Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Kuhusu kumtetea MunguKuhusu nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuhusu kumtetea MunguKuhusu nini?
Hakuna uhusiano wa ulimwengu na mabaya, bali kuna uhusiano mkubwa wa mabaya na akili. Mabaya yanapangwa na akili, hayapangwi na ulimwengu.Unaelewa kwamba ulimwengu ungekuwa hauruhusu mabaya, isingewezekana kwa namna yeyote ile akili ya mtu kufanya mabaya?
Statement yako hii inamtetea mungu bro...Mwanadamu hana uwezo wa kumtetea Mungu. Hao nao hawajitambui kama ilivyo kwa wasiomwamini Mungu.
Nimesema Mungu hatetewi.Kuhusu kumtetea Mungu
Mungu au mungu? Hata hivyo Mungu hahitaji utetezi wangu. Hilo naliweka wazi.
Kama ahitaji kwann umtetee sasa? Hakuna sehemu mungu kajitetea mwenyewMungu au mungu? Hata hivyo Mungu hahitaji utetezi wangu. Hilo naliweka wazi.
Wapi nimemtetea?
Unajua Mungu angeumba ulimwengu ambao hauruhusu mabaya, kusingekuwa na possibility ya akili kuweza kufanya mabaya kwasababu automatically ulimwengu hauruhusu?Hakuna uhusiano wa ulimwengu na mabaya, bali kuna uhusiano mkubwa wa mabaya na akili. Mabaya yanapangwa na akili, hayapangwi na ulimwengu.
Kwanini asisiseme yeye?Nimesema Mungu hatetewi.
Mungu ajitetee kwa lipi, na kwa nani?Kama ahitaji kwann umtetee sasa? Hakuna sehemu mungu kajitetea mwenyew
Sent using Jamii Forums mobile app
Ajitetee nini na aseme nini?Kwanini asisiseme yeye?
Utakuta watu wanahubiri, wanamtangaza mungu wao... kwann hio yote asifanye mwenyewe?Mungu ajitetee kwa lipi, na kwa nani?
Haya unayoyasema tulitaka tuywsikie kutoka kwakeAjitetee nini na aseme nini?
Naona huna hoja.Duh...
Unabishia ukweli yani. Ukisoma mada ya huu uzi afu ukiangalia na participants, ni kinyume chake
Sent using Jamii Forums mobile app
Maana yake kutokujulikana haimaanishi hawana waasisi. Wewe sema huwajui.Baadhi ya dini ndio waasisi wake wanajulikana. Ila nyingi hawajulikani,
Sent using Jamii Forums mobile app
Wa kutoruhusu mabaya ni binadamu mwenyewe akutumia akili zake kwa usahihi kama alizopewa na Mungu.Unajua Mungu angeumba ulimwengu ambao hauruhusu mabaya, kusingekuwa na possibility ya akili kuweza kufanya mabaya kwasababu automatically ulimwengu hauruhusu?
Ajitetee kwa tuhuma ipi?Haya unayoyasema tulitaka tuywsikie kutoka kwake
Nilikuuliza: Mungu ajitetee kwa lipi, na kwa nani?Utakuta watu wanahubiri, wanamtangaza mungu wao... kwann hio yote asifanye mwenyewe?
Sent using Jamii Forums mobile app