Atheists wana mtindio wa ubongo

Atheists wana mtindio wa ubongo

Swali langu la Roho, hukujibu.

Hapo nimethinitisha kijana, shida hamfikirii. Jibu hayo maswali uone kama sijathinitisha.

Siyo tu unakosea bali huwezi kukosoa nilicho kiandika hapo.

Kingine nilikupa muongozo huko juu, uwe unasoma.

Kijana ukisema hakuna Mungu, hayo ndiyo maneno matupu, ila niliyo kunukuu si maneno matupu, soma kilichoulizwa uelewe maswali yanataka nini na ujue kwanini yaliulizwa hayo maswali. Hivi ndivyo wanaume tunavyo hoji, siyo juu juu tu kama mnavyo fanya nini.

Kijana soma ulichokiandika kuhusu roho na nilicho kiandika Mimi kuhusu roho, uone umejibu swali la Roho ni nini ?

Maelezo kuhusu Roho nishayatoa, labda useme nitoe mara ngapi ?!

Hatuna "utaluka Luka" kwenye Kiswahili. Mwanzo nilihisi ni kosa la kiuandishi nikakupa ushuru, kumbe hujui kuandika "utaruka ruka" hii ndiyo sahihi.

Soma nilicho kiandika kuhusu roho, ili uepukane na hili.

Mungu ni kitu.

Mungu ni yule Mola aliye umba mbingu na ardhi, wa mwanzo ambaye hakuna cha mwanzo kabla yake na WA mwisho ambaye hakuna Cha mwisho baada yake.

35. Au wao wameumbwa pasipo kutokana na kitu chochote, au ni wao ndio waumbaji? (at-Tur : 35)

Jibu maswali niliyo kuuliza. Uthibitisho ni nini kwa mtazamo wako wewe. Maana naona nathibitisha lakini unakataa na hutoi hoja.
Elezea tena roho ni nini?

Kukosea kwa irabu, silabi na neno isiwe ni kigezo muhimu kwenye mjadala huu, maana itabidi tuanze kuangalia tamathali za semi, nukta na kila kitu kuwekwa kwenye kila sentensi inapostahili.

Ulimwengu haujaumbwa na hakuna uthibitisho unaoonyesha kwamba uliumbwa?

Kama upo ulete

Hii (at-Tur : 35) ni chanzo huru? au kutoka vitabu vile vile?

Hakuna uthibitisho uliotoa, kama kusema tu basi Mimi ndiye Mungu wako, je itakuwa kweli?
 
Je? falsafa imeanza na Wanafalsafa wa Magharibi?
Vipi kutoka Mashariki?
Sasa unatakiwa wewe uonyeshe ya kuwa si wa magharibi, Mimi nimekuonyesha Falsafa imeanzia huko Ugiriki. Sasa wewe nionyeshe Mashariki ilikuwepo ?!
Jibu: alikuwa anaenda pangoni kufanya nini?
Kumbuka kipindi hicho Uislamu bado?

Alikuwa anaabudu nini?

Nitajie Mungu wa kale wa Makuraish?

Je? Al Kaaba lilikuwepo kabla ya mtume au la?
Haya unatakiwa uniambie wewe, kule alikuwa anaijiwa na Malaika ambaye malaika huyo alikuwa ana shuka hata kwa mitume wengine ndiyo ikawa rahisi wasomi wa wakati ule kumuamini Mtume mfano wao ni Waraqah bin Nawfal Ibn Abdul Uzza.

Kule alikuwa anapewa Wahayi, Sasa wewe tuambie alikuwa anaenda kufanya nini.

Unauliza maswali ya Kototo kuonyesha wewe si mtu wa kusoma wala kufanya utafiti. Maquraishi walikuwa wana miungu 360, na walikuwa wanakiri ya kuwa Allah ndiyo muumba na muendeshaji mambo. Hawa ndiyo Maquraishi. Sijadhibiti majina Yao miungu wa Maquraishi sababu walikuwa 360 na kila Mungu wao alikuwa na kazi yake.

Al Kaab ni nini kijana. Ile ipo tangu zama za nabii Ibrahim, ndiyo aliijenga yeye. Sasa utaniambia kina Homeri na kina Thales walikuwa kabla ya Ibrahiim.

Alikuwa ana muabudu Allah.
 
Wewe naona hufai kujadiliana na Mimi kuhusu hili, ngoja nikufundishe Sasa, kwa mtindo wa maswali. Lini watu walianza kuniuliza wametoka wapi ? Tumeumbwa au la ? Hapa uweke na ushahidi.

Lisa nitakuonyesha ya kuwa hicho ulichokiandika kinapingana na uhalisia. Yaani Mola atuumbe halafu atuache hivi hivi, maumbile Yana kataa.

Vijana mkachwa mjielezee kama hivi ndiyo mnadhihirisha namna gani mlivyo weupe.

Hamsomo kwenye vitabu vyenu ? Unaweza kunithibitishia ya kuwa kabla ya Wanafalsafa wa kale wa Magharibi kulikuwa na habari za kujiuliza tumetoka wapi au kuumbwaje ? Ushawahi kujiuliza kwanini haya yalianzia huko kwao ?

Kingine nakushauri huu ni mjadala wa kielimu, usiandike kama tupo kijiweni, bila kuegemeza jambo kwa watu wake.
Kuna mtoto anayezaliwa na kujua Kuna Mungu?

Je dini zote zinaamini kwenye Mungu mmoja?

Kwa nini zipishane?

Nadhani naona una level ndogo ya uelewa kujadliliana nami.
Unasema hamsomi vitabu, Vitabu gani hivyo visivyo somwa?

Halafu hujathibitisha kuwa Mungu yupo?
 
Kukosea kwa irabu, silabi na neno isiwe ni kigezo muhimu kwenye mjadala huu, maana itabidi tuanze kuangalia tamathali za semi, nukta na kila kitu kuwekwa kwenye kila sentensi inapostahili.
Kwenye mjadala wa kielimu ni jambo kuhimu sana, ndiyo maana tunapeana ushuru Sasa ikionekana unarudia kosa lile lile maana yake hujui Hilo neno hakika yake.

Ulimwengu haujaumbwa na hakuna uthibitisho unaoonyesha kwamba uliumbwa?
Safi kabisa thibitisha ya kuwa haujaumbwa na utuambie imekuwaje ukawa hivi ulivyo. Maana pale Kuna maswali mawili, moja bado hujajibu. Tumalize hapa kwanza.

Kama upo ulete

Hii (at-Tur : 35) ni chanzo huru? au kutoka vitabu vile vile?
Nikuletee mara ngapi, na nina ithibati nyingi sana, za kiakili na kimazingira, nimeanza na huu ufunuo kwanza usio kuwa na shaka.

Hiyo ni aya toka kwenye Qur'aan. Naam tena kimezidi huo Uhuru.
 
Kijana hauko serious soma nilichokiandika kuhusu Roho, au tafuta kitabu kiitwacho "The Ruhu" Cha Ibn Al-Qayyim.
Naomba uielezee roho ni nini?
Huyo Al Qayyim ndio nani?
Kwa nini uamini kwenye maandiko yake wakati kamusi ya kiswahili kuhusu Roho uliikataa?

Je? Bado unabisha dini sio tawi la falsafa?
 
Kuna mtoto anayezaliwa na kujua Kuna Mungu?

Je dini zote zinaamini kwenye Mungu mmoja?

Kwa nini zipishane?

Nadhani naona una level ndogo ya uelewa kujadliliana nami.
Unasema hamsimi vitabu, Vitabu gani hivyo visivyo somwa?

Halafu hujathibitisha kuwa Mungu yupo?
Kijana jibu maswali ninayo kuuliza. Huu utaratibu siyo mzuri. Hapa kunakuwa hakuna maana ya mjadala.
 
Logic haijawahi kuwa na outcome ya uongo

Huo mfano wako uliowekea hapo kwenye logic haupo, upo kwenye illogic

Kuna logic na kuna illogic, hivi viwili unatakiwa ujue kuvitofautisha.

Kwa hiyo bila logic hakuna ukweli, kila kilicho kwenye ukweli lazima kifungamane na logic plus consistency

********************†******************

Historical facts zipi zinazoelezea habari za Mungu?

Unaweza kuziweka hapa tuzijadili?
Haya mambo umesomea au unaongea tu..? Kasome inductictive reasoning (syllogism).
 
Naomba uielezee roho ni nini?
Huyo Al Qayyim ndio nani?
Kwa uamini kwenye maandiko yake wakati kamusi ya kiswahili kuhusu Roho uliikataa?

Je? Bado unabisha dini sio tawi la falsafa?
Roho unataka nikueleze mara ngapi ?

Huyo ana Elimu kuliko waliandika kwa Kiswahili, sababu anajua asili ya Tamko Roho ni la lugha ya Kiarabu.

Nimeshakuonyesha ya kuwa dini ipo hata hiyo Falsafa haijulikani.
 
Elezea tena roho ni nini?

Kukosea kwa irabu, silabi na neno isiwe ni kigezo muhimu kwenye mjadala huu, maana itabidi tuanze kuangalia tamathali za semi, nukta na kila kitu kuwekwa kwenye kila sentensi inapostahili.

Ulimwengu haujaumbwa na hakuna uthibitisho unaoonyesha kwamba uliumbwa?

Kama upo ulete

Hii (at-Tur : 35) ni chanzo huru? au kutoka vitabu vile vile?

Hakuna uthibitisho uliotoa, kama kusema tu basi Mimi ndiye Mungu wako, je itakuwa kweli?
Nilishakwambia Quraan ni kitabu kilichoandikwa kwenye zama za ujinga.

Nielezee kivipi jua linazama kwenye tope?
Halafu ulitarajia ukweli toka kwenye hicho kitabu?

Nithibitishe haujaumbwa ila mpaka Sasa hivi ulimwenguni new Galaxy zinatokea, Nyota zinakufa na Nyingine zinazaliwa hivyo ushahidi upo wazi?

Halafu hukujibu maswali yangu kuhusu falsafa?

Jibu: alikuwa anaenda pangoni kufanya nini?
Kumbuka kipindi hicho Uislamu bado?

Alikuwa anaabudu nini?

Nitajie Mungu wa kale wa Makuraish?

Je? Al Kaaba lilikuwepo kabla ya mtume au la?

Kwa nini toka kale Waarabu walikuwa wanaenda kuhiji Maka.
 
Haya mambo umesomea au unaongea tu..? Kasome inductictive reasoning (syllogism).
Nimekuambia hicho ulichokiandika ni illogic wala hakipo katika misingi ya logic

Tofautisha kati ya logic na illogic

Hiyo inductive reasoning unayoizungumzia wewe ipo kwenye list of logical fallacies, inaitwa "hasty generalization" au jump to conclusion

Hakuna logic hapo
 
Roho unataka nikueleze mara ngapi ?

Huyo ana Elimu kuliko waliandika kwa Kiswahili, sababu anajua asili ya Tamko Roho ni la lugha ya Kiarabu.

Nimeshakuonyesha ya kuwa dini ipo hata hiyo Falsafa haijulikani.
Unafahamu lugha ya kiarabu imekopa na kutohoa maneno mengi toka kwa lugha ya Kiamaric.

Kwa hiyo unataka kusema mtu mbobevu kwenye lugha ya Kiamaric atakuwa na elimu zaidi kushinda mtu mbobevu kwenye lugha ya kiarabu.

Amka wewe na ujue kiarabu ni lugha sawa na kisomali au kiswahili hivyo lugha Haina mahusiano na elimu itolewayo.

Andika Ilimu ili tujue Moja
Mtumwa wa lugha.
Kwa hiyo unaamini ukifa utahojiwa kwa kutumia lugha ya kiarabu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hilo silijui, labda unipe kwa ufupi Sarufi ya lugha ya Kiamaric, na utupe mfano wa neno lililo kopwa huko na kutumika kwenye Kiarabu.

Sijaona msingi wa swali lako. Kingine Kiswahili si Kiarabu ila nilichokwambia Mimi au kuonyesha ya kuwa kila neno lina asili yake, na ukitaka usikosee katika maana lazima ujue wenye neno lao walimaanisha nini, na maana husika Ina maanisha nini. Ila wawili hao wakisoma hizo lugha watakuwa wabobevu, sababu hata wasomi wakubwa na maguru wa lugha ya Kiarabu kiasili hawakuwa Waarabu. Huu ndiyo uzuri wa Elimu, ukiitaka na ukiitafuta utaijua tu, Leo wasio kuwa Waarabu wanawafundisha Kiarabu waarabu, tena huko huko kwao. Elimu haina mwenye bali Elimu Ina watu wake.

Kingine nashangaa hili unalileta hapa kwa minajili, nimekupa uhalisia ya kuwa tamko Roho kiasili ni la lugha ya Kiarabu, ulitakiwa uchukue hii faida. Maana yake hata nisingeandika kwamba lina asili ya Kiarabu kisimge badilisha chochote. Jifunze kukubali kwamba kwenye hili wewe ni mjinga, na siyo kila kitu unataka uminyane, utavunjika mgongo kijana.

Hii aya ya mwisho ni malalamiko. Kama huna hoja, acha nishike njia.
 
Jibu: Hapa bado hutakuwa umeiva ila sio mwanzo mbaya maana hiyo imebase kwenye argument badala ya uwanda mpana wa fikra.
Kuna udhaifu nimeona ukinukuu jambo au kitu hakikisha unakirudisha kwenye asili, hasa katika mijadala ya kielimu jitahidi uwe unaweka jina la Kitabu au uliye mnukuu, siyo una screenshot picha kama hivyo na kuweka maoni ya mtu, hivi wasomi au wajuzi wa mijadala hawafanyi, kwa ufupi unajishusha chini sana.

Kingine nilichokiweka hapo ni kitabu tu kidogo kinachoongelea kipengele Cha Epistemology.

Ila Kuna vitabu vingi vikubwa juu ya haya mambo, mfano wake ni Nasihat ahlul Imaan Fi radi Al Mantiq Al Yunani, Naqdh Al Mantiq na vingine vingi.
 
Unafahamu lugha ya kiarabu imekopa na kutohoa maneno mengi toka kwa lugha ya Kiamaric.
Halafu haya maneno utakuta anaye andika hivi, hata kusoma ibara ya Kiarabu hujui.

Sijakataa kama imekopa au la, nachokuomba Mimi unipe mfano wa maneno matatu tu yaliyo kopwa Toka kwenye Kiarmaric kuja kwenye Kiarabu, na utupe kanuni za kujua maneno hayo. Kama ilivyo kwenye Kiswahili maneno ya kukopwa yana kanuni zake anuai ili kuweza kuyajua.
 
Kuna swali hapo juu umeulizwa 'unaamini ukifa utahojiwa kwa lugha ya kiarabu? Hebu lijibu mkuu kuna kitu nataka kujua hapo.
 
Hilo sina elimu nalo. Nacho jua ukifa kuna maswali matatu kila mtu ataulizwa, ila lugha itakayo tumika haijatajwa.

Lakini kwa Allah hili ni jambo dogo sana huenda kila mtu akaulizwa kwa lugha yake sababu Allah ndiyo ameziumba hizi lugha.
 
Dadekiii... nyie watu wa dini mnapenda kutufunga kamba bwanaaa... kwamba allah kaumba lugha zote hizi? Ziliumbwa kwa siku moja zote? Kiswahili kimekuepo tokea lini, unajua?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom