Atheists wana mtindio wa ubongo

Atheists wana mtindio wa ubongo

Kauliza "scientifically"... hapo jibu ni yai... kumbuka kuna ushahidi kua yai lilikuepo tokea mamilioni ya miaka iliopita. Ila kuku ni wa juz kati tu hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaaa scientifically!!?.. science is nothing but human knowledge of the surroundings...wamethibitiaha kuku alikuwepo miaka mingapi iliyopita!?...maana timeline zenu Wana sayansi za kiboya,utasikia miaka bilioni 6 ijayo jua litapotea,kivipi ...hakuna hoja ya maana
 
Kwa mujibu wa mleta hoja husika na kwa namna alivyo i-address

Na ndio maana nimekupa challenge hapo uniambie chanzo cha Mungu ni kipi ikiwa haiwezekani kitu kikawepo tu bila chanzo?
Tutafika kwenye chanzo Cha Mungu lakini kwanza tukubaliabe universe na vilivyomo haviwezi kuwepo bila muhandishi wake,sawa!?
 
Hahahaaaa scientifically!!?.. science is nothing but human knowledge of the surroundings...wamethibitiaha kuku alikuwepo miaka mingapi iliyopita!?...maana timeline zenu Wana sayansi za kiboya,utasikia miaka bilioni 6 ijayo jua litapotea,kivipi ...hakuna hoja ya maana
Kuku alikuepo miaka kama 58K hivi iliopita na kuna ushahidi.

Jua litazima miaka bilion kadhaa ijayo, tunajua hili kwa kuangalia nyota nyingine zenye kufanana na jua! Ni kama mtu aseme kua life expectancy ya binadamu ni miaka 82. Hio ni kwasababu wameobserve binadamu wengine ndio unakuja na conclusion ya kitu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tutafika kwenye chanzo Cha Mungu lakini kwanza tukubaliabe universe na vilivyomo haviwezi kuwepo bila muhandishi wake,sawa!?
Tukubaliane kuwa haviwezi kuwepo bila chanzo kwasababu haiwezekani kilichopo kikawepo bila chanzo?
 
Kuku alikuepo miaka kama 58K hivi iliopita na kuna ushahidi.

Jua litazima miaka bilion kadhaa ijayo, tunajua hili kwa kuangalia nyota nyingine zenye kufanana na jua! Ni kama mtu aseme kua life expectancy ya binadamu ni miaka 82. Hio ni kwasababu wameobserve binadamu wengine ndio unakuja na conclusion ya kitu...

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kuku tu au ndege wote!?..miaka 58k!!!..nyi watu huwa mnachekesha Sana, Hilo jua tu lililo karibu yenu hamlijui vizuri Wala hamjalikaribia,itakua majua mengine yaliyo mbali!!?..hizo ni guesswork tu
 
Tukubaliane kuwa haviwezi kuwepo bila chanzo kwasababu haiwezekani kilichopo kikawepo bila chanzo?
Ndiyo haviwezi kuwepo bila chanzo,so Kuna chanzo..intelligent chanzo sawa?!
 
Kuku walievolve kutoka kwa jungle foul.
Kwa ushahidi ulipo mpaka sasa ni kwamba mayai, kama haya ndege, yalitokeza miaka mil.340 iliopita... hapo kuku alievolve takriban miaka elf.58 iliopita

Sent using Jamii Forums mobile app
Anhaa sawa Ahsante,, itoshe tu kusema, HIYO NI IMANI UMESOMA SEHEMU UKAAMINI....!

Kwa MTAZAMO wangu kutokana na akili ya kuzaliwa Tu.. Kuku na Yai(Kuku ndyo alianza then Yai likafata) na MTAZAMO wangu umekuwa supported na Watafiti wa kisayansi kama Hivi 👇🏽

Researchers found that the formation of egg shells relies on a protein found only in a chicken’s ovaries. Therefore, an egg can exist only if it has been inside a chicken.

The protein – called ovocledidin-17, or OC-17 – acts as a catalyst to speed up the development of the shell. This hard shell is essential to house the yolk and its protective fluids while the chick develops inside.

Scientists from Sheffield and Warwick universities used a super computer to ‘zoom in’ on the formation of an egg. The computer, called HECToR and based in Edinburgh, revealed that OC-17 is crucial in kick-starting crystallisation – the early stages of the creation of a shell.
 
Ndiyo haviwezi kuwepo bila chanzo,so Kuna chanzo..intelligent chanzo sawa?!
ujaelewa vizuri nilichokiandika

Ni kwamba tukubali hivyo vitu lazima viwe na chanzo kwasababu haiwezekani kilichopo kikawepo tu bila chanzo?
 
Ni kuku tu au ndege wote!?..miaka 58k!!!..nyi watu huwa mnachekesha Sana, Hilo jua tu lililo karibu yenu hamlijui vizuri Wala hamjalikaribia,itakua majua mengine yaliyo mbali!!?..hizo ni guesswork tu
Hahah... ndio sayansi inakubal kua haijui mambo ndio maana kuna tafiti zinafanyika kila siku. Na kama hujui jua lishachunguzwa kwa karibu zaidi na onajulikana ni vitu gani vinavotengeneza jua nk... kuna probe inaitwa "Parker Solar Probe" yenyew inafanya kazi ya kuchunguza "corona" ya jua... ilipelekwa huko mwaka 2018. Kuna probes nyingine ilipelekwa saturn, ikavutwa humo.

Nyingine kama Cassini zimeenda hata beyond solar system... sasa unavosema kua "hatulijui jua vzr" sielew ni kitu gani unamaanisha, au unataka tujue nn cha zaidi kuhusu jua?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuamini kwamba kiumbe hakiwezi kujiumba chenyewe kunathibitishika!

Lakini kuamini kwamba kiumbe kinaweza kujiumba chenyewe hakuthibitishiki!

Mwisho wa siku kila mtu aamini anavyotaka.
 
Anhaa sawa Ahsante,, itoshe tu kusema, HIYO NI IMANI UMESOMA SEHEMU UKAAMINI....!

Kwa MTAZAMO wangu kutokana na akili ya kuzaliwa Tu.. Kuku na Yai(Kuku ndyo alianza then Yai likafata) na MTAZAMO wangu umekuwa supported na Watafiti wa kisayansi kama Hivi [emoji1427]

Researchers found that the formation of egg shells relies on a protein found only in a chicken’s ovaries. Therefore, an egg can exist only if it has been inside a chicken.

The protein – called ovocledidin-17, or OC-17 – acts as a catalyst to speed up the development of the shell. This hard shell is essential to house the yolk and its protective fluids while the chick develops inside.

Scientists from Sheffield and Warwick universities used a super computer to ‘zoom in’ on the formation of an egg. The computer, called HECToR and based in Edinburgh, revealed that OC-17 is crucial in kick-starting crystallisation – the early stages of the creation of a shell.
Tunaongelea yai kama yai. Sio yai la kuku...

Screenshot_20230217-165929_Chrome.jpg

Hio summary...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunaongelea yai kama yai. Sio yai la kuku...

View attachment 2520525

Hio summary...

Sent using Jamii Forums mobile app
Jaribu kuamini akili yako Mkuu.., Yani inaonekana huamini akili yako kabisa.., unaamini kile unachoambiwa kuliko unachoona kwa macho yako mawili.

Una uhakika gani hizo stories ni za kweli!?

Hivi yai la Nyangumi, linaweza kutotoa Kifaranga Cha Kuku?

Unlearn so that you can learn new things!
 
Hahah... ndio sayansi inakubal kua haijui mambo ndio maana kuna tafiti zinafanyika kila siku. Na kama hujui jua lishachunguzwa kwa karibu zaidi na onajulikana ni vitu gani vinavotengeneza jua nk... kuna probe inaitwa "Parker Solar Probe" yenyew inafanya kaz ya kuchunguza "corona" ya jua... ilipelekwa huko mwaka 2018. Kuna probes nyingine ilipelekwa saturn, ikavutwa humo. Nyingine kama Cassini zimeenda hata beyond solar system... sasa unavosema kua "hatulijui jua vzr" sielew ni kitu gani unamaanisha, au unataka tujue nn cha zaidi kuhusu jua?

Sent using Jamii Forums mobile app
Si tunaambiwa probe haijalifikia jua bado,mamia ya mamilioni ya kilomita,means bado hatujui kitu kuhusu jua...Sasa Kama kwwnye jua tu hatujafika itakua majua ya mbali!?..hizo hekaya za kinajimu tu
 
Kwa misingi gani dinosaurs ni ndege wa kwanza!?..au ni yaleyale ya binaadam alikua nyani..from no where yaani akawa mtu, downtown...akaanza kuchana
Hao Jamaa wanaaminishwa ujinga wanakubali,,
Hawataki kutumia akili zao kabisa.

Yaani mtu anaamini Yai la Nyoka linaweza kutotoa Kifaranga Cha Kuku 😅
 
ujaelewa vizuri nilichokiandika

Ni kwamba tukubali hivyo vitu lazima viwe na chanzo kwasababu haiwezekani kilichopo kikawepo tu bila chanzo?
Sasa sijaelewa nini!?...ndiyo vina chanzo,chanzo chenyewe kina intelligence,kilikuwekea pua na macho ili u-exist duniani wewe na Mammalia wenzako...hicho chanzo kina intelligence
 
Jaribu kuamini akili yako Mkuu.., Yani inaonekana huamini akili yako kabisa.., unaamini kile unachoambiwa kuliko unachoona kwa macho yako mawili.

Una uhakika gani hizo stories ni za kweli!?

Hivi yai la Nyangumi, linaweza kutotoa Kifaranga Cha Kuku?

Unlearn so that you can learn new things!
Nyangumi ni mamal. Anazaa na kunyonyesha kama binadamu tu, hatagi. Na kunakitu kinaitwa mutations. Hiko ndio kinapelekea evolution kutokea... ushajiuliza imekuaje kukawa na kuku broiler, layers na breeds zingine tofauti? Na umejiuliza zimetoka wapi? Wote hao wametokea katika yai la kiumbe mmoja ila wakawa altered ndio offsprings wake wakawa ivo walivo.

Sasa hio ni "human assisted evolution".... kuna natural evolution, ambayo itatumia miaka na miaka kutokea, hali ya mazingira kubadilika inapelekea kuspeed up evolution...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom