Kentsuhcy Wrudate
JF-Expert Member
- Aug 20, 2019
- 1,075
- 653
Meteorite hizo ni product ya BIG BANG!So u still proving that life might be came from somewhere not from nothing. Kama hizo meteorite zilikuwa na componets za life(dna) na zika crush hapa duniani ambazo my be ndio zilizoform life as we know it billions years ago
Swali la kujiuliza where did they come from
Why here on earth life can be sustained and not in moon or mars or venus, Mercury whatever of it happen accidentally
Dna by itself is too systematic and complicated to be formed accidentally someone must have designed it
Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
Naona huelewi ninacho kiandika. Unaelewa nini mtu anapo kwambia jambo la kimaumbile ? Yaani linaanzia katika kufikiri mpaka kuhitimisha siyo lazima liwe linashikika. Kwahiyo nimekupa jibu sahihi la swali lako, ila hujaelewa nini maana ya maumbile. Mfano mwanaume kumsimamia mwanamke na kumtongoza hili ni jambo la kimaumbile au mwanaume kumiliki wanawake zaidi ya mmoja hili kadhalika ni jambo la kimaumbile.Swali halijauliza kama ni jambo la kimaumbile au sio
Swali limeuliza ni wapi uliipatia dhana ya kuumbwa au kujiumba?
Evolution haina final goal. Ni kwamba tu aliefit zaid ndie anaesurvive... panya tu walioishi karb na binadam kwa muda wa miaka 100, wamebadilika kwa kias kikubwaSio probably,... It's surely not!
Ndiyo maana hata hao Wanasayansi unaowaamini wakielezea evolution theories zao... Utakuta kwa mfano kwa kwenye evolution of Man wanaanzia kwa primates(apes& monkey) ukiwauliza hao primates walitokea wapi!?...... BILA SHAKA HAWAJUI!!
Kwenye meteorite ambazo umesema zimeanguka wakakuta cell hai na DNA. ..... Mwenyewe umekiri hapo kwamba hata HAWAJUI imetokea wapi.
so,kwa mazingira kama hayo utawaamini vipi watu ambao wao wenyewe HAWAJUI kile ambacho wewe unawachukulia kama reference.
Najua kuwa kitabu huwa kina jina.Kila kitabu kina jina kijana😂
Hujasoma na hujui unachoongelea
Una elimu gani scars? Nisijekuwa najadiliana na mtu ambaye hajasoma zaidi ya makala humu JF
Jadilini vitu vinavyo wahusu msio yajua yakaushieni ili msiharibu uziHii pepo yenu ndio ile unapewa wanawake 70 na mito ya pombe kazi yako ni kulewa na kusex tu? Mbona ni kama danguro sasa[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Uhakika ninao sababu yanaendana na uhalisia.Ushahidi wa kimaandiko? unahakika gani kama haujawa deluded?
Unathibitisha vipi kama hayo maandiko yanasema ukweli?
Nakuona unatoka kwenye illusion unaenda kwenye delusion
Kwanini saa zote umekuwa ukichagua kupita njia mbovu?
Kwenye hili naam, sababu umekuwa ni mjinga katika hili na jibu umepewa.Kwamba nikishindwa kujua dunia imekuwaje basi jibu la kusema Mungu ndio sahihi?
Naanzia hapa. Uhalisia ni wewe kuzaliwa na baba yako kuwa mkubwa kiumri kuliko wewe.So hoja ya msingi kwanza ni
Uhalisia ni nini?
Na unaupimaje?
Utajuaje kama hiki ni uhalisia na sio kama umepotoka tu?
Si kweli huuu ujinga nilishakukosoa, nilikupa mfano wa Mazigazi. Usiwe unarudia mambo ambayo yashakosolewa.Mtu anaye experience hallucinations kila anachokiona kwake ni real, hana hata uwezo wa kugundua kuwa yupo kwenye tatizo na hivyo kila kitu anachokiona kwake sio halisia.
Hayo maumbile uliwahi kuyashuhudia yakiumbwa that's why ukayatumia kama past record kupitia personal experience hiyo?Naona huelewi ninacho kiandika. Unaelewa nini mtu anapo kwambia jambo la kimaumbile ? Yaani linaanzia katika kufikiri mpaka kuhitimisha siyo lazima liwe linashikika. Kwahiyo nimekupa jibu sahihi la swali lako, ila hujaelewa nini maana ya maumbile. Mfano mwanaume kumsimamia mwanamke na kumtongoza hili ni jambo la kimaumbile au mwanaume kumiliki wanawake zaidi ya mmoja hili kadhalika ni jambo la kimaumbile.
Pillow, achana na habari za dhana sababu mara nyingi huwa si hakika tupu, tunaongelea uhalisia.
Hiyo sio definition ya uhalisiaNaanzia hapa. Uhalisia ni wewe kuzaliwa na baba yako kuwa mkubwa kiumri kuliko wewe.
Kwa msururu huo huenda hata hoja zako ni za uongoNajua kuwa kitabu huwa kina jina.
Ila kabla ya kufika huko nataka nijue kwanini umeonesha doubt kuhusu authenticity ya hivyo vitabu wakati vimedaiwa kuwa ni vya Mungu?
Kuonesha kwako mashaka kunafanya mimi nione kuwa kitabu kunasibiwa kuwa ni cha Mungu bado sio kigezo cha kuaminika, kinaweza kuwa ni uongo tu.
Na kama ni uongo then kumbe hata hicho kitabu chako unachokiamini upo uwezekano mkubwa wa hicho kitabu kuwa ni cha uongo pia.
Chanzo changu ni Qur'aan, akili na maumbile.Huo ushahidi ulete, ila tuhakikishie kwanza chanzo chako ulipoutoa huo ushahidi, hicho chanzo ni valid kiaisi gani?
Ngoja nikufundishe kijana. Kuna namna nne za kutoa maana ya kitu, nimekupa maana ya uhalisia kuonyesha uhalisia.Hiyo sio definition ya uhalisia
Kijana naona huna hoja, ulitaka maana ya kuumbwa nikakupa. Naona husomi nachokiandika. Usingeuliza maswali ya kitoto kama haya.Kwa hiyo dhana ya kuumbwa umeitokea wapi?
Nikisema nikuounguzie maswali magumu nikiutoe hapo kwenye ulimwengu nikupe nafasi ya wewe kuweka jambo lolote tofauti na ulimwengu
Ili tuone hoja ya kuumba ina make sense ebu nikuulize kwa namna nyingine
Uliwahi kushuhudia uumbaji wa kitu gani kingine achilia mbali ulimwengu ambao umekushinda?
Ili iwe ni fact ya kibusara kufikiria uumbaji upo?
Sio kweli kwa maana gani?Si kweli huuu ujinga nilishakukosoa, nilikupa mfano wa Mazigazi. Usiwe unarudia mambo ambayo yashakosolewa.
Huu ni mjadala lazima tu verify hojaNgoja nikufundishe kijana. Kuna namna nne za kutoa maana ya kitu, nimekupa maana ya uhalisia kuonyesha uhalisia.
Sasa toa maana ya uhalisia inaonekana unaijua, ila zingatia maana ya maana.
Kunipa maana ya kuumba hakuna maana maana yako inatakiwa kuchukuliwa kama ulivyo i-addressKijana naona huna hoja, ulitaka maana ya kuumbwa nikakupa. Naona husomi nachokiandika. Usingeuliza maswali ya kitoto kama haya.
Mimi sio muumini wa maswala ya Mungu, nipo hapa kuwaonesha mnao amini Mungu namna mlivyokuwa deluded kwa ku point weakness area zinazoonesha hizo habari ni uongo.Hupo hapa kutufundisha kuhusu Mungu au hata hujui kuhusu Mungu?
Wewe ndio huelewiKaka hujui ukianzaje kuchangia in the first place
Umetoa list na ukaita ni ya miungu nakutaka uwaelezee kadri unavyowajua
Usikimbie swali kijana