Atheists wana mtindio wa ubongo

Atheists wana mtindio wa ubongo

Nami nimekueleza kuwa kama wewe huelewi utendaji wake haina maana amekosea

Na ili awe sahihi (kwq mtazamo wako) halazimiki kuendana na maoni yako scars

Absolutely, na mpia ni mkali wa kuadhibu.

Yani kama huwezi kuona dunia hii ilivyo na ku appreciate sidhani kama kuna kitu uta appreciate

Mkuu umesomea nini kwenye elimu yako?
Theists: Ulimwengu ni mzuri na hii ni uthibitisho kuwa kuna Mungu aliyeuumba

Atheist: Ulimwengu sio mzuri,kuna njaa,vifo,matetemeko,Magonjwa,Nk.

Theists: Mungu ndo amepanga uwe hivyo, wewe ni nani wa kumpangia?

Atheist: kwahyo kumbe kwa reasoning yako, ulimwengu uwe vyovyote vile kwako ni uthibitisho wa Mungu? Basi usingesema uzuri wake ndio uthibitisho. Ungesema tu huna uthibitisho ungeeleweka.
 
Very poor analogy
 
Point sio uzuri au ubaya

Point ni uwepo wa hivi vyote in the first place

Uzuri au ubaya ni suala relative, u cant set standard on that

Tulia soma kwa taratibu
 
Point sio uzuri au ubaya

Point ni uwepo wa hivi vyote in the first place

Uzuri au ubaya ni suala relative, u cant set standard on that

Tulia soma kwa taratibu
Inaonekana hujasoma hata post ya mtoa mada…All he’s talking about ni uzuri wa huu ulimwengu. Kama engineer anavyosema hii computer ni nzuri ina specs nzuri
 
Naweza kuwa na elimu zaidi yako am sure as hell i can read too
Tumesema tupe basi hata ushahidi usio na shaka wa kwamba kiumbe cha kwanza kilianzia majini wewe unataka kujua elimu yangu ili ikusaidie nn

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
Nilitaka kujua elimu yako kwasababu unapinga hata uwepo wa fossil records?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asilimia ngapi ya nn? Kama ni ocean terrain basi ni 100%... viumbe wa majini huez kufanya conclusion maana huna uhakika wa idadi kamili ya species zilizopo. Karibu kila mwaka species mpya inagunduliwa...

Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu nipe evidence ya kwamba kwa sasa 100% ya ocean tunaifahamu. Na kama kila mwaka inagundulika new species then we are very far from knowing what lies below these massive waters plus the deepest trench mwanadamu ame survey ni only about 10 km na bado kuna deepest ecean floors ambazo hatuna vehicles zinazoweza kufika kutokana na kuwa na pressure kubwa. So acha kujidanganya you know less than you realize

Deepest point ishakua explored bana. Izo data zako zitakua ni za kitambo. Changamoto iliopo mpaka watu hawaend deep mara kwa mara ni hio kwamba kuna pressure kubwa, halafu kule chini ni giza sana. And we're not "far away from knowing what lies below these massive waters" lol. Vitu vyenye impact tyr tunavijua. Vitu kama terrain, oxygen levels, pressure, water temperature, volcanic activities etc...

Pia sayansi ni uwanja mpana sana. Kwahio huwez kusema kwakua visiwa fulan havijawa explored ndio kwamba na space haijawa explored, hapana. Astronomers wana explore space, zoologist wanaexplore diversity ya viumbe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Salaamu wakuu.

Niende Moja kwa moja kwenye mada.

Utakuta mtu anasifia gari ; "Hii gari kiboko kweli mainjinia wake walikuna vichwa balaa katika usanifu na gari hii haina mpinzani kwani katika kila nyanja ipo okay", ilmuradi tu gari litasifiwa hata kama linazo kasoro na mapungufu fulani.

Hao hao ma atheists utawasikia tena wakisifia; "Hii computer achana nayo, inakasi kubwa balaa utadhani haikundwa na.binadamu bali imedondoka kutoka mbinguni".

Ma atheists hawaishi hapo tu, hebu wakaribishe kwenye pilau utawasikia; "Aise huu msosi kiboko, mtamu kweli, sijui kapika nani !!? Mpishi katoka wapi??!, pasi shaka umepikwa na mtu kutoka pwani kwani watu wa bara hawawezi mapishi ya aina hii !! ".

Huyo atheist anatoa madai kana kwamba huyo mpishi anamjua na kamuona!!, sasa kwa utani tu jaribu kumwaambia kwamba msosi huo umejipika wenyewe!!, utashambuliwa kwa kejeli na matusi na kupewa majina mabaya ya kukutoa akili, utawasikia wakisema; wewe unamatatizo kichwani mwako inawezekanaje chakula kijipike chenyewe??!!.

Sasa njoo kwenye uumbaji wa dunia na uwaulize; je hawaoni uzuri wa dunia na vilivyopo juu yake, navyo havijaumbwa??, hakuna nafsi iliyoumba dunia.na ulimwengu??, endelea kuwahoji; kama wapo Ma engineers waliounda lile gari, ile computer na yupo mpishi aliyepika lile pilau safi vipi akosekane Yule aliyeumba dunia safi na vilivyomo??--- hapo akili zao zinashikwa na wazimu kwani wanajua ni lazima Mungu atajwe katika uumbaji wa dunia na vilivyomo na wao kusikia jina Mungu kwao ni ugonjwa wa mzio (allergy), sasa watakuuliza; Huyo Mungu yuko wapi??!, ukiwajibu; Mungu huwa haonekani, waona wamepata silaha, watahoji; tutaaminije kitu kisichoonekana ndio kimeumba hii dunia??-- wanasahau kwamba hata ile pilau waliokula hawakumuona mpishi wake lakini wanaamini ilipikwa na mtu-mpishi lakini wakiambiwa Kuna muumba Mungu wa dunia na ulimwengu hawataki kusikia.

Ewe Mungu wasamehe hawa viumbe wako na uwaongoze katika njia zako na uwaondoshee kibri na majivuno.
Bongo Hakuna atheists,ila kuna wabishi tu with programed mind,wana hoja nyepesi, Lakini ndiyo mabingwa wa kutembelea kwa masangoma!
Our GOD is immortal and invisible God!
 
Bongo Hakuna atheists,ila kuna wabishi tu with programed mind,wana hoja nyepesi, Lakini ndiyo mabingwa wa kutembelea kwa masangoma!
Our GOD is immortal and invisible God!
Kinachonishangaza hawa watu ukiwaambia injini ya gari imejitengeneza kwa bahati tu watakwambia injini too sophisticated to happen accidentally ila ishu ya hivi viumbe na hii very complicated and systematic universe wanadai imetokea accidentally bila ya kuwa na creater

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom