Dr Count Capone
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,878
- 3,263
Hayo ni maoni yako au una literature backing?Na mi sijasema kuwazidi watu bilion 7
Hata ukuu wa Mungu kumbe nao sio wakubabaishwa nao inawezekana ni muendelezo ule ule wa semantics tu
Hujajibu swaliKwamba kuna scriptures zingine zenye kudaiwa kuwa zimeandikwa na Mungu au watu walioongozwa na Mungu zimeongea uongo?
Nami nimekueleza kuwa kama wewe huelewi utendaji wake haina maana amekoseaMimi sijauliza kama Mungu anapangiwa au lah
Absolutely, na mpia ni mkali wa kuadhibu.Swali langu nililokuuliza ni hili
Kwani huu ulimwengu umeumbwa na Mungu mwenye hana sifa za upendo wote, ujuzi wote na uwezo wote?.
Yani kama huwezi kuona dunia hii ilivyo na ku appreciate sidhani kama kuna kitu uta appreciateMpaka uwe hivi ulivyo?
Mifano ya kitoto sana....
Au una ntindio wa ubongo...?
Alaye pika pila anajulkkana na anaonekana ( ushahidi upo).
Engineer aliye tengeneza gari zuri, yupo na ushahidi upo.
Je..
Yuko wapi aliye umba hii dunia..?
Yuko wapi aliye muumba binadamu...?
Ushawahi kumuona, au ni imani tu...? Kam ni imani yako tu, tuliza mshono.
Elewa haya mambo ya imani yasi kuzuzue na kujiona upo sahihi.
We amini unacho kiamini.
Salaamu wakuu.
Niende Moja kwa moja kwenye mada.
Utakuta mtu anasifia gari ; "Hii gari kiboko kweli mainjinia wake walikuna vichwa balaa katika usanifu na gari hii haina mpinzani kwani katika kila nyanja ipo okay", ilmuradi tu gari litasifiwa hata kama linazo kasoro na mapungufu fulani.
Hao hao ma atheists utawasikia tena wakisifia; "Hii computer achana nayo, inakasi kubwa balaa utadhani haikundwa na.binadamu bali imedondoka kutoka mbinguni".
Ma atheists hawaishi hapo tu, hebu wakaribishe kwenye pilau utawasikia; "Aise huu msosi kiboko, mtamu kweli, sijui kapika nani !!? Mpishi katoka wapi??!, pasi shaka umepikwa na mtu kutoka pwani kwani watu wa bara hawawezi mapishi ya aina hii !! ".
Huyo atheist anatoa madai kana kwamba huyo mpishi anamjua na kamuona!!, sasa kwa utani tu jaribu kumwaambia kwamba msosi huo umejipika wenyewe!!, utashambuliwa kwa kejeli na matusi na kupewa majina mabaya ya kukutoa akili, utawasikia wakisema; wewe unamatatizo kichwani mwako inawezekanaje chakula kijipike chenyewe??!!.
Sasa njoo kwenye uumbaji wa dunia na uwaulize; je hawaoni uzuri wa dunia na vilivyopo juu yake, navyo havijaumbwa??, hakuna nafsi iliyoumba dunia.na ulimwengu??, endelea kuwahoji; kama wapo Ma engineers waliounda lile gari, ile computer na yupo mpishi aliyepika lile pilau safi vipi akosekane Yule aliyeumba dunia safi na vilivyomo??--- hapo akili zao zinashikwa na wazimu kwani wanajua ni lazima Mungu atajwe katika uumbaji wa dunia na vilivyomo na wao kusikia jina Mungu kwao ni ugonjwa wa mzio (allergy), sasa watakuuliza; Huyo Mungu yuko wapi??!, ukiwajibu; Mungu huwa haonekani, waona wamepata silaha, watahoji; tutaaminije kitu kisichoonekana ndio kimeumba hii dunia??-- wanasahau kwamba hata ile pilau waliokula hawakumuona mpishi wake lakini wanaamini ilipikwa na mtu-mpishi lakini wakiambiwa Kuna muumba Mungu wa dunia na ulimwengu hawataki kusikia.
Ewe Mungu wasamehe hawa viumbe wako na uwaongoze katika njia zako na uwaondoshee kibri na majivuno.
Then where did the chicken come fromAnhaa sawa Ahsante,, itoshe tu kusema, HIYO NI IMANI UMESOMA SEHEMU UKAAMINI....!
Kwa MTAZAMO wangu kutokana na akili ya kuzaliwa Tu.. Kuku na Yai(Kuku ndyo alianza then Yai likafata) na MTAZAMO wangu umekuwa supported na Watafiti wa kisayansi kama Hivi [emoji1427]
Researchers found that the formation of egg shells relies on a protein found only in a chicken’s ovaries. Therefore, an egg can exist only if it has been inside a chicken.
The protein – called ovocledidin-17, or OC-17 – acts as a catalyst to speed up the development of the shell. This hard shell is essential to house the yolk and its protective fluids while the chick develops inside.
Scientists from Sheffield and Warwick universities used a super computer to ‘zoom in’ on the formation of an egg. The computer, called HECToR and based in Edinburgh, revealed that OC-17 is crucial in kick-starting crystallisation – the early stages of the creation of a shell.
Achana na habari ya outer space dunia yenyewe hasa bahari tunachokijua ni chini ya asilimia 10 tuSi tunaambiwa probe haijalifikia jua bado,mamia ya mamilioni ya kilomita,means bado hatujui kitu kuhusu jua...Sasa Kama kwwnye jua tu hatujafika itakua majua ya mbali!?..hizo hekaya za kinajimu tu
Haha... hio ilikua ni 2003...Achana na habari ya outer space dunia yenyewe hasa bahari tunachokijua ni chini ya asilimia 10 tu
Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
Hebu iseme kwa KISWAHILI hiyo ATHEISTSalaamu wakuu.
Niende Moja kwa moja kwenye mada.
Utakuta mtu anasifia gari ; "Hii gari kiboko kweli mainjinia wake walikuna vichwa balaa katika usanifu na gari hii haina mpinzani kwani katika kila nyanja ipo okay", ilmuradi tu gari litasifiwa hata kama linazo kasoro na mapungufu fulani.
Hao hao ma atheists utawasikia tena wakisifia; "Hii computer achana nayo, inakasi kubwa balaa utadhani haikundwa na.binadamu bali imedondoka kutoka mbinguni".
Ma atheists hawaishi hapo tu, hebu wakaribishe kwenye pilau utawasikia; "Aise huu msosi kiboko, mtamu kweli, sijui kapika nani !!? Mpishi katoka wapi??!, pasi shaka umepikwa na mtu kutoka pwani kwani watu wa bara hawawezi mapishi ya aina hii !! ".
Huyo atheist anatoa madai kana kwamba huyo mpishi anamjua na kamuona!!, sasa kwa utani tu jaribu kumwaambia kwamba msosi huo umejipika wenyewe!!, utashambuliwa kwa kejeli na matusi na kupewa majina mabaya ya kukutoa akili, utawasikia wakisema; wewe unamatatizo kichwani mwako inawezekanaje chakula kijipike chenyewe??!!.
Sasa njoo kwenye uumbaji wa dunia na uwaulize; je hawaoni uzuri wa dunia na vilivyopo juu yake, navyo havijaumbwa??, hakuna nafsi iliyoumba dunia.na ulimwengu??, endelea kuwahoji; kama wapo Ma engineers waliounda lile gari, ile computer na yupo mpishi aliyepika lile pilau safi vipi akosekane Yule aliyeumba dunia safi na vilivyomo??--- hapo akili zao zinashikwa na wazimu kwani wanajua ni lazima Mungu atajwe katika uumbaji wa dunia na vilivyomo na wao kusikia jina Mungu kwao ni ugonjwa wa mzio (allergy), sasa watakuuliza; Huyo Mungu yuko wapi??!, ukiwajibu; Mungu huwa haonekani, waona wamepata silaha, watahoji; tutaaminije kitu kisichoonekana ndio kimeumba hii dunia??-- wanasahau kwamba hata ile pilau waliokula hawakumuona mpishi wake lakini wanaamini ilipikwa na mtu-mpishi lakini wakiambiwa Kuna muumba Mungu wa dunia na ulimwengu hawataki kusikia.
Ewe Mungu wasamehe hawa viumbe wako na uwaongoze katika njia zako na uwaondoshee kibri na majivuno.
Mmejuaje kuwa alianzia kiumbe wa majini mna evidence zozote zaidi ya speculation? Evolution is also a religionAlitokana kwa ancestor wake! Mm siwez kukariri majina ya predecessors wa species wote dunian, sio fani yangu hio lol... maana hata nikitafuta jina lake utaniuliza tena na huyo ancestor wake ni nani.
Ila theory iko hivi... viumbe wote walianzia ktk kiumbe wa majini ambae ali crawl out akaweza kuadopt mazingira, thanks to random gene mutations. Ndio ivo viumbe wote wakatokea...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini unaandika uongo. Nakupa angalizo kuna vitu kama huvielewi usiwe una vipinga, bora kwako uulize. Unajua maana ya ishara ? Unatenganisha vipi ishara na aliyeweka ishara ? Gari ni ishara kuwepo Msanifu wa gari. Sasa hoja yako ni ipi hapo ?Ishara ni kitu kingine hicho kinachojitegemea
Nataka uthibitishe Allah yupo bila kutumia kitu kingine
Kwa hiyo hauna ushahidi wa huyo kumbe. Maana yake unataka tuamini tu kuwa alikuwepo.TO JUST BELIEVE THAT CREATURE EXISTED
Nikujibu mara ngapi ? Uhalisia upo haina mbadala kijana. Uwe unasoma nanchokiandika. Uhalisia haupingani na akili iliyo salama.Nimekuuliza swali utajuaje unachokiona wewe ni uhalisia na sio umepotoka tu?
Uulize maswali ya maana. Chochote ambacho kipo kinyume na hali halisi, hicho hakipo kama kilivyo. Kwahiyo ni juu yako kuangalia kipi ni kipi.Kitu gani hakipo kama kilivyo?
Vitabu.Ndio vitu gani hivi?
Inaonekana husomi ninacho kuandika. Jibu lipo humo ulipo ni quote.Kwa hiyo huwezi kuthibitisha uwepo wa Mungu bila kitu kingine au unaweza?
Fossil records zipo!!Kwa hiyo hauna ushahidi wa huyo kumbe. Maana yake unataka tuamini tu akuwa alikuwepo. JUST BELIEVE THAT CREATURE EXISTED
Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
Mzee hamuwezi hata kuulewa ulimwengu wenyewe vizuri leo mnataka muelewe kuhusu celestial being out of your own realmKwanza unajuaje ni nyumba bila kuwa na uelewa wa nyumba?