MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 4,041
- 10,699
Elezea tena roho ni nini?Swali langu la Roho, hukujibu.
Hapo nimethinitisha kijana, shida hamfikirii. Jibu hayo maswali uone kama sijathinitisha.
Siyo tu unakosea bali huwezi kukosoa nilicho kiandika hapo.
Kingine nilikupa muongozo huko juu, uwe unasoma.
Kijana ukisema hakuna Mungu, hayo ndiyo maneno matupu, ila niliyo kunukuu si maneno matupu, soma kilichoulizwa uelewe maswali yanataka nini na ujue kwanini yaliulizwa hayo maswali. Hivi ndivyo wanaume tunavyo hoji, siyo juu juu tu kama mnavyo fanya nini.
Kijana soma ulichokiandika kuhusu roho na nilicho kiandika Mimi kuhusu roho, uone umejibu swali la Roho ni nini ?
Maelezo kuhusu Roho nishayatoa, labda useme nitoe mara ngapi ?!
Hatuna "utaluka Luka" kwenye Kiswahili. Mwanzo nilihisi ni kosa la kiuandishi nikakupa ushuru, kumbe hujui kuandika "utaruka ruka" hii ndiyo sahihi.
Soma nilicho kiandika kuhusu roho, ili uepukane na hili.
Mungu ni kitu.
Mungu ni yule Mola aliye umba mbingu na ardhi, wa mwanzo ambaye hakuna cha mwanzo kabla yake na WA mwisho ambaye hakuna Cha mwisho baada yake.
35. Au wao wameumbwa pasipo kutokana na kitu chochote, au ni wao ndio waumbaji? (at-Tur : 35)
Jibu maswali niliyo kuuliza. Uthibitisho ni nini kwa mtazamo wako wewe. Maana naona nathibitisha lakini unakataa na hutoi hoja.
Kukosea kwa irabu, silabi na neno isiwe ni kigezo muhimu kwenye mjadala huu, maana itabidi tuanze kuangalia tamathali za semi, nukta na kila kitu kuwekwa kwenye kila sentensi inapostahili.
Ulimwengu haujaumbwa na hakuna uthibitisho unaoonyesha kwamba uliumbwa?
Kama upo ulete
Hii (at-Tur : 35) ni chanzo huru? au kutoka vitabu vile vile?
Hakuna uthibitisho uliotoa, kama kusema tu basi Mimi ndiye Mungu wako, je itakuwa kweli?