Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Ishu sio kutumia akili kwa usahihiWa kutoruhusu mabaya ni binadamu mwenyewe akutumia akili zake kwa usahihi kama alizopewa na Mungu.
Ulimwengu ni mahali pa kuishi kwa maarifa tukitumia akili zetu kwa usahihi.
Tukitumia akili zetu kwa usahihi, automatically mabaya yote hayatakuwapo.
In the first place Mungu anaumba ulimwengu hakujua kuwa ulimwengu huu mazingira yake ynaweza kumsabishia kiumbe wake akafanya maovu kupitia akili yake hivyo aumbe ulimwengu ambao hicho kitu hakitawezekana?