Maana ya mvua inajulikana kijana, hiyo waulize wenyewe wakwambie ni nini na kama wamenipa jina Mvua nasi wanajidanganya wao wenyewe. Na kuwadanganya wenzao.Haya tuambie wewe kama sio mvua inaitwa nini?
Ili utengeneze binadamu basi kupitia Cloning na anakuwa binadamu aliye kamilika.
Nao sio binadamu?
Hiyo haiitwi mvua, ni sawa na sanamu la Sophia ukasema yule ni Mwanadamu. Muwe mnafikiria haya mambo kiundani siyo juu juu tu, kama mnavyo fanya nyinyi mnafikiri hii ni Falsafa, au Logic au Sayansi ukiamka tu unafikiria kitu Kisha mnaleta Assumptions kibao. Kwenye dini hakuna huo upuuzi, kwenye dini ni uhalisia tu.
Kingine akili ya mwanadamu Ina ukomo na kutojua kutowezekana kwa mambo Fulani huo ni wendawazimu mwingine, kwahiyo hao Wachina ni mazuzu wasio jua asili ya mvua, kama wale wanaotafuta dawa ya Kifo, huku hawajui hakika ya kifo na kwanini Kuna kifo, huu ni uzwa uzwa mwingine.
Ni kwamba, mamilioni ya matone ya maji yanapojikusanya nakutengeneza mawingu kisha yakadondoka hio ndio mvua. Na tunajua kabisa namna haya matone yanavojikusanya na kuleta mvua. Na tunaweza kuzuia lisifanyike hilo na mvua isinyeshe, na tunaweza kuspeed up hio process ili kupata mvua nyingi zaid. Hakuna kitu anafanya Allah hapo. Saudi Arabia mbona wao hawaruhusu dini iwafanye kua wajinga hivi, wakat huko ndio kati ya sehem uislam ulipoanzia...Maana ya mvua inajulikana kijana, hiyo waulize wenyewe wakwambie ni nini na kama wamenipa jina Mvua nasi wanajidanganya wao wenyewe. Na kuwadanganya wenzao.
Mwanadamu hatengenezwi kijana, muwe mnajifunza lugha na usahihi wa maneno, kisichokuwa na roho ndiyo kinatengenezwa, mwanadamu anaumbwa na mwenye kuumba ni Mola pekee.
Kuangamiza dunia nzima kwa mvua: Quran Ayah 11:40Haya umeyapata wapi ? Ndiyo nasikia kwako, naomba unionyeshe umepata wapi hizi habari.
Hili lishajadiliwa zaidi ya mara Moja humu ndani. Shida yenu hampo kwa ajili ya kujifunza zaidi ya ubishani, ndiyo maana mnakuwa wajinga na wavivu wa kufikiri. Kitu msichokijua Qur'aan Ina aya nyingi za kuwahimiza watu wafikiri na kutafakari. Ukiona huilewi Qur'aan ujue wewe huzingatii na hufikiri kiundani kile kinachosemwa.
Hayo niliyo kuuliza umeyapata wapi siyajui mengine nakubaliano nayo. Sasa ni wajibu wako uniambie umeyapata wapi.
It's by chance/ randomnesss
Hatuchagui wazazi ila pia wazazi hawatuchagui.
The universal law ndio inayo govern kila kitu kwenye huu ulimwengu.
Ni vinasaba utakavyorithi toka kwa watu wawili walipokutana in randomness ila wakaamua kuzagamuana ndio ukatokea kenge wewe.
Ila kiukweli ulimwengu ni chaotic kama alivyosugest mdau.
Ulijia kama Uturuki kutatokea Tetemeko la ardhi ? Au unaijua kesho yako ? Ukitaka kujua ukomo wa akili ya mwanadamu waangalie Wanasayansi wanavyofikia hitimisho katika mambo Yao. Ushawahi kujiuliza kwanini kwenye Sayansi au Scientific Calculation zina "Assumptions". Kwanini kwenye Projectile Motion Calculation Kuna Assumptions, kwenye Universal Law Of Gravitational Kuna Assumption, kwenye Thermodynamics na kwingine ? Maana yake akili imekomea pale."Kingine akili ya binadamu ina ukomo na kutojua..."
Nyie wenyewe ndio mnajilimit, mnajipa ukomo wenyewe. Sasa hio kama sio mvua ni nn? Maana wamefanya utafiti kua mvua inatengenezekaje afu kisha wakafanya ivoivo ili kutengeneza mvua na inanyesha... haina utofaut na mvua za kawaida.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mawingu ya asili na haya ya kutengeneza Yana usawa kiasi gani ?Ni kwamba, mamilioni ya matone ya maji yanapojikusanya nakutengeneza mawingu kisha yakadondoka hio ndio mvua. Na tunajua kabisa namna haya matone yanavojikusanya na kuleta mvua. Na tunaweza kuzuia lisifanyike hilo na mvua isinyeshe, na tunaweza kuspeed up hio process ili kupata mvua nyingi zaid. Hakuna kitu anafanya Allah hapo. Saudi Arabia mbona wao hawaruhusu dini iwafanye kua wajinga hivi, wakat huko ndio kati ya sehem uislam ulipoanzia...
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa soma katika aya Kisha urudi katika yale uliyo yaandika uniambie Yana fanana ? Wewe ulisema Mtume alishika huo mwezi. Sasa huu mtindo ndiyo nitakuwa napenda nao Sasa hivi, yaani nawaachia mjielezee ili mzidi kuonekana mlivyo waongo na msio fatilia mambo. Yaani mnafanya khiyana mpaka kwenye kunukuu habari.Kuangamiza dunia nzima kwa mvua: Quran Ayah 11:40
Kugawa mwezi katikati: surah al-qamar 54:1-na kuendelea
Sent using Jamii Forums mobile app
Kivipi?Seeing is believing ah?
Hiyo nyumba unakuwa nayo au hauna..? So why mlazimishe lazima kuwepo kwa kitu kuweze kuthibitika...? Na uwepo wa Mungu hauhitajiki kuthibitika kwa vigezo vya kibinadamu imani inayotokana na vitu visivyo na majibu kama chanzo binadamu na uhai, na vitu vingine kama jua na hiyo science mnayosoma function zake bila kujua chanzo. Mfano unaweza niamboa chanzo/asili ya jua ni nini...!Sasa kama hujachukua ushahidi utaaminikaje kuwa ni mkweli?
Ni kweli una miliki nyumba, ila umeenda benki bila hati ya nyumba ukasema uombe mkopo wa milion 100.
Unafikiri utaweza kuaminiwa kuwa umesahau hati nyumbani hivyo wakupe mkopo?
Hiyo inamaanisha kwamba tukiruhusu hilo swala, tunakuwa tumeachia mwanya kwa madai yeyote ya uwongo as long as kila mmoja atakuja na viapo kuwa hicho kitu ni kweli
Kila imani ina chanzo/asili yake na ukiifuatilia vyema utagundua Mungu au mungu(muungu) anayezungumziwa katika imani hiyo anathibitika. Sisi watu wa monotheism (single and only One God) tunaamini katika Mungu mmoja ambaye ni chimbuko la kila kitu, ata hiyo miungu.Kama imani ni njia ya kweli kujua ukweli wa jambo basi tungekuwa na imani moja yenye kuamini Mungu mmoja
Since tuna bunch of faith tena zinazo pingana basi hoja ya kusema Mungu yupo kwa imani haiwezi kuwa na mashiko
Umesahau kwamba hata kitu ambacho hakipo nacho hakiwezi kuthibitishwa kuwa kipoHiyo nyumba unakuwa nayo au hauna..? So why mlazimishe lazima kuwepo kwa kitu kuweze kuthibitika...? Na uwepo wa Mungu hauhitajiki kuthibitika kwa vigezo vya kibinadamu imani inayotokana na vitu visivyo na majibu kama chanzo binadamu na uhai, na vitu vingine kama jua na hiyo science mnayosoma function zake bila kujua chanzo. Mfano unaweza niamboa chanzo/asili ya jua ni nini...!
Just because of His Graceful, sababu anaweza yasiyowezekana kwa akili zetu, ameweza kutuwezesha kuyafahamu yaliyo nje ya uwezo wa uelewa wetu kwa jinsi apendavyo na aonavyo inafaa si kadri ya mapenzi yatu.Kilicho beyond your grasp, we umekijuaje?
Umejuaje kama amewapa watu neema ya kujua wakati ujuzi wako upo limited kuweza kumuelewa?
Kwa hiyo kumbe imani nayo inatatizo inaweza ikakufikisha kwenye jibu la uongo?Kila imani ina chanzo/asili yake na ukiifuatilia vyema utagundua Mungu au mungu(muungu) anayezungumziwa katika imani hiyo anathibitika. Sisi watu wa monotheism (single and only One God) tunaamini katika Mungu mmoja ambaye ni chimbuko la kila kitu, ata hiyo miungu.
.
Umejuaje kuwa sababu ni neema yake wakati hata uwezo wa kuthibitisha huna?Just because of His Graceful, sababu anaweza yasiyowezekana kwa akili zetu, ameweza kutuwezesha kuyafahamu yaliyo nje ya uwezo wa uelewa wetu kwa jinsi apendavyo na aonavyo inafaa si kadri ya mapenzi yatu.
Reason: He is reasoningless, his mind is incomperable.
Unaleta reasoning ya logic, syllogism ina makosa makubwa mno..! Huwezi draw conclusion kwa logic siyo kila kitu kinafuata huo mtririko wako wa logic.Umesahau kwamba hata kitu ambacho hakipo nacho hakiwezi kuthibitishwa kuwa kipo
Sasa ukaletewa madai ya kitu ambacho hakipo, we utajuaje kuwa hiki kitu hakipo au kipo ila kimekosa uthibitisho wa kuonesha kipo?
Utaamua vipi kwenye jambo hilo?
Ukisema kitu fulani kipo bila ushahidi au uthibitisho, hayo yanakuwa madai
Madai sio ushahidi
***********†**************
Nimekuambia imani ingekuwa njia ya kweli ya kujua ukweli wa jambo basi kila kitu kilichodaiwa kuwa ni imani kingekuwa kweli
Na mind you, tungekuwa na imani moja kwasababu wote ingetulengesha kwenye jibu moja.
Uwepo wa imani nyingi tofauti tofauti na zenye kupingana kunaonesha imani sio njia ya kweli kwenye kujua ukweli wa jambo.
Sijasema kuhusu kukufikisha kwenye uongo, Mungu anayeongelewa ni True God (Mungu mmoja). Imani usichanye zipo imani nyingi. Imani ya Mungu mmoja inajipambanua vyema.Kwa hiyo kumbe imani nayo inatatizo inaweza ikakufikisha kwenye jibu la uongo?
Halafu sio kweli kuwa imani za Miungu tifauti na imani yako zinaabudu Mungu anayethibitishika.
Dini ya Summerian ni kongwe kuliko hata hiyo dini yako, na imekuwa ikiabudu Enlil ambaye ni unseen
Na ukija katika hoja yako kuwa miungu inaabudu Mungu zaidi ya mmoja bado utafungwa na kauli yako kwa wakristo ambao wanaabudu Mungu katika utatu
**********************†******************
Mnao amini Mungu katika umoja mko wangapi?
Unadhani haya nayo yasema na kuandika nimepata shuleni..? Najua kwa kuwa tofauti na wewe, na hakika si kwa uwezo wala utashi wangu maana najibu si kwa ufahamu wangu pekee .Umejuaje kuwa sababu ni neema yake wakati hata uwezo wa kuthibitisha huna?
Umetumia nini kujua ilihali uelewa wako uko limited?
Hayo yote kuhusu nje ya uwezo wa uelewa wenu, umetumia kitu gani kuyajua?
Unaweza ukajibu hayo maswali bila kutumia circular reasoning?
Ukisema inajulikana basi unaikataa kwa vigezo Gani kuwa hiyo sio mvua?Maana ya mvua inajulikana kijana, hiyo waulize wenyewe wakwambie ni nini na kama wamenipa jina Mvua nasi wanajidanganya wao wenyewe. Na kuwadanganya wenzao.
Mwanadamu hatengenezwi kijana, muwe mnajifunza lugha na usahihi wa maneno, kisichokuwa na roho ndiyo kinatengenezwa, mwanadamu anaumbwa na mwenye kuumba ni Mola pekee.
Hapa naona umetumia mkono wake ajipige makofi mwenyewe.Kuangamiza dunia nzima kwa mvua: Quran Ayah 11:40
Kugawa mwezi katikati: surah al-qamar 54:1-na kuendelea
Sent using Jamii Forums mobile app