Atheists wana mtindio wa ubongo

Atheists wana mtindio wa ubongo

Maswali matatu kila mtu ataulizwa, wapi huko?
Kama lugha itayotumika haijatajwa basi ni kwa vipi uamini kwamba maswali yatakuwa ni hayo hayo matatu tu ambayo wewe najua utasema yamefundishwa/yametoka kwenye uislam?
Kama kila mtu ataulizwa kwa lugha yake maana yake hata mafunzo yatakuwa yapo tofaut kumuhusu huyo mungu mana si tupo toka mataifa mbali mbali mpaka yale ambayo uislam haukuweza kutoboa kule!?

Naomba majibu.
Kaburini kila ataulizwa hayo maswali matatu.

Kutokutajwa lugha hakuna mahusiano na maswali hayo na wala hakuzuii kuulizwa maswali hayo. Kingine siyo kila kitu kimetajwa katika dini, sababu dini muongozo. Naam yametoka kwenye Uislamu, Hoja yako Iko wapi hapo ?

Unauliza swali la kitoto sana, lugha ni kwa watu kuwasiliana na kitambuana, haifanyi mafundisho yawe tofauti, huku Mola akiwa mmoja. Hakuna aliyezaliwa ana jua, ndiyo maana wewe Leo hii ukijifunza China na ukaamua lazima utakijua tu. Ndivyo ilivyo. Allah akituma mitume anawatumia ujumbe kwa lugha Yao, hata mfano Mtume angetumwa kwetu sisi Waswahili basi ujumbe ungekuja kwa Kiswahili na hao ambao siyo Waswahili wangejifunza lugha hiyo. Huu ndiyo mwenendo wa Allah. Kwahiyo lugha siyo kikwazo maana Kuna kujifunza na kujua kitu husika.
 
Jamaa muongo kishenzi yani[emoji1787]
Mnajua vijana mna ujinga sana, huenda hamjishughulishi na mambo ya kielimu. Unaposema mtu muongo, mkosoe na uweke ukweli Sasa mnapoishia kudai uongo uongo, mkiambiwa wagonjwa wa akili mnakataa. Nyinyi ndiyo wale huwa mnasema "Mimi sijui lakini hunidanganyi kitu"
 
Jamaa unaforce ukubalike ukipewa challenge unatukana
Sifanyi haya kwa ajili ya mtu kijana, ndiyo maana kwangu Mimi kwenye mjadala kufikia lengo au muafaka siyo lengo kwangu, nikikuona huelewi nakuacha. Nafikisha ukweli.

Kijana nayajua matusi vizuri, ila huwa situkani mtu. Nakupa kazi uonyeshe wapi nimemtukana mtu humu ndani au wapi nimetukana.

Sasa mnapokosa hoja bora mtulie, kuliko kuwazushia watu uongo.
 
Spider-Man hayupo. Ni character tu alitungwa na binadamu. Mungu nae ivoivo...

Sent using Jamii Forums mobile app
Thibitisha Sasa alitungwa na mwanadamu yupi na lini ? Hili swali huwa mnalikimbia wote, Kuna mwenzako huwa anasema ni Hadithi, ukimuuliza Hadithi ni nini na athibitishe anakimbia.

Msiwe mnayaingia mambo pasi na Elimu matokeo yake ni haya mnaonekana wendawazimu na hamna akili.

Mnapotezea watu muda, hoja hamna mnacheza cheza na maneno.

Nikikuuliza swali, uthibitisho kwako ni nini na jambo ili liwe uthibitisho kinatakiwa likidhi vigezo gani ?
 
Hakuna mtu analikimbia hilo swali. Duniani kuna maelfu ya dini, ivo maelfu ya miungu. Ukienda sehem kama China na japan, kulingana na historia yao ni ngumu kuwashawishi kuhusu dini za kiabraham (ukristo, uislam na uyahudi). Dini ziko kibao, asilimia kubwa ya hizi dini hatujui nani alizianzisha kutokana na kwamba historia kubwa ya binadamu haijatunzwa.
Screenshot_20230301-095452_Quora.jpg

Ni kama mtu akuulize ni nani alianzisha lugha ya kiingereza? Si rahisi kumjua ila utajua ni wapi lugha ili anzia..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thibitisha Sasa alitungwa na mwanadamu yupi na lini ? Hili swali huwa mnalikimbia wote, Kuna mwenzako huwa anasema ni Hadithi, ukimuuliza Hadithi ni nini na athibitishe anakimbia.

Msiwe mnayaingia mambo pasi na Elimu matokeo yake ni haya mnaonekana wendawazimu na hamna akili.

Mnapotezea watu muda, hoja hamna mnacheza cheza na maneno.

Nikikuuliza swali, uthibitisho kwako ni nini na jambo ili liwe uthibitisho kinatakiwa likidhi vigezo gani ?
Inategemea uthibitisho, unataka kuthibitisha nini! Kama ni uwepo wa kitu inabidi tukione kama kipo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo hujajibu swali

Nataka nijue kwanini Mungu aliruhusu watoto wasio ma hatia wawe sehemu ya kuadhibiwa kwenye jambo ambalo hawahusiki nalo?
Mungu hajatoa hiyo idhini na hakuna hukumu aliyotoa.
 
Back
Top Bottom