Sambusa kavu
JF-Expert Member
- May 4, 2015
- 806
- 1,296
Nimepita jana barabara ya Nzega -tabora.... Barabara ni mpyaaa halafu haina trafiki kabisaaa.... Ndo mara yangu ya kwanza kabisa kuendesha premio yangu kwa spidi 160km/hr..... Ila kilichonichekesha ni kwamba wakati nipo 150km/hr nikapitwa na Harrier tako la nyani kama nimesimama vileeee... Sikuliona tenaaaa mpaka nafika..... Hii barabara ina km kama 120km hivi halafu ni tambarare tupuuuu.... Ndo barabara pekee nadhani unayoweza kuendesha gari kwa spidi ya 180km/hr hata kwa dakika 20 bila kukanyaga breki yoyote ile