Kijana mambo haya jadiliwi kirahisi hivi. Chanzo Cha kila kitu vipi kiwe na chanzo ?The same goes to your God
Uwepo wake unaonesha uwepo wa kitu gani kilichomfanya awepo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kijana mambo haya jadiliwi kirahisi hivi. Chanzo Cha kila kitu vipi kiwe na chanzo ?The same goes to your God
Uwepo wake unaonesha uwepo wa kitu gani kilichomfanya awepo?
Nimekuelewa vizuri. Ili uwe sahihi kosoa nikichokoandika. Ulikiri ya kuwa ukiona nyumba unajua ya kuwa yupo aliyejenga nyumba hiyo. Hii ni Self Evident Truth. Sasa kataaa hili.Nani kakudanganya?
Kwanza umeelewa nilichokiandika?
Usilete maswali yasiyo na msingi. Swali ni kwamba ukiona nyumba unaona nini au unathibitikiwa na nini ?Nishaelezea ushahidi kupitia personal experience unaoonesha watu wanajenga nyumba, wanauza vifaa vya ujenzi, makampuni ya real estate yanayoshughulisha na ujenzi.
Kabla ya kuiona hiyo nyumba ulikuwa una ufahamu wa kuhusu ujenzi wa nyumba
Ukikuta nyumba moja kwa moja hutaweza kufikiria kuwa imejijenga
Sasa ukija na hoja hiyo ukai relate kwenye ulimwengu, ni ulimwengu mwingine tofauti na huu uliowahi kushuhudia ukiumbwa ili iwe rahisi wewe kufikiria huu ulimwengu utakuwa umeumbwa na haujajiumba?
Why didn't you think the same way about universe?Kijana mambo haya jadiliwi kirahisi hivi. Chanzo Cha kila kitu vipi kiwe na chanzo ?
Halafu baada ya hapo niliweka hoja gani kuonesha uwezekano wa hilo kuwepo?Nimekuelewa vizuri. Ili uwe sahihi kosoa nikichokoandika. Ulikiri ya kuwa ukiona nyumba unajua ya kuwa yupo aliyejenga nyumba hiyo. Hii ni Self Evident Truth. Sasa kataaa hili.
Kama kile nilichokieleza ni utoto basi hata hoja zenu kuhusu Mungu katika nafasi ile inayomuonesha kama ndio chanzo basi ni utoto pia.
Kule mbele ulikoendelea ulifanya utoto wa kuweka jambo ambalo halihitaji la kuweka mtu sijui wa miguu sita. Hili uliliweka na halikuwa na haja sababu hoja ya msingi iliishia kwenye uwepo wa nyumba. Acha uoga kuweka vitu ambavyo havihitajiki.
Kwanza unajuaje ni nyumba bila kuwa na uelewa wa nyumba?Usilete maswali yasiyo na msingi. Swali ni kwamba ukiona nyumba unaona nini au unathibitikiwa na nini ?
Kwamba je imejiweka pale ilipo yenyewe au imetokana pasi na chochote ? Sasa mambo ya kujua au kutokujua hayana nafasi hapo, nukta ni je imejengwa au imejijenga au imejiumba au imetokea pasi na chochote.
Atheists ni vilazaSalaamu wakuu.
Niende Moja kwa moja kwenye mada.
Utakuta mtu anasifia gari ; "Hii gari kiboko kweli mainjinia wake walikuna vichwa balaa katika usanifu na gari hii haina mpinzani kwani katika kila nyanja ipo okay", ilmuradi tu gari litasifiwa hata kama linazo kasoro na mapungufu fulani.
Hao hao ma atheists utawasikia tena wakisifia; "Hii computer achana nayo, inakasi kubwa balaa utadhani haikundwa na.binadamu bali imedondoka kutoka mbinguni".
Ma atheists hawaishi hapo tu, hebu wakaribishe kwenye pilau utawasikia; "Aise huu msosi kiboko, mtamu kweli, sijui kapika nani !!? Mpishi katoka wapi??!, pasi shaka umepikwa na mtu kutoka pwani kwani watu wa bara hawawezi mapishi ya aina hii !! ".
Huyo atheist anatoa madai kana kwamba huyo mpishi anamjua na kamuona!!, sasa kwa utani tu jaribu kumwaambia kwamba msosi huo umejipika wenyewe!!, utashambuliwa kwa kejeli na matusi na kupewa majina mabaya ya kukutoa akili, utawasikia wakisema; wewe unamatatizo kichwani mwako inawezekanaje chakula kijipike chenyewe??!!.
Sasa njoo kwenye uumbaji wa dunia na uwaulize; je hawaoni uzuri wa dunia na vilivyopo juu yake, navyo havijaumbwa??, hakuna nafsi iliyoumba dunia.na ulimwengu??, endelea kuwahoji; kama wapo Ma engineers waliounda lile gari, ile computer na yupo mpishi aliyepika lile pilau safi vipi akosekane Yule aliyeumba dunia safi na vilivyomo??--- hapo akili zao zinashikwa na wazimu kwani wanajua ni lazima Mungu atajwe katika uumbaji wa dunia na vilivyomo na wao kusikia jina Mungu kwao ni ugonjwa wa mzio (allergy), sasa watakuuliza; Huyo Mungu yuko wapi??!, ukiwajibu; Mungu huwa haonekani, waona wamepata silaha, watahoji; tutaaminije kitu kisichoonekana ndio kimeumba hii dunia??-- wanasahau kwamba hata ile pilau waliokula hawakumuona mpishi wake lakini wanaamini ilipikwa na mtu-mpishi lakini wakiambiwa Kuna muumba Mungu wa dunia na ulimwengu hawataki kusikia.
Ewe Mungu wasamehe hawa viumbe wako na uwaongoze katika njia zako na uwaondoshee kibri na majivuno.
Siwezi.Dhibitisha mungu yupo.
Naona umeishiwa hoja.Kwanza unajuaje ni nyumba bila kuwa na uelewa wa nyumba?
Jibu swali nililo kuuliza.Why didn't you think the same way about universe?
Tuambie chanzo cha Mungu ni kipi, vinginevyo utahukumiwa na kanuni yako mwenyewe
Hukuweka hoja zaidi ya kuzua jambo ambalo linakutoa katika lengo. Unapo ulizwa uwepo wa kitu huonyesha nini Kisha ukaleta jambo ambalo liko nje ya madam na halihitajiki wala kudhuru ni upunguani, kwamba mtu wa miguu sita mara kadha. Huu ni muendelezo kama ulio uleta hapa kwamba kuhusu uelewa wa nyumba, Sasa nani asiye jua nyumba ni nini ? Kijana kutetea ujinga ni ngumu sana.Halafu baada ya hapo niliweka hoja gani kuonesha uwezekano wa hilo kuwepo?
Hatujibu kirahsii hivi. Onyesha huo utoto ulipo fanya kama navyofanya Mimi. Mimi nakosoa hoja yako wewe hatahija yangu huigusi unaruka ruka.Kama kile nilichokieleza ni utoto basi hata hoja zenu kuhusu Mungu katika nafasi ile inayomuonesha kama ndio chanzo basi ni utoto pia
Ina maana hujui Sayansi na jambo Moja na ngano ni jambo lingine ? Nilipokwambia usome Second law of Thermodynamics Kuna kitu kinaonyesha ukomo wa jambo na chanzo kadhalika Entropy. Sasa Hawa wameafikiana uhalisia. Sasa kuna zile ngano kama vile Sun is Stationery au Earth rotates, hizi ni ngano. Vitu ambavyo hata Sayansi yenyewe inashindwa kuvithibitisha kisayansi na vipo katika Sayansi hizi huitwa ngano. Haya mambo ya Special Relatiy au Black hole ni ngano.Unani Shauri nisome second law of Thermodynamics ya kisayansi at the same time unaniambia niachane na ngano za wanasayansi
Hapo unakuwa umeandika nini?
Maumbile gani?
Ninachoamin mm kinamantiki kabisaMimi siwezi kukuambia ipi ni kweli, cha kufanya tutafute elimu tena elimu ambayo haipingani na akili.. maana elimu ikipingana na akili ujue huo ni Uongo.
Mfano Waswahili wana msemo wao wanasema"Ukiona vyaelea, VIMEUNDWA" huo msemo unaweza ukauchukua kama starting point kwenye kutafuta elimu juu ya viumbe na asili yao.
Scientists wanamsaka alietengeneza dunia! Kwa miaka na miaka hakuna hata daliliAtheists nitawaelewa sana mkianzisha opereshen ya kumsaka alietengeneza dunia lakin sio kusema ilijileta akat ukikutana na hela njian unasema kuna mtu kadondosha.
Hahhh basi sawa endelea na mantiki yako Mkuu.., shikilia hapo hapo.
Hahhh basi sawa endelea na mantiki yako Mkuu.., shikilia hapo hapo.