Atheists wana mtindio wa ubongo

Atheists wana mtindio wa ubongo

Mtu kutumia akili vibaya inatokana na mapungufu yake aliyoumbiwa, hawezi kufanya kila kitu katika accurancy ya 100%

Hujajibu swali hili

In the first place Mungu anaumba ulimwengu hakujua kuwa ulimwengu huu mazingira yake yanaweza kumsababishia kiumbe wake akafanya maovu kupitia akili yake hivyo aumbe ulimwengu ambao hicho kitu hakitawezekana?
Nanukuu

"Mtu kutumia akili vibaya inatokana na mapungufu yake aliyoumbiwa, hawezi kufanya kila kitu katoka accurancy ya 100%"

Kwa lugha nyepesi kabisa bwana scars hata wewe physicological unatambua uwepo wa mwenye enzi Mungu

Kauli ya "Aliyoumbiwa" tayari ishakufunga
 
Nafkir hapo kaongea kwa POV ya theist...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nanukuu

"Mtu kutumia akili vibaya inatokana na mapungufu yake aliyoumbiwa, hawezi kufanya kila kitu katoka accurancy ya 100%"

Kwa lugha nyepesi kabisa bwana scars hata wewe physicological unatambua uwepo wa mwenye enzi Mungu

Kauli ya "Aliyoumbiwa" tayari ishakufunga

Naweza nika hoji habari za panya kumfunga paka kengele na nikamkosoa msimuliaji anayepindisha stori tofauti na ilivyoandikwa

Kukosoa kwangu huko hakuna maana nakubaliana na uhalisia wa hiyo stori.

Hata wewe unaweza ukawa ni muislamu na unaamini Allah lakini haimaanishi kutaja mwezi March ni kukubali kuwa unaamini Mungu huyo wa kirumi
 
Mtu kutumia akili vibaya inatokana na mapungufu yake aliyoumbiwa, hawezi kufanya kila kitu katika accurancy ya 100%

Hujajibu swali hili

In the first place Mungu anaumba ulimwengu hakujua kuwa ulimwengu huu mazingira yake yanaweza kumsababishia kiumbe wake akafanya maovu kupitia akili yake hivyo aumbe ulimwengu ambao hicho kitu hakitawezekana?
Kutumia akili vibaya sio mapungufu ya akili. Ni kukengeuka matumizi yake. Mungu hakuumba kilichokinyonge.Mungu hajawahi kuruhusu mabaya yatendeke .

Sio matakwa ya Mungu kuzuia akili zetu zisifanye maovu. Angeweza pia kama yangekuwa matakwa yake.
 
Huko huko kungengeuka ndio core ya hoja yangu ilipo

Kwanini Mungu aumbe ulimwengu wenye watu ambao unaruhusu akili zao kungengeuka na kuwafanya watende mambo maovu?
 
Kukenguka na kutokengeuka vyote viko chini ya uwezo wako. Matakwa ya Mungu sio kuzuia mikengeuko yako kwa kuwa amekupa uwezo wa kutokengeuka.
 
Ambapo uwezo huo haupo 100% wa kufanya yaliyo sahihi na hapo ndio tunapoona udhaifu wa binadamu

Udhaifu ambao unaonesha haupaswi kumpa lawama mtu kwa jinsi alivyoumbiwa aje kuwa.

Kwanini Mungu hakuumba ulimwengu ambao hauwezi kuruhusu mabaya kufanyika kwa namna yeyote ile ikiwemo kukengeuka kwa watu?

Zingatia hiyo bolded italic
 
Hizo ni hadithi kama za Alfu lela ulela.

Unazikumbuka safari saba za Sindbad na mitihani aliyopewa?
Huwa mkofika hapa kuendelea kujadiliana inakuwa ni kuooteza. Sababu unaonyesha huwajui mitume na nikikuuliza maswali kuhusu haya uliyo yaandika hutaweza, sababu hata hao wakubwa zako hushindwa kujibu maswali yafuatayo baada ya hapo.

Kama unashindwa kutofautisha kati ya habari za mitume na Hadithi za kutunga wewe bado sana katika suala la maarifa na utafiti.

Ngoja nikuache na swali dogo, Hadithi mfano wa Alfu Laylah wa Laylah Zina sofa gani. Yaani ili Hadithi iitwe Hadithi inatakiwa kuwa na sofa gani kwazo zitaitofautisha na kinyume chale ?

Hapa nataka nikupe fundisho kwalo hutarudia tena kuandika huu ujinga.
 
Two people to populate the entire world through incest. Then a family to repopulate again the world after a global flood.
Hivi unajua out come ya inbreeding?
Screenshot_20230303-200923_Google.jpg

...sishangai mtu akiona historia zilizo ktk vitab vya dini ni za kutunga..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ambapo uwezo huo haupo 100% wa kufanya yaliyo sahihi na hapo ndio tunapoona udhaifu wa binadamu

Udhaifu ambao unaonesha haupaswi kumpa lawama mtu kwa jinsi alivyoumbiwa aje kuwa.

Kwanini Mungu hakuumba ulimwengu ambao hauwezi kuruhusu mabaya kufanyika kwa namna yeyote ile ikiwemo kukengeuka kwa watu?

Zingatia hiyo bolded italic
Kwa nini unasema ulimwengu unaruhusu kufanyika mabaya?
 
Toa mfano kama ni kweli ulimwengu unatoa kibali cha kufanyika mabaya.
Ulimwengu huu unaruhusu watoto kubakwa au jambo hilo haliwezekani kufanyika kwenye ulimwengu huu?
 
Unao uthibitisho kwamba ulimwengu umetoa kibali cha kufanyika ubakaji?
 
Back
Top Bottom