Athlete Crown sio gari la kubishana nalo ukiwa barabarani acha liende

acha utani ww crown level za mark x sio VW..
CROWN hata kiteza cha 4cylinder kinamtoroka vizuri tu kina rpm kubwa speed 180 ila ukikamua kina pitiliza kurudi kwenye 0..
Sijawahi kuendesha VW ila kama nitafanya ligi na VW sidhani kama ataniacha umbali mrefu sanasana itakuwa umbali wa km 1 tu
 
Carina Ti ijitutumue kwa crown jaman si dharau hizi.......carina labda uyavimbie malori mzee, crown next level kibongo bongo.

 
Mambo ya 4GR hayo
 
Mkuu athlete naona ipo juu kidogo zaidi ya majesta
Nafikiri athletes ni new model
Crown Athlete sio new model over Majesta. Hizo ni different version tu, Moja ni Luxury (Majesta) nyengine ni Sportier (athelete). Halafu sio kila Athlete inafua dafu mbele ya Majesta, Athelete yenye engine ya 2gr ndio iko powerful. Most of the atheletes zinazokuja hapa ni 3gr au 4gr, ambazo wala sivyo watu wanavozisifia. Crown yenye 4gr engine kwa mfano, akikutana na Altezza 3sge au 2jz stock engine, basi hio athlete itakuwa taabani. Hata 3gr engine Athlete nayo haina power ya kutisha kabisa.

Halafu mleta mada Carina unatakiwa uweke ligi na kina Spacio na vitz bana sio Crown.... mimi ningekuwa na crown alafu wewe una carina unataka ligi, ningekuwacha ushinde, siwezi kuchoma mafuta nikakosa fun 😀 😀 😀
 
Asante kwa somo nilikuwa sijui kama crown zina generations
 
Shem wako tena broo lala nakuja kukulipia
 
Siku ukiendesha subaru foresta na ifunguke kisawasawa mzee ukifika salama kafanye ibada.
 
ukukutana na wale washika tochi
 
jamaa ameniacha hoi sana yaani anasema kabisa kuwa alikuwa na Carina Ti ndo anaweza kufikia hatua aka conclude kuwa Crown ni balaa... TI? hizi ni ni Taxi na mizunguko ya hapa town tu? obvious huwezi linganisha na crown au hata GX 100 .... ni uonevu mkubwa kwa crown.
Kama kuna gari kimeo kwa pulling na speech basi nadhani Ti inaongoza
 
Usidharau gari za kijapan, Technology imebadilika kuna gari za Japan zinamkalisha mzungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…