Athlete Crown sio gari la kubishana nalo ukiwa barabarani acha liende

Nimepita jana barabara ya Nzega -tabora.... Barabara ni mpyaaa halafu haina trafiki kabisaaa.... Ndo mara yangu ya kwanza kabisa kuendesha premio yangu kwa spidi 160km/hr..... Ila kilichonichekesha ni kwamba wakati nipo 150km/hr nikapitwa na Harrier tako la nyani kama nimesimama vileeee... Sikuliona tenaaaa mpaka nafika..... Hii barabara ina km kama 120km hivi halafu ni tambarare tupuuuu.... Ndo barabara pekee nadhani unayoweza kuendesha gari kwa spidi ya 180km/hr hata kwa dakika 20 bila kukanyaga breki yoyote ile
 
Harrier nahisi ni six cylinders ndio maana alikupita kama umesimama
 
Mkubwa, Volvo, VW, BMW, sahani inaenda hadi 260km/h mbaya zaidi unavyokanyaga wese ndio gari iko stable haitetereki.

Hapo itakua suala la ujasiri wa dereva, lakini kama tunaongelea uwezo wa gari, haziwezi kushindana.
kidogo una idea ya magari... safi
 
Hata kama sina uelewa wa magari ila naamini kampuni kubwa kama bmw,aud au vw eti waweke specification ambayo haipo...........
shida umezoea vitu vya kichina simu unaambiwa ina 20mp kumbe 2mp
 
wewe ulikua kwenye gari gani?
 
Hata kama sina uelewa wa magari ila naamini kampuni kubwa kama bmw,aud au vw eti waweke specification ambayo haipo...........
shida umezoea vitu vya kichina simu unaambiwa ina 20mp kumbe 2mp
Hata kama sina uelewa wa magari ila naamini kampuni kubwa kama bmw,aud au vw eti waweke specification ambayo haipo...........
shida umezoea vitu vya kichina simu unaambiwa ina 20mp kumbe 2mp


sikio la kufa....usinunue gari kwa dash inavyosoma hata toyota wana kagari flan kana cc 1500 engine ya kawaida ila sijui ilikuwa kwa ajil ya soko la nchi gani hvyo ina dash ya 220kph sasa kwa akil yako hako kagari kanaweza fata brevis 2500cc dash ina 180 tu??
 
Hizi speed mnazozungumza ni kwa Barbara zipi?/hizi za bongo? Kifo kinawaita.
 
Hizi speed mnazozungumza ni kwa Barbara zipi?/hizi za bongo? Kifo kinawaita.
Mkuu kifo kipo tu huwezi kukwepa kwa mfano kama unafanya safari za kwenda mkoani chukulia unatoka Dar-mbeya utaweza kuendeshesha kwa speed 50?
 
Bado kukimbia kwa gari inategemea na
Dereva
Horse Power
Engine Capacity
Piston
Kaka hizi six cylinders huwezi kufananisha na magari yetu haya ya 4 cylinders hata kama utakuwa dereva bora hutaweza kushinda na mwenye six
Kama mtu wa kusafiri utafurahia SAFARI yako ukiwa na six cylinders
 
Haitakaa nitembee speed hio tena!! Gari yenyewe nilishaiuza, Sitaki tena nikikimbia Sana mwisho 150km/hr. Nina watoto sasa wakubwa wananitegemea. Sitakiii
hiyo 150kph yenyewe kwa sie wengine ni high speed , mie nimekimbia sana 100kph yaani hapo hadi mapigo ya moyo yanataka kuchomoka kuna watu mamoyo 180kph bado mmahitaji speed zaid?????
 
Mkuu kifo kipo tu huwezi kukwepa kwa mfano kama unafanya safari za kwenda mkoani chukulia unatoka Dar-mbeya utaweza kuendeshesha kwa speed 50?
Speed ya safari kwa private car ni 100 - 120 km/hr. Sasa hizo 160, 180 na zaidi ni kwa barabara hizi? Nchi za wenzetu hakuna kupishana kichwa kwa kichwa. High way zote zina lane zinazojitegemea. Alama za barabarani zipo, pia barabara zipo fenced, hakuna mbuzi, mtu, kuku hata gari inayoingia high way.

Vimiji au vijiji vina barabara zake Nje ya high way. Kuna entry and exit points chache sana. Unaweza kutembea hadi zaidi ya 100km bila kuona Barbara inayoingia au kutoka highway.
 
Mnamkumbuka yule mwenzenu wa mark x aliekua anafanya mchezo na barabara za kibongo?

Hawakaputa hata vipande vya kuzika
Yule jamaa yupo bhana, sema nyi kila mkiona clip ya markx iko mang'anya mna refer kwa mchizi. Chalii kwao moro na yupo freshi tu anapiga kazi.
 
Tofauti huwa ni kwenye kuchanganya tu. Mapiston makubwa gari itachanganya fasta ila itaaishia kwenye top speed limit yake. Kama ni 180kph haitasogea zaidi ya 10 more points. Ila mwenye piston ndogo atachelewa kuchanganya ila lazma atafika top speed limit. Kama ni 260kph ataifikia tu japo kwa kuchelewa na atakupita wewe uliyegotea 185kph.
Speed kasi hutegemea ukubwa wa engine na piston

Gari hata iwe na speedometer inayosoma 260 ila ni 2500 cc v6 haiwezi ifikia 3600cc v6 yenye 200
 
Unachosema ni sahihi kabisa hizi speed tunazoenda nazo kama ni 150 ni kipande kifupi mno inaweza kuwa ni umbali wa km 1 tu
 
Hata mimi hapa arusha juzi nimeona corolla old model ya cc 1500 eti dash 220 kph...hivi kweli haka kacorolla utakashindanisha mbio na magari kama Brevis, Alteza,Nissan fuga na jamii hizo??
 
Mkuu kifo kipo tu huwezi kukwepa kwa mfano kama unafanya safari za kwenda mkoani chukulia unatoka Dar-mbeya utaweza kuendeshesha kwa speed 50?
Kifo kipo ila tusikitafute haraka....Tuheshimu sheria tutafika salama..Mwaka jana mwishoni niliendesha kanissan kangu Dar to Arusha kwa mwendo wa 80-110 kph na penye vibao vya 50 niliviheshimu...Nilitumia masaa 8 Dar to Arusha.

Hizo haraka zitawapeleka kaburini Muqche wake zenu wado wabichi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…