ENTROPY_and_GOD (1).pdf ENTROPY_and_GOD (1).pdf 556.3 KB · Views: 4