Atheists wana mtindio wa ubongo

Sio expectations zangu, bali ni yeye kufanya kulingana na sifa zake
Sifa zake yeye ni mwenye upendo
Matendo ya upendo yapo mengi

Yeye ni mkali wa kuadhibu

Adhabu zipo

“Mungu mwenye upendo wote hawezi kuumba ulimwengu wenye kuruhusu mabaya. Hana sababu ya kufanya uumbaji wa dizaini hiyo”

Nani anaweka ukomo wa nini Mungu anaweza na nini hawezi?

Labda kama hana uwezo wote

Kama anauwezo wote wa kuumba ulimwengu bora usioruhusu mabaya basi lazima hilo liwezekane
Yeye anaumba anavyotaka na halazimiki kuendana na expectations zako

Wewe ni nani hasa hata yeye atake kuendana na expectations zako?
Taja sifa za Mungu
 
Peponi? Peponi ni wapi?
 
Taja hizo sifa maana ziko nyingi

Nijue unareason kwa sifa ipi
 
Google ni search engine tu, inayoweza kukupa access ya taarifa mbalimbali.
Hamna anayekataa na suala la kumzuia mtoto kutumia simu lina-depend na elimu anayotaka kujifunza, turudi kwenye mada, anawezaje kututhibitishia kuwa ni ya kweli, hayo yote aliyoyasoma google na kuamini ni ya kweli angali yeye mwenyewe hakuhusika kwenye hizo practicals?
 
Uhalisia umeonyesha ulimwengu umeumbwa kwa uwepo wake,nidhamu ilivyo, uhalisia na kutowezekana kwake kujiumba au kutokea pasi na chochote.
Unajuaje kama ni kweli na sio jambo ambalo umepotoka?
 
Kuhoji sifa ya kitu wala haikuhitaji ukubaliane na uwepo wa hicho kitu
Nami sijasema umekubaliana na uwepo wake 😂

Nimesema upo half way, na half way sio sawa na kukubaliana


Hakuna mahali nimesema umekubaliana na uwepo wake
Relax😂
 
Kwa hiyo huwezi kuthibitisha uwepo wa Mungu bila kitu kingine au unaweza?
 
Swali sio nani kasema
hilo la nani kasema ni swali la msingi

Huwezi kulidismiss kama si kitu kwakuwa huwei kujibu

Nani kasema??
Hoja ya msingi ni kweli anasifa hiyo ya upendo wote?
Ujue unapokwama umeshikilia sifa moja

Hebu taja sifa zote unazozijua au ni hiyo moja tu?
Ni kweli katika vitu allnavyodaiwa kuviumba vinakinzana na sifa yake?
 
Which scripture?

Maana ulitaja unaowaita Miungu nimeomba ufafanuzi mpaka sasa sijapata
Kwamba kuna scriptures zingine zenye kudaiwa kuwa zimeandikwa na Mungu au watu walioongozwa na Mungu zimeongea uongo?
 
Kwani we unajenga vipi hoja mbona hueleweki?

Hoja zako hazioneshi kuwa hakuna ubaya, ila zinaonesha uwezekano wa kutokuwepo kwa aina fulani ya ubaya

Mi najadili ubaya haijalishi kwa kiwango gani
Mimi ninataka uthibitishe huo ubaya unaoujengea hoja si vinginevyo
 
Source ni kitabu kinachodaiwa kuwa ni cha Mungu

Kwa hiyo kumbe vitabu vya Mungu navyo sio vya kuviamini?
Kinaitwaje?

Hata mimi naweza andika kitabu kisha nikadai cha Mungu vipii utakikubali?

Hebu tumia akili walau kidogo
 
Haiwezekani, wewe sio mkuu pengine kuwazidi hata watu Bilioni 7 tulipo duniani

JF kila mtu tunamheshimu kumuita Mkuu hayo maneno yasikubabaishe ni semantics tu
Na mi sijasema kuwazidi watu bilion 7

Hata ukuu wa Mungu kumbe nao sio wakubabaishwa nao inawezekana ni muendelezo ule ule wa semantics tu
 
Mimi sijauliza kama Mungu anapangiwa au lah

Swali langu nililokuuliza ni hili

Kwani huu ulimwengu umeumbwa na Mungu mwenye hana sifa za upendo wote, ujuzi wote na uwezo wote?.

Mpaka uwe hivi ulivyo?
 
Kama nilivosema, google ni search engine tu. Inaweza kukudirect kwenye forums mbalimbali ambazo utakuta wataalamu wa hizo fani ukawauliza maswali ukapatiwa majibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sa mbona unajipinga mwenyewe?
Sijajipinga

Nilikupa umuhimu wa watu kufa kwa uhai wa viumbe duniani

Na huo umuhimu ni wa wazi kabisa

Huku kwingine tulijadili maisha baada ya kufa
Usijichanganye
Mwanzo umesema watu wanakufa ili kubalnce uhai kwasababu watu wasingekufa ulimwengu usingetosha
Jambo ambalo ni la kweli
Nilivyokuuliza kuwa huko mbinguni kuna nafasi kuyasi gani kuweza kuhimili watu zaidi ya bilioni 7

Unakuja kusema ulimwengu unatanuka na kuna spaces nyingi ambayo ni kubwa kiasi hatuwezi kuienea yote.
Ofcourse, nilikuwa nakuonesha kamq issue yako ni nafasi ya kuishi watu huko mbinguni basi nafasi ni ya kutosha

Hiyo ni simple
Kwa hiyo nishike lipi?

Safi shika hili

Watu wanakufa duniani ni natural lqzima tufe

Kufa si kubaya mara zote maana unapokufa unatoa nafasi kwa maisha mengine kuanzia mabaki yako mpaka resources tunazohitaji ili tuishi

Na kufq kwqko ni practical maana hapa Duniani (si unaijua dunia?) namaanisha dunia sio ulimwengu, tusingeweza kuishi viumbe wote tuliowahi kuishi

Kuhus space kutanuka ni kwamba huko tuendako yani afterlife kama physical space is your concern basi usijisumbue maana nafasi inatanukq kwa kasi sana kila sekunde

Umeelewa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…