Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Hapo juu umekubali kuwa kifo ni kibaya na umetoa sababu kuwa ni lazima watu wafe ili mkutane na muumba wenuSiyo kweli
Ndiyo maana nakuuliza una elimu gani wewe??
Mbona unaongea vitu vya ajabu?
Namimi nachagua kuizingatia hoja yako ya mwanzo kupitia mazingira ambayo nayaona waumini wakiishi
Kifo ni kibaya na hakipendwi na watu na ndio maana leo ukiumwa hufurahii kuwa ufe ili ukakutane na Mungu
Kifo ni kibaya na hakipendwi na watu kwasababu mazingira ya maisha tunayoyaona kwa waumini wamekuwa wakitumia gharama kubwa kuwa secure na vihatarishi vinavyoweza kusababisha wao kufa.
Kifo ni jambo baya na lisilopendwa na ndio maana katika mazingira yetu ya kimaisha hatujawahi kuona msikitini au makanisani wakifanya sherehe na vicheko kufurahia mtu aliyekufa.
Zaidi tunaona viongozi wa dini wakikataza watu kucheka msibani na wakitoa ushauri wa kutumia maneno ya faraja kuwatia moyo wafiwa.