Atheists wana mtindio wa ubongo

The same goes to your God

Uwepo wake unaonesha uwepo wa kitu gani kilichomfanya awepo?
Kijana mambo haya jadiliwi kirahisi hivi. Chanzo Cha kila kitu vipi kiwe na chanzo ?
 
Nani kakudanganya?

Kwanza umeelewa nilichokiandika?
Nimekuelewa vizuri. Ili uwe sahihi kosoa nikichokoandika. Ulikiri ya kuwa ukiona nyumba unajua ya kuwa yupo aliyejenga nyumba hiyo. Hii ni Self Evident Truth. Sasa kataaa hili.

Kule mbele ulikoendelea ulifanya utoto wa kuweka jambo ambalo halihitaji la kuweka mtu sijui wa miguu sita. Hili uliliweka na halikuwa na haja sababu hoja ya msingi iliishia kwenye uwepo wa nyumba. Acha uoga kuweka vitu ambavyo havihitajiki.
 
Usilete maswali yasiyo na msingi. Swali ni kwamba ukiona nyumba unaona nini au unathibitikiwa na nini ?

Kwamba je imejiweka pale ilipo yenyewe au imetokana pasi na chochote ? Sasa mambo ya kujua au kutokujua hayana nafasi hapo, nukta ni je imejengwa au imejijenga au imejiumba au imetokea pasi na chochote.
 
Kijana mambo haya jadiliwi kirahisi hivi. Chanzo Cha kila kitu vipi kiwe na chanzo ?
Why didn't you think the same way about universe?

Tuambie chanzo cha Mungu ni kipi, vinginevyo utahukumiwa na kanuni yako mwenyewe
 
Nimekuelewa vizuri. Ili uwe sahihi kosoa nikichokoandika. Ulikiri ya kuwa ukiona nyumba unajua ya kuwa yupo aliyejenga nyumba hiyo. Hii ni Self Evident Truth. Sasa kataaa hili.
Halafu baada ya hapo niliweka hoja gani kuonesha uwezekano wa hilo kuwepo?
 
.

Kule mbele ulikoendelea ulifanya utoto wa kuweka jambo ambalo halihitaji la kuweka mtu sijui wa miguu sita. Hili uliliweka na halikuwa na haja sababu hoja ya msingi iliishia kwenye uwepo wa nyumba. Acha uoga kuweka vitu ambavyo havihitajiki.
Kama kile nilichokieleza ni utoto basi hata hoja zenu kuhusu Mungu katika nafasi ile inayomuonesha kama ndio chanzo basi ni utoto pia
 
Kwanza unajuaje ni nyumba bila kuwa na uelewa wa nyumba?
 
Atheists ni vilaza
Wana amini aliens wapo somewhere lakini hawaamini kama mungu yupo
 
Why didn't you think the same way about universe?

Tuambie chanzo cha Mungu ni kipi, vinginevyo utahukumiwa na kanuni yako mwenyewe
Jibu swali nililo kuuliza.
 
Halafu baada ya hapo niliweka hoja gani kuonesha uwezekano wa hilo kuwepo?
Hukuweka hoja zaidi ya kuzua jambo ambalo linakutoa katika lengo. Unapo ulizwa uwepo wa kitu huonyesha nini Kisha ukaleta jambo ambalo liko nje ya madam na halihitajiki wala kudhuru ni upunguani, kwamba mtu wa miguu sita mara kadha. Huu ni muendelezo kama ulio uleta hapa kwamba kuhusu uelewa wa nyumba, Sasa nani asiye jua nyumba ni nini ? Kijana kutetea ujinga ni ngumu sana.

Nakupa tena nafasi nyingine, jalia sijui au sina uelewa wa nyumba. Tuambie nyumba inaweza kujitengeneza au kuwepo pasi na chochote ?
 
Kama kile nilichokieleza ni utoto basi hata hoja zenu kuhusu Mungu katika nafasi ile inayomuonesha kama ndio chanzo basi ni utoto pia
Hatujibu kirahsii hivi. Onyesha huo utoto ulipo fanya kama navyofanya Mimi. Mimi nakosoa hoja yako wewe hatahija yangu huigusi unaruka ruka.
 
Unani Shauri nisome second law of Thermodynamics ya kisayansi at the same time unaniambia niachane na ngano za wanasayansi

Hapo unakuwa umeandika nini?

Maumbile gani?
Ina maana hujui Sayansi na jambo Moja na ngano ni jambo lingine ? Nilipokwambia usome Second law of Thermodynamics Kuna kitu kinaonyesha ukomo wa jambo na chanzo kadhalika Entropy. Sasa Hawa wameafikiana uhalisia. Sasa kuna zile ngano kama vile Sun is Stationery au Earth rotates, hizi ni ngano. Vitu ambavyo hata Sayansi yenyewe inashindwa kuvithibitisha kisayansi na vipo katika Sayansi hizi huitwa ngano. Haya mambo ya Special Relatiy au Black hole ni ngano.
 
Atheists nitawaelewa sana mkianzisha opereshen ya kumsaka alietengeneza dunia lakin sio kusema ilijileta akat ukikutana na hela njian unasema kuna mtu kadondosha.
 
Ninachoamin mm kinamantiki kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…