Atheists wana mtindio wa ubongo

Atheists wana mtindio wa ubongo

Yeah sure,ukienda porini ukakuta Kuna nyumba,hiyo nyumba itakua imejijenga yenyewe au Kuna mtu kajenga!?...swali rahisi tu,natarajia jibu fupi
We na mtoa mada wote mnatatizo moja

Kabla ya kuiona hiyo nyumba si tayari ushawahi ziona nyumba, wajenzi, maduka wanayouza vifaa vya ujezi?

Sasa ukikuta nyumba imejengwa unafikiri itakuwa big issue kuwaza kuwa imejengwa?

Sasa akijitokeza mtu kukuambia mjenzi wa hiyo nyumba ni jamaa mwenye miguu 6, mwenye urefu wa futi 30 ambaye haonekani.

Utakubali kuwa huyo mtu mwenye sifa hizo ndio mjenzi wa hiyo nyumba eti tu kwasababu haiwezekani hiyo nyumba ikawa imejijenga?
 
We na mtoa mada wote mnatatizo moja

Kabla ya kuiona hiyo nyumba si tayari ushawahi ziona nyumba, wajenzi, maduka wanayouza vifaa vya ujezi?

Sasa ukikuta nyumba imejengwa unafikiri itakuwa big issue kuwaza kuwa imejengwa?

Sasa akijitokeza mtu kukuambia mjenzi wa hiyo nyumba ni jamaa mwenye miguu 6, mwenye utefu wa futi 30 ambaye haonekani.

Utakubali kuwa huyo mtu mwenye sifa hizo ndio mjenzi wa hiyo nyumba eti tu kwasababu haiwezekani hiyo nyumba ikawa imejijenga?
Mbona maelezo insha babu!!?..miguu SITA na blaa blaa zingine ni jitihada zako za kutaka kufukia uwepo wa mjenzi,turudi kwenye dunia yetu na vilivyomo,kwa mpangilio wake,vipi akili yako haikutumi kwamba Kuna mjenzi wa dunia Kama ile nyumba kule porini!?
 
Nataka ujibu hoja kwanza kabla ya kuendelea mbele

Nyie si ndio mmepemdekeza hoja hii na kuikomalia kama ndio hoja yenye ushawishi

Jibu hoja hapo ndio twende hatua inayofuata
 
Nataka ujibu hoja kwanza kabla ya kuendelea mbele

Nyie si ndio mmepemdekeza hoja hii na kuikomalia kama ndio hoja yenye ushawishi

Jibu hoja hapo ndio twende hatua inayofuata
Hakuna hata mmoja atakujibu mpka watakapo amka kwenye huo usingizi wa imani ya kuambiwa na kusikia.
 
Sehemu sahihi ukiitofautisha na ipi isiyo sahihi?

Mtu mwingine atasema huu ulimwengu sio salama watu kuishi kwasababu unaua watu kwa natural calamities kule turkey na syria
Relativity VS absolute

Ili uwe na akili na kuielewa vizuri concrete world na reality unahitaji kuijua absolute na relativity kwa pamoja usibase upande mmoja.
 
Kwahio huyo mtaalamu aliyeumba dunia nzuri ndio huyo huyo mtaalamu aliyesema ili niweze kuumba haya mafuta petroli na hizi almasi sharti niue hivi vitu kwa miaka kadhaa ili ije hio petroli ?

Au ingawa hawa watu wana njaa na hamu ya miembe ila wakiweka hii mbegu sharti wasubiri miaka kadhaa ili waweze kuonja utamu ?

Ukiangalia kwenye nature wala hakuna cha ajabu reactions zote zinatokana na action fulani na ukiangalia kwa jicho la kiutafiti wala hakuna miracles....; Kwahio epuka majibu mepesi kwa afya ya elimu yako
 
Relativity VS absolute

Ili uwe na akili na kuielewa vizuri concrete world nabreality unahitaji kuijua absolute na relativity kwa pamoja usibase upande mmoja.
Malizia hoja yako
 
Nama
Malizia hoja yako
NAmaanisha tu kwamba, usin'gangane na hadi tulinganishe na kitu kingine ndio tujue kuwa kitu fulani kizuri. RELATIVELY

Tunaweza tumia njia ya kuangalia lengo/function na kusema kitu hiki ni kizuri kimetimiza kusudi hili. ABSOLUTELY
 
Sasa hiyo sio hoja ya kui apply kwenye vitu ambavyo unadai vimeumbwa na Mungu muweza wa yote, upendo wote na mjuzi wa yote
 
Nataka ujibu hoja kwanza kabla ya kuendelea mbele

Nyie si ndio mmepemdekeza hoja hii na kuikomalia kama ndio hoja yenye ushawishi

Jibu hoja hapo ndio twende hatua inayofuata
Hoja gani!?..Mimi niliuliza ukikuta nyumba porini utasema imetokea/imejijenga!?..ukasema hapana patakua na mjenzi,nikakuuliza kwa umbile la dunia na yanayoendelea ndani yake hakuna aliyejenga!?..huhanijibu,unaniambia nijibu hoja,hoja ipi!?
 
Atheists hawapotezi muda kwa kuabudu, ni kujikita katika kufikiri na kuvumbua vitu. Wewe umefunga macho unasali utavumbua lini? Hebu fanya utafiti kwa wanasayansi wakubwa duniani. Archimedes aliyevumbua "the law of floatation" alitumia mda mwingi kufikiri na sio kusali. Leo unawaita mataahira???
 
Hoja gani!?..Mimi niliuliza ukikuta nyumba porini utasema imetokea/imejijenga!?..ukasema hapana patakua na mjenzi,nikakuuliza kwa umbile la dunia na yanayoendelea ndani yake hakuna aliyejenga!?..huhanijibu,unaniambia nijibu hoja,hoja ipi!?
Sijajibu kirahisi kama ulivyoelezea wewe

Nimekupa sababu za kwanini wazo la kufikiria mjenzi litakuwa ni reasonable kwa kuonesha

Kabla hujaiona hiyo nyumba, tayari kichwani mwako kuna record zinazoonesha una utambuzi wa nyumba kutokana na mazingira uliyotoka kuwepo kwa nyumba

Lakini pia

Yapo makampuni ya ujenzi yanayoshughulika na maswala ya ujenzi wa nyumba, vipo viwanda ambavyo vinazalisha bidhaa za ujenzi.

Kwa hiyo hayo yote yalikuwepo kwenye ufahamu wako kabla hata hujaiona hiyo nyumba

Hivyo wazo la kuwaza kuwa hii nyumba itakuwa ina mjenzi, ni wazo la fact based on record

Ila mtu akikuambia hiyo nyumba uliyoiona imejengwa na mtu mwenye miguu 6 na urefu wa futi 30 ambaye haonekani, utakubali?

Utakubali mtu huyo mwenye sifa hizo ndio mjenzi wa hiyo nyumba kwasababu nyumba haiwezi kujijenga yenyewe?
 
Mkuu mi kama atheist nashukuru kwa busara yako kwa namna ulivyoamua kutuita

Ila ulichosahau ni kitu kimoja

Watu wanasifia magari, Pc nk kutokana na comparison walizofanya za kuangalia ufanisi wa bidhaa moja dhidi ya bidhaa nyingine.

Hao atheist wanaosifia magari, computer nk, wanafanya hivyo kwa references.

Kwamba watu wanasema hii bidhaa ni bora kwasababu kuna specs hii ambayo kwenye bidhaa hii nyingine haipo

Viwanda vinavyotengeneza hizo bidhaa vinathibotishika kuwa vipo bila kuhitaji kitu kingine cha ziada kama ishara ya kuonesha ndio source ya hizo bidhaa

Huyo mtu hawezi kushindwa kukuthibitishia kampuni la Dell au Hp kuwa lipo.

Ni maswala ya taaluma ambayo kila mtu anaweza akafanya akifundishwa.

Sasa

Unaposema huu ulimwengu umesababishwa na Mungu, references yako inakuwa nini?

Tunaweza tukathibotisha hicho chanzo bila kutumia kitu kingine kinachopimika kuwa ndio ithibitisho wa Mungu asiyepimika?

Lakini pia

Unaposema huu ulimwengu ni bora au umekamilika unakuwa umeupima na kuufananisha na ulimwengu gani mwingine mpaka ukafikia hitimisho kuwa ulimwengu huu mzuri?

Aliyesema laptop Hp omen ya gaming ni bora aliangalia toleo la chini yake au alifananiaha na brand nyingine kwenye maswala ya kiuwezo akaona Hp Omen ni laptop bora

Sasa ulimwengu huu mnaosema ni mzuri au ni bora, ni bora ukiufananisha na ulimwengu upi?
Kwa hiyo scars, unafikiri ni nini chanzo cha dunia? Je, ilijiweka yenyewe?! Labda nikuulize kitu kimoja; katika tafiti nyingi zinazofanyika, kwa jambo lolote lile, je, wanasema matokeo (findings) waliyopata ndio majibu ya mwisho katika utafiti huo? Mbona wanapoishia wanaruhusu watu wengine waendeleze; kwa maana walipofika wao sio mwisho wa utafiti? Sasa hilo 'gap' ambalo wameshindwa kulifidia ndio nguvu ya Mungu mwenyewe! Hawawezi kumfikia Mungu, na huo ndio mpaka kati yetu na Mungu. Jamani, ifike mahali tukubali kuwa kuna natural power, ambaye ndio Mungu mwenyewe!
 
Chanzo cha dunia bado hakijafahamika na watu wanakesha kutafuta majibu

Katika tafiti za sayansi huwa wakipata jibu bado haiwi ukomo kwa wao kuendelea kudadisi zaidi.

Sayansi haijakamilika, wanajua ipo nafasi ya wao kukosea katika tafiti zao.

Na ndio maana ni kawaida kwa sayansi kuji disprove

Na ndio maana imeruhusu kukosolewa

Hii nishawahi waambia wale ambao wanasema vitabu vyao vya dini vimeandika habari za kisayansi. Kuwa hizo habari ikitokea siku sayansi ikaja kusema kuwa haikua sahihi je watakubali kuwa vitabu vyao vilipotosha?
 
Hili ni swali la kipumbavu sana

kwahiyo hatuwezi jua kama ulimwengu huu mzuri kama hatuwezi linganisha?

Hatuwezi kutazama mfumo wa maisha ulivyo, namna ulivyoundwa, system nzima ya maisha na ku appreciate kuwa tuna kitu kizuri mpaka tupate cha kufananisha nacho?

Aseee sijui umesoma wapi ila swali ni la kipumbavu kweli kweli
Huu ulimwengu una uzuri gani sasa? Hauko perfect hata kwanzia kwenye maisha ya hapa duniani nk... kama kila kitu kiliumbwa, sayari nyingine ziliumbwa kwa sababu ipi haswa? Mass extinctions zinavotokea kila baada ya muda fulani, hio ni perfection?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijajibu kirahisi kama ulivyoelezea wewe

Nimekupa sababu za kwanini wazo la kufikiria mjenzi litakuwa ni reasonable kwa kuonesha

Kabla hujaiona hiyo nyumba, tayari kichwani mwako kuna record zinazoonesha una utanbuzi wa nyumba kutokana na mazingira uliyotoka kuwepo kwa nyumba

Lakini pia

Yapo makampuni ya ujenzi yanayoshughulika na maswala ya ujenzi wa nyumba, vipo viwanda ambavyo vinazalisha bidhaa za ujenzi.

Kwa hiyo hayo yote yalikuwepo kwenye ufahamu wako kabla hata hujaiona hiyo nyumba

Hivyo wazo la kuwaza kuwa hii nyumba itakuwa ina mjenzi, ni wazo la fact based on record

Ila mtu akikuambia hiyo nyumba uliyoiona imejengwa na mtu mwenye miguu 6 na urefu wa futi 30 ambaye haoonekani, utakubali?

Utakubali mtu huyo mwenye sifa hizo ndio mjenzi wa hiyo nyumba kwasababu nyumba haowezi kujijenga yenyewe?
So hoja yako ni kutoonekana kwa huyo Mungu tunayeamini yupo siyo,ok..site tunaamini umeme upo,kadhalika upepo,lakini ulishawahi uona umeme au upepo!?..laa hasha,Bali tunaona athari zake,umeme kupitia taa zinazowaka au vifaa vingine vya umeme na upepo kwa namna upeperushavyo vitu na tunavyou-feel,Sasa dunia Inajizungusha kwenye muhimuli wake na kuzunguka jua ili tupate majira ya mwaka ambayo yanasapoti maisha yetu,dunia Ina zone yenye hewa ambayo tunatumia pua kupumua ili tuendelee kuwa hai,pua ilijuaje kwamba duniani Kuna hewa tutahitaji Vuta Hadi ikawa pale,macho yalijuaje Kuna mwanga utakaoyawezesha kuona yakawa hapa!?..hii ni dalili kwamba Kuna mtu alipanga haya na akaya-engineer
 
Salaamu wakuu.

Niende Moja kwa moja kwenye mada.

Utakuta mtu anasifia gari ; "Hii gari kiboko kweli mainjinia wake walikuna vichwa balaa katika usanifu na gari hii haina mpinzani kwani katika kila nyanja ipo okay", ilmuradi tu gari litasifiwa hata kama linazo kasoro na mapungufu fulani.

Hao hao ma atheists utawasikia tena wakisifia; "Hii computer achana nayo, inakasi kubwa balaa utadhani haikundwa na.binadamu bali imedondoka kutoka mbinguni".

Ma atheists hawaishi hapo tu, hebu wakaribishe kwenye pilau utawasikia; "Aise huu msosi kiboko, mtamu kweli, sijui kapika nani !!? Mpishi katoka wapi??!, pasi shaka umepikwa na mtu kutoka pwani kwani watu wa bara hawawezi mapishi ya aina hii !! ".

Huyo atheist anatoa madai kana kwamba huyo mpishi anamjua na kamuona!!, sasa kwa utani tu jaribu kumwaambia kwamba msosi huo umejipika wenyewe!!, utashambuliwa kwa kejeli na matusi na kupewa majina mabaya ya kukutoa akili, utawasikia wakisema; wewe unamatatizo kichwani mwako inawezekanaje chakula kijipike chenyewe??!!.

Sasa njoo kwenye uumbaji wa dunia na uwaulize; je hawaoni uzuri wa dunia na vilivyopo juu yake, navyo havijaumbwa??, hakuna nafsi iliyoumba dunia.na ulimwengu??, endelea kuwahoji; kama wapo Ma engineers waliounda lile gari, ile computer na yupo mpishi aliyepika lile pilau safi vipi akosekane Yule aliyeumba dunia safi na vilivyomo??--- hapo akili zao zinashikwa na wazimu kwani wanajua ni lazima Mungu atajwe katika uumbaji wa dunia na vilivyomo na wao kusikia jina Mungu kwao ni ugonjwa wa mzio (allergy), sasa watakuuliza; Huyo Mungu yuko wapi??!, ukiwajibu; Mungu huwa haonekani, waona wamepata silaha, watahoji; tutaaminije kitu kisichoonekana ndio kimeumba hii dunia??-- wanasahau kwamba hata ile pilau waliokula hawakumuona mpishi wake lakini wanaamini ilipikwa na mtu-mpishi lakini wakiambiwa Kuna muumba Mungu wa dunia na ulimwengu hawataki kusikia.

Ewe Mungu wasamehe hawa viumbe wako na uwaongoze katika njia zako na uwaondoshee kibri na majivuno.
Bask tufanye kwamba mungu yupo(ili ufurahi) lakini je nani alimuumba yeye huyo mungu? Kama vile pilau haliwezi kujipika sasa tuambie mungu alijiumba vipi. Halafu hizi mada umerukia tu bado hujakua kiakili
 
So hoja yako ni kutoonekana kwa huyo Mungu tunayeamini yupo siyo,ok..site tunaamini umeme upo,kadhalika upepo,lakini ulishawahi uona umeme au upepo!?..laa hasha,Bali tunaona athari zake,umeme kupitia taa zinazowaka au vifaa vingine vya umeme na upepo kwa namna upeperushavyo vitu na tunavyou-feel,Sasa dunia Inajizungusha kwenye muhimuli wake na kuzunguka jua ili tupate majira ya mwaka ambayo yanasapoti maisha yetu,dunia Ina zone yenye hewa ambayo tunatumia pua kupumua ili tuendelee kuwa hai,pua ilijuaje kwamba duniani Kuna hewa tutahitaji Vuta Hadi ikawa pale,macho yalijuaje Kuna mwanga utakaoyawezesha kuona yakawa hapa!?..hii ni dalili kwamba Kuna mtu alipanga haya na akaya-engineer
Nani kasema hoja yangu ni kuonekana?

Kwenye hii mijadala wewe unaonekana bado ni immature

Angalia hao waamini Mungu wenzako ambao ni wazoefu na hii mijadala kama wanajishughulisha na hoja primitive kama zako
 
Back
Top Bottom