Atheists wana mtindio wa ubongo

Atheists wana mtindio wa ubongo

So u still proving that life might be came from somewhere not from nothing. Kama hizo meteorite zilikuwa na componets za life(dna) na zika crush hapa duniani ambazo my be ndio zilizoform life as we know it billions years ago
Swali la kujiuliza where did they come from
Why here on earth life can be sustained and not in moon or mars or venus, Mercury whatever of it happen accidentally
Dna by itself is too systematic and complicated to be formed accidentally someone must have designed it

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
Meteorite hizo ni product ya BIG BANG!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swali halijauliza kama ni jambo la kimaumbile au sio

Swali limeuliza ni wapi uliipatia dhana ya kuumbwa au kujiumba?
Naona huelewi ninacho kiandika. Unaelewa nini mtu anapo kwambia jambo la kimaumbile ? Yaani linaanzia katika kufikiri mpaka kuhitimisha siyo lazima liwe linashikika. Kwahiyo nimekupa jibu sahihi la swali lako, ila hujaelewa nini maana ya maumbile. Mfano mwanaume kumsimamia mwanamke na kumtongoza hili ni jambo la kimaumbile au mwanaume kumiliki wanawake zaidi ya mmoja hili kadhalika ni jambo la kimaumbile.

Pillow, achana na habari za dhana sababu mara nyingi huwa si hakika tupu, tunaongelea uhalisia.
 
Sio probably,... It's surely not!

Ndiyo maana hata hao Wanasayansi unaowaamini wakielezea evolution theories zao... Utakuta kwa mfano kwa kwenye evolution of Man wanaanzia kwa primates(apes& monkey) ukiwauliza hao primates walitokea wapi!?...... BILA SHAKA HAWAJUI!!

Kwenye meteorite ambazo umesema zimeanguka wakakuta cell hai na DNA. ..... Mwenyewe umekiri hapo kwamba hata HAWAJUI imetokea wapi.

so,kwa mazingira kama hayo utawaamini vipi watu ambao wao wenyewe HAWAJUI kile ambacho wewe unawachukulia kama reference.
Evolution haina final goal. Ni kwamba tu aliefit zaid ndie anaesurvive... panya tu walioishi karb na binadam kwa muda wa miaka 100, wamebadilika kwa kias kikubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila kitabu kina jina kijana😂

Hujasoma na hujui unachoongelea

Una elimu gani scars? Nisijekuwa najadiliana na mtu ambaye hajasoma zaidi ya makala humu JF
Najua kuwa kitabu huwa kina jina.

Ila kabla ya kufika huko nataka nijue kwanini umeonesha doubt kuhusu authenticity ya hivyo vitabu wakati vimedaiwa kuwa ni vya Mungu?

Kuonesha kwako mashaka kunafanya mimi nione kuwa kitabu kunasibiwa kuwa ni cha Mungu bado sio kigezo cha kuaminika, kinaweza kuwa ni uongo tu.

Na kama ni uongo then kumbe hata hicho kitabu chako unachokiamini upo uwezekano mkubwa wa hicho kitabu kuwa ni cha uongo pia.
 
Ushahidi wa kimaandiko? unahakika gani kama haujawa deluded?

Unathibitisha vipi kama hayo maandiko yanasema ukweli?

Nakuona unatoka kwenye illusion unaenda kwenye delusion

Kwanini saa zote umekuwa ukichagua kupita njia mbovu?
Uhakika ninao sababu yanaendana na uhalisia.

Sababu hakuna wala hajawahi mtu kuleta mfano wa maandiko hayo.

Sijawahi kupita njia mbovu ndiyo mana natamba sababu naandika Elimu isiyo kuwa na shaka, yenye kwenda sambamba na maumbile, akili na uhalisia.

Sasa usilete stori kosoa ninachokiandika. Hizi stori za wanafalsafa ni utoto tu.

Kingine kitu kama hujakielewa Bora uulize ueleweshwe ndiyo uulize swali, maana unakuta unataka kabisanje ya kile nilichokieleza.
 
Kwamba nikishindwa kujua dunia imekuwaje basi jibu la kusema Mungu ndio sahihi?
Kwenye hili naam, sababu umekuwa ni mjinga katika hili na jibu umepewa.

Umeona Sasa ulivyo mgonjwa wa akili, unaoataje nguvu ya kusema Mola hayupo na huwezi kutuambia ya kuwa imekuwaje kuwaje Dunia ikawa hivi ilivyo ? Muda huo huo unashindwa kutuambia aidha imejiumba au imetokea pasi na chochote.
 
So hoja ya msingi kwanza ni

Uhalisia ni nini?

Na unaupimaje?

Utajuaje kama hiki ni uhalisia na sio kama umepotoka tu?
Naanzia hapa. Uhalisia ni wewe kuzaliwa na baba yako kuwa mkubwa kiumri kuliko wewe.

Uhalisia ni nyumba kusanifiwana kujengwa.

Kisicho uhalisia hupinganana hali halisi.
 
Mtu anaye experience hallucinations kila anachokiona kwake ni real, hana hata uwezo wa kugundua kuwa yupo kwenye tatizo na hivyo kila kitu anachokiona kwake sio halisia.
Si kweli huuu ujinga nilishakukosoa, nilikupa mfano wa Mazigazi. Usiwe unarudia mambo ambayo yashakosolewa.
 
Naona huelewi ninacho kiandika. Unaelewa nini mtu anapo kwambia jambo la kimaumbile ? Yaani linaanzia katika kufikiri mpaka kuhitimisha siyo lazima liwe linashikika. Kwahiyo nimekupa jibu sahihi la swali lako, ila hujaelewa nini maana ya maumbile. Mfano mwanaume kumsimamia mwanamke na kumtongoza hili ni jambo la kimaumbile au mwanaume kumiliki wanawake zaidi ya mmoja hili kadhalika ni jambo la kimaumbile.

Pillow, achana na habari za dhana sababu mara nyingi huwa si hakika tupu, tunaongelea uhalisia.
Hayo maumbile uliwahi kuyashuhudia yakiumbwa that's why ukayatumia kama past record kupitia personal experience hiyo?
 
Najua kuwa kitabu huwa kina jina.

Ila kabla ya kufika huko nataka nijue kwanini umeonesha doubt kuhusu authenticity ya hivyo vitabu wakati vimedaiwa kuwa ni vya Mungu?

Kuonesha kwako mashaka kunafanya mimi nione kuwa kitabu kunasibiwa kuwa ni cha Mungu bado sio kigezo cha kuaminika, kinaweza kuwa ni uongo tu.

Na kama ni uongo then kumbe hata hicho kitabu chako unachokiamini upo uwezekano mkubwa wa hicho kitabu kuwa ni cha uongo pia.
Kwa msururu huo huenda hata hoja zako ni za uongo

Huo uchochoro unaoshuka nao mbele kuna miba if you only knew
 
Huo ushahidi ulete, ila tuhakikishie kwanza chanzo chako ulipoutoa huo ushahidi, hicho chanzo ni valid kiaisi gani?
Chanzo changu ni Qur'aan, akili na maumbile.

Kingine kila siku tunawathibitishia ya kuwa Mola yupo. Ila hamjawahi kuthibitisha hayupo.

Leo fanyeni hii kazi ya kuthibitisha hayupo mtupe na ushahidi siyo mitazamo ya kifalsafa na logic.
 
Hiyo sio definition ya uhalisia
Ngoja nikufundishe kijana. Kuna namna nne za kutoa maana ya kitu, nimekupa maana ya uhalisia kuonyesha uhalisia.

Sasa toa maana ya uhalisia inaonekana unaijua, ila zingatia maana ya maana.
 
Kwa hiyo dhana ya kuumbwa umeitokea wapi?

Nikisema nikuounguzie maswali magumu nikiutoe hapo kwenye ulimwengu nikupe nafasi ya wewe kuweka jambo lolote tofauti na ulimwengu

Ili tuone hoja ya kuumba ina make sense ebu nikuulize kwa namna nyingine

Uliwahi kushuhudia uumbaji wa kitu gani kingine achilia mbali ulimwengu ambao umekushinda?

Ili iwe ni fact ya kibusara kufikiria uumbaji upo?
Kijana naona huna hoja, ulitaka maana ya kuumbwa nikakupa. Naona husomi nachokiandika. Usingeuliza maswali ya kitoto kama haya.
 
Si kweli huuu ujinga nilishakukosoa, nilikupa mfano wa Mazigazi. Usiwe unarudia mambo ambayo yashakosolewa.
Sio kweli kwa maana gani?

Kwamba mtu anaweza akawa ana experience hallucinations at the same time akawa anajua kuwa vitu anavyovi perceive havipo real?
 
Ngoja nikufundishe kijana. Kuna namna nne za kutoa maana ya kitu, nimekupa maana ya uhalisia kuonyesha uhalisia.

Sasa toa maana ya uhalisia inaonekana unaijua, ila zingatia maana ya maana.
Huu ni mjadala lazima tu verify hoja

Source yako ya definition ya uhalisia umeitoa wapi?
 
Kijana naona huna hoja, ulitaka maana ya kuumbwa nikakupa. Naona husomi nachokiandika. Usingeuliza maswali ya kitoto kama haya.
Kunipa maana ya kuumba hakuna maana maana yako inatakiwa kuchukuliwa kama ulivyo i-address

Na ndio maana nakuja na mtiririko wa maswali yanayoendana na hoja hiyo hiyo nikiwa najua kuna mahala utakwama kwasababu ya tatizo ulilolutengeneza mwanzo kupitia maana uliyoitoa.

Kwa hiyo swali ni hili

Uliwahi kushuhudia uumbaji wa kitu gani kingine achilia mbali ulimwengu ambao umekushinda?

Ili iwe ni fact ya kibusara kufikiria uumbaji upo?
 
Hupo hapa kutufundisha kuhusu Mungu au hata hujui kuhusu Mungu?
Mimi sio muumini wa maswala ya Mungu, nipo hapa kuwaonesha mnao amini Mungu namna mlivyokuwa deluded kwa ku point weakness area zinazoonesha hizo habari ni uongo.
 
Kaka hujui ukianzaje kuchangia in the first place

Umetoa list na ukaita ni ya miungu nakutaka uwaelezee kadri unavyowajua

Usikimbie swali kijana
Wewe ndio huelewi

Kwani nilivyokua nakuambia kuwa hizo lists ni claims, nilisema ni claims kutoka kwangu?

Katika hizo lists umejaribu kutafuta Mungu wako ukamkosa
 
Back
Top Bottom