Atheists wana mtindio wa ubongo

Atheists wana mtindio wa ubongo

Soma Second Law of Thermodynamics na mambo ya Entropy hakuna Infinity Series katika uhalisia kijana. Achana na ngano za Wanasayansi na makubaliano ya kimahesabu.

Maumbile yalihitaji chanzi kisichokuwa na chanzo.
Unani Shauri nisome second law of Thermodynamics ya kisayansi at the same time unaniambia niachane na ngano za wanasayansi

Hapo unakuwa umeandika nini?

Maumbile gani?
 
Sasa sijaelewa nini!?...ndiyo vina chanzo,chanzo chenyewe kina intelligence,kilikuwekea pua na macho ili u-exist duniani wewe na Mammalia wenzako...hicho chanzo kina intelligence
Naomba kujua Chanzo cha hucho kitu chenye intelligence ni kipi?
 
ushajiuliza imekuaje kukawa na kuku broiler, layers na breeds zingine tofauti? Na umejiuliza zimetoka wapi? Wote hao wametokea katika yai la kiumbe mmoja ila wakawa altered ndio offsprings wake wakawa ivo walivo.
Umesema wote hao wametoka katika yai la kiumbe mmoja....
KIUMBE GANI HUYO?
na huyo Kiumbe nae alitokea vipi, au kati ya hicho kiumbe na hilo yai lake kipi kilianza?
 
Kwa misingi gani dinosaurs ni ndege wa kwanza!?..au ni yaleyale ya binaadam alikua nyani..from no where yaani akawa mtu, downtown...akaanza kuchana
Kuna fossil records:

Screenshot_20230217-171855_Chrome.jpg

Dinosaurs ndio first theropods (theropods ni wanyama jamii ya ndege). Mfano huyo hapo juu alikua ni 'feathered dinosaur'... kuna na wengine, tafuta kuhusu dinosaur anaitwa 'velociraptor'

Sayansi ipo sio kwasababu ndio ukweli, sayansi ipo kwaajili ya kutafuta ukweli. Kwahio kama unahoja ukaweza kuifanyia utafiti na ukaleta na ushahidi juu ya uwezekano huo, itakubalika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umesema wote hao wametoka katika yai la kiumbe mmoja....
KIUMBE GANI HUYO?
na huyo Kiumbe nae alitokea vipi, au kati ya hicho kiumbe na hilo yai lake kipi kilianza?
Dah.... ungekua unapay attention mkuu
Haya mambo yote nimeeleza mwanzon kabisa. Ila unaonekana unataka tu kubisha.

Ffs, nimeongelea kuhusu JUNGLE FOWL!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Okay,
Jungle fowl na yai lake kipi kilianza?
Yai lake. Maana mpaka aje kumutate kua vile alivo inamaana kua alitokea kwenye yai!

Ni sawa na mwanamke mweusi akizaa albino. Albino anakua katokana na mwanamke mweusi ila huyo albino akiendelea kuzaa na albino wengine, watoto wake wazae na albino tu, na hivohivo iendelee ktk vizaz vijavyo, mwisho wa siku watu weusi watapotea, watabaki albino pekee!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna fossil records:

View attachment 2520534

Dinosaurs ndio first theropods (theropods ni wanyama jamii ya ndege). Mfano huyo hapo juu alikua ni 'feathered dinosaur'... kuna na wengine, tafuta kuhusu dinosaur anaitwa 'velociraptor'

Sayansi ipo sio kwasababu ndio ukweli, sayansi ipo kwaajili ya kutafuta ukweli. Kwahio kama unahoja ukaweza kuifanyia utafiti na ukaleta na ushahidi juu ya uwezekano huo, itakubalika.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwepo hiyo fossil ya dinosaur inathibitisha vipi kwake,flamengo nk hawakuwepo!?
 
Unaamini Sana sayansi,ikiwa miwili yetu tu hatujaijua vyema kiasi saratani kitumaliza tukitazamana tu na kulia,itakua jua lililo mbali!?
Hmm... saratani kuna kitu tunajua kuhusu yenyewe. Na jua kuna kitu tunajua kuhusu leneywe. Ila hatujui kila kitu ndiomaana tafiti bado zinafanyika. Naamini sayansi kwasabab inadhihirika kabisa. Mishe zetu zote zinafanyika kwa uwezo wa sayansi...

Ukifanyuwa upasuaji hosp, ni sayansi imehusika
Gari unalotumia kwendea kazinu, bila sayansi lisingekuepo
Kifaa unachotumia kupata access ya JF usingeweza bila sayansi
Kiujumla maisha yamerahishwa kwa uwepo wa sayansi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuwepo hiyo fossil ya dinosaur inathibitisha vipi kwake,flamengo nk hawakuwepo!?
Hawakuepo. Kwasababu hakuna fossil records zao. Fossil sizinaonekana tu jaman... miaka kama mitatu iv imepita waligundua fossils za dinosaurs tz hapahapa. Tz hapahapa ndio yalipatikana mabaki ya binadamu ya zamani zaidi ya yote...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yai lake. Maana mpaka aje kumutate kua vile alivo inamaana kua alitokea kwenye yai!

Ni sawa na mwanamke mweusi akizaa albino. Albino anakua katokana na mwanamke mweusi ila huyo albino akiendelea kuzaa na albino wengine, watoto wake wazae na albino tu, na hivohivo iendelee ktk vizaz vijavyo, mwisho wa siku watu weusi watapotea, watabaki albino pekee!

Sent using Jamii Forums mobile app
Okay sawa, twende taratibu

Umesema Yai lake ndiyo lilianza.... Hilo yai lilitokea wapi sasa Mkuu?
 
Hmm... saratani kuna kitu tunajua kuhusu yenyewe. Na jua kuna kitu tunajua kuhusu leneywe. Ila hatujui kila kitu ndiomaana tafiti bado zinafanyika. Naamini sayansi kwasabab inadhihirika kabisa. Mishe zetu zote zinafanyika kwa uwezo wa sayansi...

Ukifanyuwa upasuaji hosp, ni sayansi imehusika
Gari unalotumia kwendea kazinu, bila sayansi lisingekuepo
Kifaa unachotumia kupata access ya JF usingeweza bila sayansi
Kiujumla maisha yamerahishwa kwa uwepo wa sayansi...

Sent using Jamii Forums mobile app
Sayansi imeshindwa kutibu saratani,maana yake binaadam haujui vyema mwili wake,ikiwa mwili wake haujui vyema atslijua jua lililo mamilioni ya mamia ya kilomita!?
 
Kwa uthibitisho upi?
We jamaa bana...unazungukazunguka tu,so tuanze Tena!!...kachukue tarumbeta ufanye mazoezi koo lisikwame kesho upulize vizuri kwenye kundi lenu la kidedea
 
Hawakuepo. Kwasababu hakuna fossil records zao. Fossil sizinaonekana tu jaman... miaka kama mitatu iv imepita waligundua fossils za dinosaurs tz hapahapa. Tz hapahapa ndio yalipatikana mabaki ya binadamu ya zamani zaidi ya yote...

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo ili kuthibitisha kwamba walikuwepo lazima pawe na fossils!!?..unajisikia vizuri lakini!!?..Pana upunguani kwenye hiyo hoja
 
Back
Top Bottom