Atheists wana mtindio wa ubongo

Unarudia swai ambalo nimeshakuuliza, uhalisia umenifanya nijue hilo.
Una reasoning ya kitoto sana

Nakuuliza umejuaje hii ni nyumba unasema ni kwasababu ya uhalisia

Mtu ambaye amekaa bush miaka yote hajawahi kuona nyumba, ukimuonesha nyumba atakuwa na ufahamu wa kujua hii ni nyumba?
 
Hii story nimejikuta niko very interested nayo yani sijui kwanini hujanijibu
 
Vipi kuhusu wewe unayekaaga macho kodo, nini umevumbua mkuu?
 
Vipi kuhusu wewe unayekaaga macho kodo, nini umevumbua mkuu?
 
Africans throughout religions nowadays things are getting into a massive contradictions
 
point sana mkuu na broo wangu ypo ivii yn anaboa[emoji1787][emoji1787]
 
Mungu yupi sasa maana mungu wapo wengi.kutokana na imani tofauti tofauti mkuu

Yule aliyekuumba wewe na kila kitu ndiye huyo ninaye mzungumzia, ambaye yupo peke yake katika uumbaji, hakuzaliwa na wala hazai, sisi sote twaomba msaada kutoka kwake, anazo sifa zote njema, yeye ndiye mfalme wa siku ya mwisho, hasinzii wala halali, uchovu haumshiki, haonekani kwa macho ya kimwili bai kwa macho ya kiroho, anasikia, anaona, anarehemu na kufadhili, vyote tunavyotumia bure ni kati ya rehema zake.
 
Wewe hizo habari umetoa wapi?????Kwenye vitabu vya wazungu,wayahudi au waarabu?????Au kwa babu zako???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…