Maana ya mvua inajulikana kijana, hiyo waulize wenyewe wakwambie ni nini na kama wamenipa jina Mvua nasi wanajidanganya wao wenyewe. Na kuwadanganya wenzao.Haya tuambie wewe kama sio mvua inaitwa nini?
Ili utengeneze binadamu basi kupitia Cloning na anakuwa binadamu aliye kamilika.
Nao sio binadamu?
Mwanadamu hatengenezwi kijana, muwe mnajifunza lugha na usahihi wa maneno, kisichokuwa na roho ndiyo kinatengenezwa, mwanadamu anaumbwa na mwenye kuumba ni Mola pekee.