Vien
JF-Expert Member
- Mar 6, 2020
- 6,585
- 10,363
NanukuuMtu kutumia akili vibaya inatokana na mapungufu yake aliyoumbiwa, hawezi kufanya kila kitu katika accurancy ya 100%
Hujajibu swali hili
In the first place Mungu anaumba ulimwengu hakujua kuwa ulimwengu huu mazingira yake yanaweza kumsababishia kiumbe wake akafanya maovu kupitia akili yake hivyo aumbe ulimwengu ambao hicho kitu hakitawezekana?
"Mtu kutumia akili vibaya inatokana na mapungufu yake aliyoumbiwa, hawezi kufanya kila kitu katoka accurancy ya 100%"
Kwa lugha nyepesi kabisa bwana scars hata wewe physicological unatambua uwepo wa mwenye enzi Mungu
Kauli ya "Aliyoumbiwa" tayari ishakufunga