Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna msemo: usibishane na mpumbavu....Mkuu mi kama atheist nashukuru kwa busara yako kwa namna ulivyoamua kutuita
Ila ulichosahau ni kitu kimoja
Watu wanasifia magari, Pc nk kutokana na comparison walizofanya za kuangalia ufanisi wa bidhaa moja dhidi ya bidhaa nyingine.
Hao atheist wanaosifia magari, computer nk, wanafanya hivyo kwa references.
Kwamba watu wanasema hii bidhaa ni bora kwasababu kuna specs hii ambayo kwenye bidhaa hii nyingine haipo
Viwanda vinavyotengeneza hizo bidhaa vinathibitishika kuwa vipo bila kuhitaji kitu kingine cha ziada kama ishara ya kuonesha ndio source ya hizo bidhaa
Huyo mtu hawezi kushindwa kukuthibitishia kampuni la Dell au Hp kuwa lipo.
Ni maswala ya taaluma ambayo kila mtu anaweza akafanya endapo akifundishwa.
Sasa
Unaposema huu ulimwengu umesababishwa na Mungu, references yako inakuwa nini?
Tunaweza tukathibitisha hicho chanzo bila kutumia kitu kingine kinachopimika kuwa ndio uthibitisho wa Mungu asiyepimika?
Lakini pia
Unaposema huu ulimwengu ni bora au umekamilika unakuwa umeupima na kuufananisha na ulimwengu gani mwingine mpaka ukafikia hitimisho kuwa ulimwengu huu ni mzuri?
Aliyesema laptop Hp omen ya gaming ni bora aliangalia toleo la chini yake au alifananiaha na brand nyingine kwenye maswala ya kiuwezo akaona Hp Omen ni laptop bora
Sasa ulimwengu huu mnaosema ni mzuri au ni bora, ni bora ukiufananisha na ulimwengu upi?
Nani kakwambia history haidanganyi? Hadi imekuwa history maana yake imepita kwenye mikono kadhaa hadi kukufikia wewe na kuendelea. Na kawaida ya history ni lazima iongezwe ama ipunguzwe details.. hiyo ndio sifa ya fasihi.Uwepo wa Mungu ni jambo la kihistoria, na historia daima haiongopi. Mungu yupo.
Una uhakika na hayo maelezo yako?Nani kakwambia history haidanganyi? Hadi imekuwa history maana yake imepita kwenye mikono kadhaa hadi kukufikia wewe na kuendelea. Na kawaida ya history ni lazima iongezwe ama ipunguzwe details.. hiyo ndio sifa ya fasihi.
Asingekuwapo kabla, asingeumba baada.Umejuaje kama alikuwepo kabla ya uumbaji?
Unajuaje kama huo uumbaji ulifanywa na yeye na sio kitu kingine ambacho wewe hujakijua?Asingekuwapo kabla, asingeumba baada.
Nilisema hivyo kwa maana ya kuwa muulize Mungu ndiye atakayekujibu. Ni kwa sababu maswali yalikuya ya nafsi ya Mungu na pia nilikuwa sina ufahamu nayo. Kwa hiyo simsemei Mungu.Umesema anayejua ni Mungu
Umejuaje kama anajua?
Unamsemea?
Unaifahamu historia yangu?Ikiwemo yako
Unapohitimisha kuwa ni habari za uongo, utakuwa tayari umethibitisha kuwa ni za uongo. Kuna haja ya kuuliza tena habari za uongo kutoka kwa mtu muongo?Mtu ambaye amekuambia habari za uongo kwa lengo la kupotosha halafu ukamuuliza maswali ili ku prove habari yake kuwa ni ya kweli au la
Yale maswali akashindwa kuyajibu, we utajuaje kuwa habari hiyo ni uongo au ni ya ukweli ila hana majibu?
Usinitie maneno kinywani. Mimi sikusema sikubaliani na dini, bali nilisema siabudu dini.Kuna mahali uliniuliza kuhusu twisila? Wapi nimelitoa?
Hukuuliza kwasababu ulielewa
Kuhusu historia nimeshakuambia kuwa hicho ni kitu kipya, kwasababu awali nilikuuliza kuhusu dini ukasema hukubaliani.
Lengo lilikuwa nikujua wapi umepatia hiyo idea ya Mungu
Uliposema historia, lazima uniambie umeitolea wapi ili tuweze kuipima..
Niambie hiyo historia umeitolea wapi?
Wahenga namanisha kama wahenga, sina maana yangu nyingine.Wahenga ukimaanisha wazee au una maana yako nyingine?
Wahenga ndio waliotengeneza hiyo historia? au ilikuwaje mpaka hiyo historia wakawa nayo?
Historia haijipingi pia haiongopi. Historia ni kumbukumbu za matukio ya kweli. Nje na hapo, haitakua historia, itakuwa ni kitu kingine.Mwingine akija akasema Mungu hayupo, na hiyo ni historia na kwakua historia haisemi uongo hivyo itathibitisha kuwa hayupo?
Sijauliza kuhusu nafsi, nimeuliza kuhusu ujuzi wa MunguNilisema hivyo kwa maana ya kuwa muulize Mungu ndiye atakayekujibu. Ni kwa sababu maswali yalikuya ya nafsi ya Mungu na pia nilikuwa sina ufahamu nayo. Kwa hiyo simsemei Mungu.
Toa mfano kama upo.Unajuaje kama huo uumbaji ulifanywa na yeye na sio kitu kingine ambacho wewe hujakijua?
Historia yako uliyoileta kuhusu MunguUnaifahamu historia yangu?
Hiyo pia ni hoja kwa njia ya mfanoToa mfano kama upo.
Akitokea mtu akaja na madai yanayopinga hoja zako kuonesha ulichokiongea ni uongo halafu naye akasisitiza kuwa madai yake ni historia, hiyo itaonesha ni kweli wewe mi muongo?Historia haijipingi pia haiongopi. Historia ni kumbukumbu za matukio ya kweli. Nje na hapo, haitakua historia, itakuwa ni kitu kingine.
Nipe maana ya wahengaWahenga namanisha kama wahenga, sina maana yangu nyingine.
Historia haitengenezwi na watu, bali huhifadhiwa na watu. Soma historia ili ujue inavyopatikana.
Kwa hiyo unakubaliana na dini gani?Usinitie maneno kinywani. Mimi sikusema sikubaliani na dini, bali nilisema siabudu dini.
Wazo la Mungu nimelipata kutoka kwa wahenga wetu na hiyo historia nimeipata kwa wahenga.
Huwezi kuuliza ujuzi wa Mungu bila kumgusa Mungu mwanyewe na nafsi yake.Sijauliza kuhusu nafsi, nimeuliza kuhusu ujuzi wa Mungu
Hapa nafanya mjadala na wewe sio Mungu, na wewe ndio uliyeleta habari za Mungu. Kwa hiyo kila swali hapa kuhusu Mungu litakuwa ni jukumu lako kujibu.