Atheists wana mtindio wa ubongo

Atheists wana mtindio wa ubongo

Mokaze

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2018
Posts
14,370
Reaction score
14,929
Salaamu wakuu.

Niende Moja kwa moja kwenye mada.

Utakuta mtu anasifia gari ; "Hii gari kiboko kweli mainjinia wake walikuna vichwa balaa katika usanifu na gari hii haina mpinzani kwani katika kila nyanja ipo okay", ilmuradi tu gari litasifiwa hata kama linazo kasoro na mapungufu fulani.

Hao hao ma atheists utawasikia tena wakisifia; "Hii computer achana nayo, inakasi kubwa balaa utadhani haikundwa na.binadamu bali imedondoka kutoka mbinguni".

Ma atheists hawaishi hapo tu, hebu wakaribishe kwenye pilau utawasikia; "Aise huu msosi kiboko, mtamu kweli, sijui kapika nani !!? Mpishi katoka wapi??!, pasi shaka umepikwa na mtu kutoka pwani kwani watu wa bara hawawezi mapishi ya aina hii !! ".

Huyo atheist anatoa madai kana kwamba huyo mpishi anamjua na kamuona!!, sasa kwa utani tu jaribu kumwaambia kwamba msosi huo umejipika wenyewe!!, utashambuliwa kwa kejeli na matusi na kupewa majina mabaya ya kukutoa akili, utawasikia wakisema; wewe unamatatizo kichwani mwako inawezekanaje chakula kijipike chenyewe??!!.

Sasa njoo kwenye uumbaji wa dunia na uwaulize; je hawaoni uzuri wa dunia na vilivyopo juu yake, navyo havijaumbwa??, hakuna nafsi iliyoumba dunia.na ulimwengu??, endelea kuwahoji; kama wapo Ma engineers waliounda lile gari, ile computer na yupo mpishi aliyepika lile pilau safi vipi akosekane Yule aliyeumba dunia safi na vilivyomo??--- hapo akili zao zinashikwa na wazimu kwani wanajua ni lazima Mungu atajwe katika uumbaji wa dunia na vilivyomo na wao kusikia jina "Mungu" kwao ni ugonjwa wa mzio (allergy), sasa watakuuliza; Huyo Mungu yuko wapi??!, ukiwajibu; Mungu huwa haonekani, waona wamepata silaha, watahoji; tutaaminije kitu kisichoonekana ndio kimeumba hii dunia??-- wanasahau kwamba hata ile pilau waliokula hawakumuona mpishi wake lakini wanaamini ilipikwa na mtu-mpishi lakini wakiambiwa Kuna muumba, Mungu wa dunia na ulimwengu hawataki kusikia.

Ewe Mungu wasamehe hawa viumbe wako na uwaongoze katika njia zako na uwaondoshee kibri na majivuno.
 
Mkuu mi kama atheist nashukuru kwa busara yako kwa namna ulivyoamua kutuita

Ila ulichosahau ni kitu kimoja

Watu wanasifia magari, Pc nk kutokana na comparison walizofanya za kuangalia ufanisi wa bidhaa moja dhidi ya bidhaa nyingine.

Hao atheist wanaosifia magari, computer nk, wanafanya hivyo kwa references.

Kwamba watu wanasema hii bidhaa ni bora kwasababu kuna specs hii ambayo kwenye bidhaa hii nyingine haipo

Viwanda vinavyotengeneza hizo bidhaa vinathibitishika kuwa vipo bila kuhitaji kitu kingine cha ziada kama ishara ya kuonesha ndio source ya hizo bidhaa

Huyo mtu hawezi kushindwa kukuthibitishia kampuni la Dell au Hp kuwa lipo.

Ni maswala ya taaluma ambayo kila mtu anaweza akafanya endapo akifundishwa.

Sasa

Unaposema huu ulimwengu umesababishwa na Mungu, references yako inakuwa nini?

Tunaweza tukathibitisha hicho chanzo bila kutumia kitu kingine kinachopimika kuwa ndio uthibitisho wa Mungu asiyepimika?

Lakini pia

Unaposema huu ulimwengu ni bora au umekamilika unakuwa umeupima na kuufananisha na ulimwengu gani mwingine mpaka ukafikia hitimisho kuwa ulimwengu huu ni mzuri?

Aliyesema laptop Hp omen ya gaming ni bora aliangalia toleo la chini yake au alifananiaha na brand nyingine kwenye maswala ya kiuwezo akaona Hp Omen ni laptop bora

Sasa ulimwengu huu mnaosema ni mzuri au ni bora, ni bora ukiufananisha na ulimwengu upi?
 
Mkuu mi kama atheist nashukuru kwa busara yako kwa namna ulivyoamua kutuita

Ila ulichosahau ni kitu kimoja

Watu wanasifia magari, Pc nk kutokana na comparison walizofanya za kuangalia ufanisi wa bidhaa moja dhidi ya bidhaa nyingine.

Hao atheist wanaosifia magari, computer nk, wanafanya hivyo kwa references.

Kwamba watu wanasema hii bidhaa ni bora kwasababu kuna specs hii ambayo kwenye bidhaa hii nyingine haipo

Viwanda vinavyotengeneza hizo bidhaa vinathibotishika kuwa vipo bila kuhitaji kitu kingine cha ziada kama ishara ya kuonesha ndio source ya hizo bidhaa

Huyo mtu hawezi kushindwa kukuthibitishia kampuni la Dell au Hp kuwa lipo.

Ni maswala ya taaluma ambayo kila mtu anaweza akafanya akifundishwa.

Sasa

Unaposema huu ulimwengu umesababishwa na Mungu, references yako inakuwa nini?

Tunaweza tukathibotisha hicho chanzo bila kutumia kitu kingine kinachopimika kuwa ndio ithibitisho wa Mungu asiyepimika?

Lakini pia

Unaposema huu ulimwengu ni bora au umekamilika unakuwa umeupima na kuufananisha na ulimwengu gani mwingine mpaka ukafikia hitimisho kuwa ulimwengu huu mzuri?

Daah skuwaza kumjib huyu jamaa ivi I always respect you brother
 
Salaamu wakuu.

Niende Moja kwa moja kwenye mada.

Utakuta mtu anasifia gari ; "Hii gari kiboko kweli mainjinia wake walikuna vichwa balaa katika usanifu na gari hii haina mpinzani kwani katika kila nyanja ipo okay", ilmuradi tu gari litasifiwa hata kama linazo kasoro na mapungufu fulani.

Hao hao ma atheists utawasikia tena wakisifia; "Hii computer achana nayo, inakasi kubwa balaa utadhani haikundwa na.binadamu bali imedondoka kutoka mbinguni".

Ma atheists hawaishi hapo tu, hebu wakaribishe kwenye pilau utawasikia; "Aise huu msosi kiboko, mtamu kweli, sijui kapika nani !!? Mpishi katoka wapi??!, pasi shaka umepikwa na mtu kutoka pwani kwani watu wa bara hawawezi mapishi ya aina hii !! ".

Huyo atheist anatoa madai kana kwamba huyo mpishi anamjua na kamuona!!, sasa kwa utani tu jaribu kumwaambia kwamba msosi huo umejipika wenyewe!!, utashambuliwa kwa kejeli na matusi na kupewa majina mabaya ya kukutoa akili, utawasikia wakisema; wewe unamatatizo kichwani mwako inawezekanaje chakula kijipike chenyewe??!!.

Sasa njoo kwenye uumbaji wa dunia na uwaulize; je hawaoni uzuri wa dunia na vilivyopo juu yake, navyo havijaumbwa??, hakuna nafsi iliyoumba dunia.na ulimwengu??, endelea kuwahoji; kama wapo Ma engineers waliounda lile gari, ile computer na yupo mpishi aliyepika lile pilau safi vipi akosekane Yule aliyeumba dunia safi na vilivyomo??--- hapo akili zao zinashikwa na wazimu kwani wanajua ni lazima Mungu atajwe katika uumbaji wa dunia na vilivyomo na wao kusikia jina Mungu kwao ni ugonjwa wa mzio (allergy), sasa watakuuliza; Huyo Mungu yuko wapi??!, ukiwajibu; Mungu huwa haonekani, waona wamepata silaha, watahoji; tutaaminije kitu kisichoonekana ndio kimeumba hii dunia??-- wanasahau kwamba hata ile pilau waliokula hawakumuona mpishi wake lakini wanaamini ilipikwa na mtu-mpishi lakini wakiambiwa Kuna muumba Mungu wa dunia na ulimwengu hawataki kusikia.

Ewe Mungu wasamehe hawa viumbe wako na uwaongoze katika njia zako na uwaondoshee kibri na majivuno.

Ushahidi wa Mungu kuumba dunia na vingine uko wapi kama yeye alitoka from nothing kwanini sisi isiwe ivo?
 
Mkuu mi kama atheist nashukuru kwa busara yako kwa namna ulivyoamua kutuita

Ila ulichosahau ni kitu kimoja

Watu wanasifia magari, Pc nk kutokana na comparison walizofanya za kuangalia ufanisi wa bidhaa moja dhidi ya bidhaa nyingine.

Hao atheist wanaosifia magari, computer nk, wanafanya hivyo kwa references.

Kwamba watu wanasema hii bidhaa ni bora kwasababu kuna specs hii ambayo kwenye bidhaa hii nyingine haipo

Viwanda vinavyotengeneza hizo bidhaa vinathibotishika kuwa vipo bila kuhitaji kitu kingine cha ziada kama ishara ya kuonesha ndio source ya hizo bidhaa

Huyo mtu hawezi kushindwa kukuthibitishia kampuni la Dell au Hp kuwa lipo.

Ni maswala ya taaluma ambayo kila mtu anaweza akafanya akifundishwa.

Sasa

Unaposema huu ulimwengu umesababishwa na Mungu, references yako inakuwa nini?

Tunaweza tukathibotisha hicho chanzo bila kutumia kitu kingine kinachopimika kuwa ndio ithibitisho wa Mungu asiyepimika?

Lakini pia

Unaposema huu ulimwengu ni bora au umekamilika unakuwa umeupima na kuufananisha na ulimwengu gani mwingine mpaka ukafikia hitimisho kuwa ulimwengu huu mzuri?

Aliyesema laptop Hp omen ya gaming ni bora aliangalia toleo la chini yake au alifananiaha na brand nyingine kwenye maswala ya kiuwezo akaona Hp Omen ni laptop bora

Sasa ulimwengu huu mnaosema ni mzuri au ni bora, ni bora ukiufananisha na ulimwengu upi?
Shida yenu ipo katika kukimbia hoja ya msingi nukta ya msingi ule mwanzo na maana yake. Chukulia unapo ona kitu fulani wewe akili yako inakupa taarifa gani ? Kwamba limetokea pasi na chochote au kimejiumba ? Huko kwenye ubora au mfano wake ni kukimbia hoja ya msingi.

Leo uniambie kitu gani kina sifa ya kuwajibika kuwa na ushahidi au uthubitisho na kipi hakihitaji uthibitisho juu ya kuwepo kwake ? Sababu vitu hivi vyote vipo. Kwahiyo hiyo mifano yote uliyo itoa ni mifano mfu kabisa.

Mkiambiwa mna matatizo ya akili hiki ulichokiandika kimethibitisha Hilo.
 
Unapoona kitu usichokijua kwa mara ya kwanza ni vyema ukatumia muda mwingi kukidadisi ili upate majibu sahihi kuliko kutoa majibu kihisia

Na hata kama jitihada zako za kutafuta majibu zikishindikana basi busara ni kukubali kuwa hujui, na sio kutoa fursa kwa majibu yasiopitia uchunguzi kuwa ndio chanzo.

Swali lako sijalielewa
 
Safi kabisa, nakuuliza tena kwa namna rahisi na nyepesi zaidi ili uelewe na kama hutaelewa kadhalika nitakuuliza kwa wepesi zaidi tena na tena.

Unakubali kila kitu ambacho kipo, kinahitaji uthibitisho kuonyesha uwepo wake ?

Unapo iona hii Dunia na vilivyomo, akili yako inakwambia imejiumba au imetokana pasi na chochote ? Au imekuwaje kuwaje mpaka ikawa hivi ilivyo ? Au hili hujui na kama hujui au hukufanya uchunguzi kwanini ukanishe jambo pasi na kufanya uchunguzi au kwa kutokujua ? Kwa sababu gani mnakataa ya kuwa haijaumbwa na Mola na kwanini mnasema Mola hayupo ?
 
Mkuu mi kama atheist nashukuru kwa busara yako kwa namna ulivyoamua kutuita

Ila ulichosahau ni kitu kimoja

Watu wanasifia magari, Pc nk kutokana na comparison walizofanya za kuangalia ufanisi wa bidhaa moja dhidi ya bidhaa nyingine.

Hao atheist wanaosifia magari, computer nk, wanafanya hivyo kwa references.

Kwamba watu wanasema hii bidhaa ni bora kwasababu kuna specs hii ambayo kwenye bidhaa hii nyingine haipo

Viwanda vinavyotengeneza hizo bidhaa vinathibotishika kuwa vipo bila kuhitaji kitu kingine cha ziada kama ishara ya kuonesha ndio source ya hizo bidhaa

Huyo mtu hawezi kushindwa kukuthibitishia kampuni la Dell au Hp kuwa lipo.

Ni maswala ya taaluma ambayo kila mtu anaweza akafanya akifundishwa.

Sasa

Unaposema huu ulimwengu umesababishwa na Mungu, references yako inakuwa nini?

Tunaweza tukathibotisha hicho chanzo bila kutumia kitu kingine kinachopimika kuwa ndio ithibitisho wa Mungu asiyepimika?

Lakini pia

Unaposema huu ulimwengu ni bora au umekamilika unakuwa umeupima na kuufananisha na ulimwengu gani mwingine mpaka ukafikia hitimisho kuwa ulimwengu huu mzuri?

Aliyesema laptop Hp omen ya gaming ni bora aliangalia toleo la chini yake au alifananiaha na brand nyingine kwenye maswala ya kiuwezo akaona Hp Omen ni laptop bora

Sasa ulimwengu huu mnaosema ni mzuri au ni bora, ni bora ukiufananisha na ulimwengu upi?
Hili ni swali la kipumbavu sana

kwahiyo hatuwezi jua kama ulimwengu huu mzuri kama hatuwezi linganisha?

Hatuwezi kutazama mfumo wa maisha ulivyo, namna ulivyoundwa, system nzima ya maisha na ku appreciate kuwa tuna kitu kizuri mpaka tupate cha kufananisha nacho?

Aseee sijui umesoma wapi ila swali ni la kipumbavu kweli kweli
 
Mtoa mada ndio anatatizo la akili.
Kitu kitengenezwe na wenyewe kisha watumiaji ndio wanajua ni kizuri au kibaya.
Sasa wewe unajifanya kujua ulishiriki kutengeneza na hizo kampuni mpaka watu washindwe kusifia au kukosoa.
 
Safi kabisa, nakuuliza tena kwa namna rahisi na nyepesi zaidi ili uelewe na kama hutaelewa kadhalika nitakuuliza kwa wepesi zaidi tena na tena.

Unakubali kila kitu ambacho kipo, kinahitaji uthibitisho kuonyesha uwepo wake ?

Unapo iona hii Dunia na vilivyomo, akili yako inakwambia imejiumba au imetokana pasi na chochote ? Au imekuwaje kuwaje mpaka ikawa hivi ilivyo ? Au hili hujui na kama hujui au hukafanya uchunguzi, kwa sababu mnakataa ya kuwa haijaumbwa na Mola na kwanini mnasema Mola hayupo ?
Ndio lazima kuwe na uthibitisho

Akili yangu una maanisha maoni au mtazamo juu ya huu ulimwengu?

Personal perspective sio msingi mzuri wa kuhitimisha jambo
 
Hili ni swali la kipumbavu sana

kwahiyo hatuwezi jua kama ulimwengu huu mzuri kama hatuwezi linganisha?

Hatuwezi kutazama mfumo wa maisha ulivyo, namna ulivyoundwa, system nzima ya maisha na ku appreciate kuwa tuna kitu kizuri mpaka tupate cha kufananisha nacho?

Aseee sijui umesoma wapi ila swali ni la kipumbavu kweli kweli
Mfumo wa maisha ukilinganisha na mfumo upi mwingine wa maisha?

Ulishawahi kuishi nje ya mfumo huu uka experience terrible life thats why ukifananisha na huu mfumo unaona huu mfumo ni bora?
 
Ni nani alikwambia kuelewa kitu ni lazma ulinganishe?

Hivi kujua Binaadamu tunahitaji nini ili tuweze kuishi, kujua misingi ya uhai hakutoshi kujua kuwa tuko sehemu sahihi?

Huwa unasoma nini mkuu mbona unashangaza?

Kwahiyo unataka kusema ulimwengu tunaoishi si salama wala mZuri kabisa ??
 
Sehemu sahihi ukiitofautisha na ipi isiyo sahihi?

Mtu mwingine atasema huu ulimwengu sio salama watu kuishi kwasababu unaua watu kwa natural calamities kule turkey na syria
 
Sasa hapo atakuwa anafanya reasoning

Ukisema si salama ni lazima useme kwanini na sio ukilinganisha na wapi

Salama sababu kuna Oxygen, maji na hali ya hewa stahmilivy inayosapoti uhai

Hapo nimekupa sababu bila kulinganisha na chochote

Nilichofanya ni kuangalia mahitaji ya binadamu kuishi ambayo yanapatikana hapa Duniani
 
Ndio lazima kuwe na uthibitisho

Akili yangu una maanisha maoni au mtazamo juu ya huu ulimwengu?

Personal perspective sio msingi mzuri wa kuhitimisha jambo
Kuwepo kwa Jua Kuna hitaji uthibitishogani ? Baba Ako aliye kuzaa kuwa mkubwa kiumri kuzidi wewe kunahitaji uthibitisho gani ? Kuwepo kwa watu na uhai Kuna hitaji uthibitisho gani kuonyesha hivi vipo ?

Naam namaanisha mtazamo wako ukiitizama dunia imejiumba au imeokana pasi na chochote ? Au imekuwaje kuwaje mpaka ikawa hivi ilivyo ?

Kwahiyo hitimisho lako la kuwa Mungu hayupo si lakuzingatiwa sababu ni mtazamo wako tu.
 
Sasa hapo atakuwa anafanya reasoning

Ukisema si salama ni lazima useme kwanini na sio ukilinganisha na wapi

Salama sababu kuna Oxygen, maji na hali ya hewa stahmilivy inayosapoti uhai

Hapo nimekupa sababu bila kulinganisha na chochote

Nilichofanya ni kuangalia mahitaji ya binadamu kuishi ambayo yanapatikana hapa Duniani
Hizo natural calamities huoni zinaondoa maana halisi ya uzuri wa dunia?

Au huo uzuri unaouzungumzia ni pamoja na majanga kama hayo?
 
Kuwepo kwa Jua Kuna hitaji uthibitishogani ? Baba Ako aliye kuzaa kuwa mkubwa kiumri kuzidi wewe kunahitaji uthibitisho gani ? Kuwepo kwa watu na uhai Kuna hitaji uthibitisho gani kuonyesha hivi vipo ?

Naam namaanisha mtazamo wako ukiitizama dunia imejiumba au imeokana pasi na chochote ? Au imekuwaje kuwaje mpaka ikawa hivi ilivyo ?

Kwahiyo hitimisho lako la kuwa Mungu hayupo si lakuzingatiwa sababu ni mtazamo wako tu.
Jua linathibitishika kua lipo, linapimika nyuzi joto lake, linathibitishika kwa macho hadi kwa vipimo special

Na ndio maana huwesi kuta mjadala kuwa jua lipo au halipo

Baba yangu mzazi kuwa mkubwa kiumri hiyo ni factual ya statistics lakini bado haikunyimi nafasi ya kuweza kuthibitisha. Vipo vipimo vinavyopima umri wa vitu
 
Kuwepo kwa Jua Kuna hitaji uthibitishogani ? Baba Ako aliye kuzaa kuwa mkubwa kiumri kuzidi wewe kunahitaji uthibitisho gani ? Kuwepo kwa watu na uhai Kuna hitaji uthibitisho gani kuonyesha hivi vipo ?

Naam namaanisha mtazamo wako ukiitizama dunia imejiumba au imeokana pasi na chochote ? Au imekuwaje kuwaje mpaka ikawa hivi ilivyo ?

Kwahiyo hitimisho lako la kuwa Mungu hayupo si lakuzingatiwa sababu ni mtazamo wako tu.

Mbona unauliza swali ambalo kila sku linajibiwa dunia imejitengeneza yenyewe hakuna mtu alie husika
 
Back
Top Bottom