Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Katika yale maelezo yako mawili yanayopingana nataka nijue mojaMaswali yako ni yaleyale, awali nilikujubu .
Nakunukuu:
"Hapa unakiri kuwa maswali niliyokuuliza Mungu ndio anayajua majibu yake.
Kwa maana kwamba ulichokisema hapo juu kuwa umejibu, ni uongo."
Hapana, sio uongo. Shida ipo kwako.Kwa makusudi, umejizima data za ufahamu. Hivyo huwezi kuelewa.
Majibu ya maswali yangu unayo au maswali ambayo nimekuuliza ni Mungu pekee ndiye mwenye majibu hivyo wewe huwezi kujibu?